Kigogo Media Profile picture
Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: news@kigogomedia.com
Mwalimu Marwa Profile picture Naitoren Profile picture rama47 Profile picture 4 subscribed
Apr 19, 2022 4 tweets 3 min read
"I showed the physical features and beauty of my country from Serengeti @SerengetiParkTz to Kilimanjaro, then from Maasai land to the beautiful highlands of Zanzibar" - President of Tanzania @SuluhuSamia "For those who don't know Tanzania, Is a country in East Africa strategically located to be a gateway to Africa, from the Indian ocean" - President of Tanzania- Pres of Tanzania @SuluhuSamia

#TanzaniaRoyalTour
Jul 24, 2021 6 tweets 1 min read
🧵🧵
*Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD)* Ameandika

KABLA YA KATIBA MPYA...

1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi.

2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini.

3. Kabla ya Agano Jipya (Katiba Mpya), Musa alikuwa ni gaidi machoni pa Farao (Firauni).

4. Kabla ya ufufuko (Katiba Mpya) Bwana Yesu Kristo alikuwa na tuhuma za ugaidi na uhaini mbele ya utawala wa Kiyahudi.

5. Kabla ya Muswada ulioleta "Tamko la Haki kwa wote"
Jul 23, 2021 15 tweets 3 min read
Rais SAMIA SULUHU,UTAKUFA. Tukukumbukaje 🧵
 
Ndugu Rais Samia Suluhu Hassan, watu wengi walifarijika sana na hatua ya kuapishwa kwako kuwa kiongozi wa nchi yetu. Wengi walifurahia wakitambua isingekuwa rahisi kwenye mchakato uanohusu uchanguzi wa wazi na wa haki kwa wewe kupata nafasi hata kwa turufu ya uanamke wako wala uzanzibari wako. Wote tunafahamu kuwa chama chako hakina uwezo kwa sasa kuteuwa mwanamke kushika madaraka makuu ya nchi wala chama. Bila shaka wewe ni mwanamke ambaye kwa kipindi kirefu waliweza kukuvumilia wakitambua hauna madhara maku
Jul 19, 2021 8 tweets 3 min read
CCM na MATAGA nataka msome ili muache ujinga wa kumtetea Samia
👨🏻‍💻👨🏼‍🔧🧵🧵
👉The finance Act 2021 in mambo chungu nzima ambayo yaliasisiwa kwenye mawizara na kwenda kwenye baraza la mawaziri na yakajadiliwa na kupitishwa kwamba sasa yaende bungeni
👉Moja wapo ni tozo la miamla Sheria ya huduma za posta na mawasiliano(CAP 306) wakaamua section 164A
👉kuanzisha tozo kwenye muda wa maongezi
👉sheria ikamuagiza wapiti Ndungulile kwa majadiliano na Mwigulu watengeneze kanuni kuainisha jinsi tozo hizo zitakavyokusanywa toka kwa watanzania

SHERIA HIYO
Jul 19, 2021 6 tweets 1 min read
Tabia ya kumuona Samia anashauriwa vibaya au anapotoshwa ni ya kijinga na unaonyesha jinsi ambavyo yeye binafsi hana uwezi wa kufanya mambo kama RAIS..

Muswada mpaka uwe sheria una hatua nyingi sana;
👉Unaanza huko wizarani na wataalamu na wanasheria wanashauriana na kupeleka kwenye baraza la mawaziri ambako Rais ni mwenyekiti wa hicho kikao .. Wanajadili kwa kina na kuzingatia ushauri wa wataalamu na hapo ndipo wanaangalia sera,ilani na msimamo wa serikali kwenye jambo husika
👉Wakitoka hapo wanapeleka bungeni kwenye kujadiliwa nako linapita mpaka
Jul 18, 2021 4 tweets 2 min read
Madikteta kote duniani huwa wanashindana kuvunja rekodi.
👉Meko- aliuwa, alifunga, alitesa,alipora mali za watu na amekufa akiacha alama hiyo kwenye uso wa nchi na mioyo ya wateswaji
👉Huyu- kaweka rekodi ya kukamata na kuweka jela watu wengi zaidi kwa siku moja kwenye tukio moja Image Haijawahi kutokea hivi toka nchi hii ipate uhuru( kama lipo tukio nisagihishwe)
👉yaani mahabuau Mwanza zimejaa wamepeleka watu Misungwi huko na nadhani wengine watawapeleka Ukara
👉RPC kawa mweledi sana kwa kusema ametumwa na Rais kufanya haya yote anayofanya na @tanpol kutokanu Image
Jun 15, 2021 4 tweets 1 min read
Nchi ya ajabu sana.Yaani CCM hawa ndiyo wametengeneza matatizo yoooote ya vijana mpaka leo.Halafu vijana hao hao wanadhani CCM hao hao na mwenyekiti wao watatatua shida zao!
Ngoja niwauliza swali?Huyu si aliimba mambo ya Tanzania ya viwanda? Mwambie akuonyeshe viwanda 10 vilipo 👉serikali inayouwa sekta binafsi na kufukuza investors haiwezi kuja kufengeneza ajira za vijana
👉serikali inayoongoza kwa uongo uongo kwenye ilani yao haiwezi kuwa solution ya matatizo ya vijana!
👉Haya leo mkipewa baraza la vijana - what is your ajenda? Haya mambo ni sawa na
Jun 15, 2021 4 tweets 1 min read
😁 kuna mambo yanachekesha sana.. Yaani Jumong na watu wake ni beyond repair kabisa
👉Unataka kuongea na vijana- chukua vijana walioko St Agustine University na vyuo vilivyoko Mwanza
👉Team ya maandalizi ya hii event fanyeni pre meetings na vijana/ reps wao kujua what are the issues to be addressed.
👉Chukua hizo issues nendeni kazitengenezeeni majibu na mpeni Jumong asome kama hotuba akihutubia kundi hilo la vijana..
👉Composition would have been simple( vijana wa vyuo vikuu,vijana wafanyabiashara,vijana wa makundi maalumu/walemavu etc). Yaani haya
Jun 14, 2021 6 tweets 2 min read
@jjmnyika nafuatilia sana mikutano inayoendelea na nadhanimmeona jinsi wananchi walivyo na imani na hiki chama.. Ushauri wangu ni huu;
👉kule kwenye grassroot - tengenezeni mashina ambapo kuwe na viongozi kwenye kila mtaa na wawe na kazi ya kuzunguka nyumba moja baada ya nyingine Kuhamasisha watu wajiandikishe uanachana na kama kuna wanachama tayari basi walipia kadi zao na wawe hai.
👉Hawa viongozi watunze list/idadi na majina ya wanachama wao kwenye kila mtaa na hili liwe ni nchi nzima.. Waweke taarifa zote za mwanancha na wanaotarajia kuwa wanachama
Jun 14, 2021 4 tweets 3 min read
@wizara_elimuTz hii ni barua ya afisa elimu wenu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuita waalimu zaadi ya 1000 kwenda St Antony Secondary Mbagala kusahihisha mitihani ya Mock ya kidato cha nne
👉Waalimu wamemaliza kazi kwa haraka kabla ya muda husika na leo wanadai hela zao kama malipo Image wanaambiwa waondoke watakipwa kwa simu? (Tigopesa/Mpesa/Airtel Money)
👉Waalimu wamekaa siku zote kufanya hiyo kazi ina maana hamkujua kuna siku watakipwa? Yaani 300k kila mmoja inawatoa jasho ina maana hamkujipanga?
👉Waalimu wamekosa mpaka nauli wanalala tu chini ya miti yaani Image
Mar 31, 2021 6 tweets 1 min read
Watawala wengi wa aina ya Meko na sasa Samia huwa wanafanya hivi
👉wanatengeneza kundi la watu watakaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali za nchi
👉wanawatengenezea mazingira ya kushirikiana nao kwa hiyari au lazima ili kuweza kutimiza sera na matakwa yao kama watawala kwa jamii 👉Hili ndiyo kundi la akina Mpango,Mwigulu,Gwajima,Mulaga na TISS etc
👉Hili huwa ni kundi ambalo linakuwa brainwashed kabisa na linaacha kabisa kufikiri kwa kutumia akili zao za kawaida kuchambua mambo na kuanza kulishwa na kutapika kile wanachoambiwa na ruler/mtawala ili kufani
Mar 31, 2021 4 tweets 1 min read
CCM hata wagombane vipi na kuparuana vipi huwa wana kawaida moja tu;
👉Linapofika suala la madaraka huwa wote wanaongea lugha moja!
👉Jana kuna ambao hata wazazi wao wamedhakishwa na Meko na huyu Mpango wamesimama na kumsifu sana Mpango
👉Hii maana yake nini? Legitimacy ndiyo wa nayoipigania hapo! Uhalali wa kubaki madarakani hata kama wanatofauti
👉Kuna watu wakati wa Meko wakinanwa mpaka wakawa wanaomba msaada wa wapinzani kuwasemea maana wao hawawezi. Lakini jana wamesahau na wamezaliwa upya kuteteana kuhusu Mpango na legacy ya Meko
👉Kuna watu wamefi
Mar 31, 2021 7 tweets 2 min read
Tatizo la Tanzania ni mfumo uliowekwa na CCM;
👉watawala wanajijengea utaratibu wa kuwa orders zao ni sheria
👉wanaaminisha watu kuamini kuwa amri zao ni sheria na ni halali
👉Matokeo yake ndiyo hayo tuliyaona Meko alikuwa anatoa amri na ndiyo sheria na kauli yake ni ya mwisho 👉Meko alikuwa anafukuza kazi wTu majukwaani, anatoa hela za maendeleo majukwaani , anafanya maamuzi ya kisera majukwaani- na amri zake zikawa sheria yaani.
👉Haya mambo ndiyo yakazaa akina Dr Mpango ambao leo wanasafishwa kuwa ni wema na ni sehemu ya victims wa Meko regime
Mar 30, 2021 4 tweets 1 min read
Zanzibar imewahi kutoa marais wa Tanzania mara 2 nadhani
👉1985-1995 alikuwa Mwinyi yaani aliharibu nchi mpaka mkewe akawa anafanya biashara ikulu. Ndiyo kipindi hiki akina Malecela wakataka kuvunja muungano ama kuwa na serikali 3 nadhani. Uchumi kila mtu anajua ulikuwa shimoni 👉2021-2025 kashika mzanzibar mwingine Samia Suluhu- kwa bahatibahati kawa rais kwa kuwa katiba inataka hivyo lakini kwa merits she is far from being qualified
👉Alifikiriwa anakwenda kurekebisha makosa ya Meko lakini hajamaliza hata siku 10 toka awe Rais kaonyesha jinsi alivyo
Mar 29, 2021 5 tweets 2 min read
Dr Bashiru ni Mwizi na hafai kuendelea kuwepo ofisini as we speak
👉17.03.2021 Meko kafa na yeye akiwa mtendaji mkuu wa ofisi ya Rais kashiriki kwenye wizi
👉21.03.2021 kashiriki kwenye ukwapuaji fedha BoT kwa kisingizio cha fedha za maendeleo - mpaka tulivyosema hapa ndipo NMB Image wakazirudisha fedha hizo BoT.
👉Ni maendeleo gani hayo ya haraka yaliyoshindwa kusubiri mpaka mama Samia akae ofisini.. Yaani Samia kaapishwa tarehe 19.03.2021-Bashiru na genge lake wamekwapua hela 21.03.2021 mchana bila uoga…
👉Nashindwa kumuelewa yule padre uchwara anapomtetea
Mar 29, 2021 8 tweets 2 min read
MEKO NI MWIZI na JAMBAZI
👉Mwaka 2018 - Meko alianzisha task force ya uporaji fedha za wafanyabiashara na akaipa jina la Commodity Import Support(CIS) Task Force
👉Akaipa ofisi jengola wizara ya fedha chuman namba 257 na kikosi hiki kina watu jwa
* Bwana Mlolo
*Inspekta Melele *Bwan Mwita
*Bibi Vaileth Valerian
👉Genge hili ndilo linalozunguka Tanzania nzima kupora fedha za wafanyabiashara na kuwafunga bila sababu kwa kisingizio cha kukusanaya madeni ya serikali ya JAPAN yaliyokopwa na wafanyabiashara wa Tanzania mwaka 1980
👉Kikosi hiki kinapora hela
Mar 29, 2021 4 tweets 1 min read
👉Kuna wakati Mbowe alisema taifa linahitajo maridhiano walisanifu sana( hata mimi nilikataa lakini baadaye nilimuomba radhi baada ya kuelewa)
👉Meko aliwapa kiburi cha uzima mkajiona nyie ni kila kitu na dola ikawatetea na kuwalinda sana
👉Mlitumia kodi zetu kulipa hela vijana wa kututukana adubuhi mchana na jioni.. Meko aliwasifu sana na kuwatambua kama wazalendo wakati anawajaza ujinga na upumbavu vichwani mwenu
👉Tulipotaka mtazame mambo kisayansi kuhusu corona mlisema tumetumwa na mabeberu etc

Sasa MEKO kafa hata wiki haijapota toka mumfukie huko
Mar 22, 2021 5 tweets 1 min read
Kukosekana uongozi kumesababisha maafa jana
👉Watu zaidi ya 45 wamekufa jana uwanjani kwa kukanyagana na hili ni tukio la kufanyiwa uchunguzi. Lakini serikali hii haitajali yaani itachukulia sawa tu
👉Msiba huu waliujua mapema lakini lack of leadership and coordination imeleta vifo vya watanzania. Kamati ya mazishi haijui hata inafanya nini.
👉mlishindwa kabisa ku deploy wanajeshi wa kutosha kucontrol influx ya watu kuingia uwanjani?
👉Mlishindwa kuona sasa uwanja umejaa na mzuie watu kuingia uwanjani?
👉Sawa hayo yote mlishindwa -toka samia ametangaza
Mar 22, 2021 6 tweets 1 min read
MEKO anatajwa sana kuwa alikuwa anasaidia wanyonge. Anyway ni ngumu kueleza kitaalamu lakini ,jiulize alipoingia madarakani;
👉1kg ya sukari ilikuwa shilingi ngapi na sasa ni shilingi ngapi?
👉1kg ya unga ilikuwa shiling ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉1litre ya mafuta ya kula ilikuwa shilingi ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉Nauli ya basi kwenda Moshi ilikuwa shilingi ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉Nauli ya daladala Kariakoo-Tegeta ilikuwa sshilingi ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉Kaongeza mshahara mara ngapi?

Kama hivi vyote vimepanda nasi ni kuwa
Mar 22, 2021 11 tweets 2 min read
Post -Meko era
👉Chuki tunayoiona leo na mgawanyiko ndani ya hii nchi ni matokeo ya sera za Meko za kukandamiza watu
👉Alifanikiwa sana kuwapa madaraka watu wajinga na wasio na qualifications ili wamsaidie kuwa kwenye power as long as he wants
👉Hawa wanaolia leo huko serikalini ni wanufaika wa MEKO na utawala wake
👉The wound he has cause into the society is SO DEEP na hatujafika hapa kwa kazi ya siku moja.Alifanya hili systemic for 5 years na kafa kaacha society iko very devided
👉Hakuna mtu ambaye hajaumizwa na ushenzi wa Meko.. Kila mtu kwa nafasi
Mar 22, 2021 5 tweets 2 min read
Vyama vya upinzani nina ujumbe wenu hapa;
👉Rais Samia amekiri kwa kinywa chake kuwa ataheshimu katiba na kuifuata kwa kuwa ameapa kuilinda na kuitetea
👉Katiba hii alitosema atailinda Rais Samia imesema wazi kwenye ibara ya 18 juu ya uhuru wa kujieleza kama haki ya msingi sana 👉Katiba hii imesema kwenye ibara ya 14 imetoa haki ya kuishi kwa kila mtanzania- hivyo Rais Samia aunde tume na kuruhusu uchunguzi huru toka nje juu ya mauaji yaliyofanywa na utawala wa MEKO na akina Makonda,Mwigulu ,Ngusa na Dotto na wachukuliwe hatua kali za kisheria haraka