ᴀʀɴᴏʟᴅ ɢᴏᴅʟᴏᴠᴇ Profile picture
Everlasting ❤ To My Parents and Siblings|| Sustainable Tourism|| Deuteronomy 28:13|| @manutd|| @realmadriden || https://t.co/EnYigz4wBF

Jun 9, 2021, 7 tweets

🦏 WONDERS OF NGORONGORO CRATER 🦏
Ngorongoro ni miongoni mwa wilaya 6 zilizopo jijini Arusha, makao makuu ya wilaya hii yapo huko Loliondo Wasso. Ngorongoro sio National park ni conserved area chini ya mamlaka ya uhifadhi Ngoro² conservation area authority (NCAA).
Thread👇🏽

👉🏿Ngorongoro ilianzishwa mwaka 1959 na inasimamiwa na mamlaka yake (NCAA), tofauti na National parks kama Ruaha, serengeti nk,ambazo zipo chini ya TANAPA.
👉🏿Sensa ya watu na makazi ya taifa mwaka 2012 iltoa takwimu kua kuna jumala ya watu 174,278 ndani ya ngorongoro.
Thread🔥K👇🏽

KWANINI NGORONGORO HAIPO CHINI YA TANAPA!?
👉🏼Hifadhi zote chini ya TANAPA haziruhusu shughuri zozote zile za binadamu ndani ya hifadhi kama kuchunga, ama kuishi watu ispokua makazi ya wahifadhi.
👉🏼Ngorongoro haipo chini ya TANAPA kwasababu ndani mle kuna watu na wanyama wanaishi

WATU WANAWEZAJE KUISHI NA WANYAMA PORI!?
👉🏼Maasai na wahadzabe ndio aina ya watu wanaishi mle ndani ya crater, maasai anaweza kupishana na simba ama chui bila kudhuriwa kutokana na kitendo kinaitwa (HABITUATION) ambapo mnyama pori anakua amemzoea human kutokan na kumuona kila mda

👉🏿Pia simba na chui wameshaizoea harufu ya wale maasai kwaivo hawaoni kama ni adui tena, hivyo basi huwez kuta simba anavamia mbuzi, ng'ombe ama kondoo na ikitokea basi ni mara chache sanaaa kutokana labda na njaa ambayo inakua imewakumba.

KWANINI MAASAI WALIRUHUSIWA KUISHI MLE NDANI NA WANYAMA PORI?
👉🏿Kwasababu maasai hawalimi bali wanafuga tu,hivyo hawawezi kuleta uharibifu
👉🏿Kwasababu maasai ni kivutio cha utalii kutokan na tamadini zao
👉🏿Kwasababu maasai hawatumii wanyama pori kama kitoweo
👉🏿Kwasababu za ulinzi

...dhidi ya majangiri kutokana na elimu waliyopewa na wahifafhi
👉🏼Lakin pia ni kwa sababu mamlaka inavyo anzishwa wao walikua tayari ni wakaazi wa pale hivo isingekua busara kuwatoa na kuwafukuza
Lakini hata makaazi yao ni maboma ambayo hayatumii sana rasirimali misitu.

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling