ᴀʀɴᴏʟᴅ ɢᴏᴅʟᴏᴠᴇ Profile picture
Everlasting ❤ To My Parents and Siblings|| Sustainable Tourism|| Deuteronomy 28:13|| @manutd|| @realmadriden || https://t.co/EnYigz4wBF
Jun 9, 2021 7 tweets 3 min read
🦏 WONDERS OF NGORONGORO CRATER 🦏
Ngorongoro ni miongoni mwa wilaya 6 zilizopo jijini Arusha, makao makuu ya wilaya hii yapo huko Loliondo Wasso. Ngorongoro sio National park ni conserved area chini ya mamlaka ya uhifadhi Ngoro² conservation area authority (NCAA).
Thread👇🏽 👉🏿Ngorongoro ilianzishwa mwaka 1959 na inasimamiwa na mamlaka yake (NCAA), tofauti na National parks kama Ruaha, serengeti nk,ambazo zipo chini ya TANAPA.
👉🏿Sensa ya watu na makazi ya taifa mwaka 2012 iltoa takwimu kua kuna jumala ya watu 174,278 ndani ya ngorongoro.
Thread🔥K👇🏽