SIR JEFF⚡🇹🇿 Profile picture
Veni,Vidi,Vici💪//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of morals & culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzscheable🧠 & Kanyenized🐻

Sep 8, 2021, 16 tweets

LEVERAGE: kifaa muhimu zaidi unachohitaji kutoboa.

In a Nutshell🧵

1. Wote hapa nahisi tulimsoma mgiriki Archimedes, moja kati ya Mathematicians wachache sn waliobarikiwa naturally.

Ubongo wa Archimedes ulituletea ugunduzi wa mashine nyingi za mwanzo zilizochangia kuleta modern civilization.🙏🏾

Archimedes aliwahi kusema “Give me a lever long enough and a fulcrum on which to place it, and I shall move the world.”

Simple yet very complex.

3. Kiufupi Archimedes alimaanisha ‘ukiwa na fimbo ndefu, chini ya hiyo fimbo ukaiwekea support fulani, basi utaweza kusogeza kitu chochote’

Principle rahisi na ndio uvumbuzi uliotuletea wheelbarrow (mkokoteni)

Kitu kama hiki👇🏾 👇🏾

4. Kimsingi point ya Archimedes ni kwamba Mwanadamu pekeyake hajakamilika, ili kupata maximum efficiency lazima apewe supportive tools.

Kuwa na uwezo wa kutafuta external supportive tools za kukusaidia kufanikisha jambo lako ndio ‘leveraging’ na hizo tools ni leverage

5. Mfn mimi na ww kila m1 akapewa task ya kukata miti 365 kila mti tunalipwa elfu 10 total inakuwa

Ukiamua kukata mti mmoja kila siku, itakuchukua mwaka mzima kupata 3,650,000

Mimi nikiamua kuita watu 100 wanisaidie, kwa mti nawalipa 5,000. Nitatumia siku 4 kuingiza 1,825,000

6. Its basically working less but getting paid more... hakuna mtu yyt duniani amewahi kufanikiwa bila kutumia leverage.

Sasa tuingie ndani kuelewa leveraging. Kuna aina 6 za tofauti za leverage

i. Time Leverage
Since siku 1 ina masaa 24, kama task yako inahitaji masaa 100, ili kumaximaze faida inabidi hiyo task uifanye siku 1. But how?!

Unanunua muda wa mtu. Thats time leverage... kumwajiri mtu kukusaidia task maanake umenunua muda wake.

Elon alisema juzi👇🏾

ii. Technology leverage
Kazi za mashine ni kuturahisishia kazi na kuongeza efficiency... na since mashine zinahitaji nguvu kazi kubwa kuoperate, unahitaji automated system kufanya machine iwe efficient zaidi

Sasa hii ndio technology leverage

iii. Communication leverage
Bidhaa/Service unayotoa ili iwe kubwa zaidi unahitaji uwafikia watu wengi zaidi. Since una mdomo mmoja tu unawafikiaje watu wengi zaidi?

Unanunua audience ya watu wengine kupitia Database, magazine, social media, influencers’ audience etc

iv. Network leverage
Una mishe yako potential sana ambayo unahitaji blessings za katibu wa wizara

Ila ww ndio kwanza umetoka chuo, huelewi kbs hata wizarani unafikaje. What do u do?

Unatumia mahusiano uliyonayo na watu wengine kupata mahusiano mapya na watu unaowahitaji kutoboa

v. Knowledge/Skill leverage
Kuna aina 2 ya mitaji
i. Monetary Capital
ii. Human/physical capital

Kama tu walivyosema kidole kimoja hakivunji chawa, unahitaji kidole cha pili. Kwenye kutoboa unahitaji watu wenye knowledge, skills na experience

vi. Financial leverage
Una mil 1 lkn ili utusue unahitaji mil 5, hiyo mil 4 unaitoa wapi? Lazima ujue kuLeverage
-partnership
-grands
-Joint Venture
-Mkopo

Lkn mimi naipenda zaidi Investment Leverage. Hapa traders na investors watanielewa zaidi.

Unafungua trading acc lk bahati mbaya huna mtaji mkubwa wa kukimbizana na movement za soko unafanyaje?

Unaombq leverage ili uwe na uwezo wa kutrade financial assets nyingi zaidi. Mfn una mtaji $100, unachukua leverage ya 100

So automatically unakua na uwezo wa kutrade $10,000

Kama umechukua route ya kukomaa na mtaa kwa kujiajiri ni LAZIMA ujue the art of leveraging and using other peoples’ resources for mutual benefics.

Lengo ni kukurahisishia safari yako ya mafanikio na kupunguza muda wa kusota kabla hujatoboa.

“Give me a lever long enough and a fulcrum on which to place it, and I shall move the world.” Archimedes

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling