CCM na MATAGA nataka msome ili muache ujinga wa kumtetea Samia
π¨π»βπ»π¨πΌβπ§π§΅π§΅
πThe finance Act 2021 in mambo chungu nzima ambayo yaliasisiwa kwenye mawizara na kwenda kwenye baraza la mawaziri na yakajadiliwa na kupitishwa kwamba sasa yaende bungeni
πMoja wapo ni tozo la miamla
Sheria ya huduma za posta na mawasiliano(CAP 306) wakaamua section 164A
πkuanzisha tozo kwenye muda wa maongezi
πsheria ikamuagiza wapiti Ndungulile kwa majadiliano na Mwigulu watengeneze kanuni kuainisha jinsi tozo hizo zitakavyokusanywa toka kwa watanzania
SHERIA HIYO
The finance Act 2021 - imeweka section ya ajabu sana kwenye ili retention fee iliyolalamikiwa sana kwenye mikopo ya wanafunzi..
πSheria inatoa upenyo wa kuja kuitumia tena siku za usoni ndiyo maana wanasema isikusanywe pasipo kibali cha waziri husika.
πHuku kwa wananchi wanada
danganya kuwa imefutwa na haipo tena. Lakini sheria iko wazi na tricky kuwa isikusanywe bila ruhusa ya waziri .. maana yake kuna siku itakuwa kutumika kama walivyofanya kwenye kikokotoo.
πHaya yanafanyika na kupitishwa bungeni huku wabunge akina Tarimba na Shigongo hawayaoni π
46A - hii ni ya Mwigulu ambayo imeeleza jinsi sheria ilivyompa mamlaka ya kuunda kanuni za kufanikisha kukatwa kwa hizi tozo kwenye mobile money transfer
πNa waziri amefanya hili kwa kasi ya ajabu na limeumiza watu sana na kuleta sintofahamu
πWabunge walikuwepo na wamepitisha
Wamekwenda kwenye Road and Fuel Tolls Act(CAP 220) wamechokonoa kupata 100/= TZS kwa ajiliya kujenga barabara vijijini..π
π jiulize hawa si walisema tuko uchumi wa kati? Sisi ni matajiri?Kujenga barabara za vijijini unakusanya 100/=TZS kidogo kidogo utamaliza kujenga lini? π
Haya ayote yamefanyika na kuhitimishwa na bunge kama sheria inavyotaka..
π 24th June 2021 NENELWA MWIHAMBI - Karani wa Bunge la Tanzania (aka AFISA KIPENYO NGULI) alitia saini muswada huu na kuupeleka kwa Rais kwa ajili ya kuweka saini ili ile sheria
Siku 6 baadaye tarehe 30 June 2021 Rais akasaini muswada huu na yote yaliyoko hapo juu na mengine mengi sijayasema kuwa SHERIA
π Nataka niambiwe Rais hahusiki na hii messy kivipi?
πNataka niambiwe haya yanafanywaje ndani ya bunge halafu asijue?
πKama ni kweli TUNA RAIS AU?π
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.
