SIR JEFF⚡🇹🇿 Profile picture
Veni,Vidi,Vici💪//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠 & Kanyenized🐻
13 subscribers
Jan 3, 2024 18 tweets 6 min read
THE MONEY GAME...💵

Soma huu uzi kama una miaka 18-30.

Uzi 🧵👇 Image 1. Nimeshakua maskini mpk kufika hatua ya kukosa mia 5 ya kula mlo mmoja wa mihogo.

Nishakua na pesa mpk kufikia hatua ya kuishi apartment ya $2k (Tzs 5M) per month, in the wealthiest suburb in the country.

Na nisharudi hatua ya kulala hostel chumba cha elfu 40 per month... Image
Oct 11, 2022 14 tweets 2 min read
Katika maisha yng sijawahi kufanyiwa job interview,so sijui experience inakuwaje mtu akiwa intervied

Ila, nimefanikiwa kuinterview mamia ya watu,nikimsikiliza mtu kwa dakika 10 tu najua km anafaa ama hafai

Kuna vitu employers huangalia,ukiwa navyo vitakutofautisha na wenzio
🧵 Watu wengi wanaingia kwenye chumba cha interview na fikra potofu.

Wengi wanazungumzia experience zao
Wengi wanazungumzia juhudi na jitihada zao
Wengi wanazungumzia elimu/ufaulu wao
Wengi wanazungumzia qualifications zao

WRONG APPROACH

Utatembeza sana CV!!
Feb 17, 2022 10 tweets 2 min read
Being successful begins with how you THINK🧠

It’s a thread 🧵 1. First Principle Thinking🧠

Break down any complex problem into it’s most fundamental/basic elements and reassemble from ground up.

It allows you to filter noise and cut through clouded assumptions, where you don’t really have to follow the crowd or norm

Think for yourself
Feb 13, 2022 35 tweets 21 min read
KANYE WEST: The King of HIPHOP and The Greatest RAPPER of All Time.

Ufalme wa Saint Pablo, Yeezus, LV Don.👑

Uzi🧵 Image 1/ Mwaka 1667 science ilibadilika kbs ika-advance zaidi hadi leo miaka 355 tupo hapa tulipofika

Sir Isaac Newton alijiuliza swali ambalo hkn binadamu aliwahi kujiuliza kabla

Kwanini tunda linaanguka chini kutoka mtini? Kwanini lisigande hewani? Kwanini lisiende juu ama sideways Image
Jan 31, 2022 15 tweets 5 min read
Crypto Twitter njooni tupige story: 🧵

Mimi kama long-term crypto assets investor, nimejiuliza nawezaje kupata passive income ya muda mfupi, wakati nasubiri returns za muda mrefu.

Nikakutana na huu mgodi 🧵 Kwanza niseme tu... huu uzi ni wa kudiscuss; sio financial advice.

Pia, niseme mimi kama investor moja ya responsibility yangu ni kumanage risk... Hiyo inaweza kuhusisha mimi kupoteza part ya capital yangu.

Sasa tuendelee...
Jan 8, 2022 31 tweets 14 min read
Jan 7 mwaka 1943 katika chumba kidogo wake umekufa ulikutwa umekufa. FBI walifika ndani ya dakika 30 na kuchukua kila kitu walichokuta.

Kabla ya kifo chake aliishi kinyonge, akiwa mpweke, afya mbovu na fukara.

Nini kilimtokea mwanasayansi NIKOLA TESLA.

🧵In a nutshell Image 1/Ukiamka asubuhi ukachomeka simu kwenye charger, ukaenda kuwasha heater uoge, then ukaenda jikoni kupasha chakula kwenye oven, na kuchukua maziwa kwenye fridge

Unaanza kula huku unatazama TV ukimaliza uwashe gari uende kuchakarika. Vyote hivi visingewezekana bila Nikola Tesla. Image
Sep 29, 2021 18 tweets 4 min read
UZI KWA CRYPTOCURRENCIES TRADERS AND INVESTORS.

In a Nutshell 🧵 1/n) Huu sio uzi wa kuzungumzia kwanini kijana yoyote smart anatakiwa kujua technolojia ya Cryptocurrencies etc

Huu ni uzi specific wa kijana smart kutafuta fursa za kupiga pesa wakati hii space ikikua kwa kasi sana GLOBALLY.
Sep 8, 2021 16 tweets 5 min read
LEVERAGE: kifaa muhimu zaidi unachohitaji kutoboa.

In a Nutshell🧵 1. Wote hapa nahisi tulimsoma mgiriki Archimedes, moja kati ya Mathematicians wachache sn waliobarikiwa naturally.

Ubongo wa Archimedes ulituletea ugunduzi wa mashine nyingi za mwanzo zilizochangia kuleta modern civilization.🙏🏾 Image
Aug 29, 2021 24 tweets 14 min read
Ukweli mchungu ambao hukufundishwa shule na hutokuja kufundishwa.

Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia.

In a Nutshell🧵 ImageImage 1. Historia ya dunia tunayoishi (industrialized world) inaanza June 28 1914.

Mrithi wa kiti cha ufalme na generali wa jeshi la Hungary Archduke Ferdinand alivyouwawa Bosnia na team iliyotumwa na Serbia

Hungary wakatangaza vita against Serbia kupinga kuuwawa kwa kiongozi wao ImageImage
Aug 19, 2021 11 tweets 4 min read
Tafuta skill 1 ambayo utalipwa online in dollars

1. Graphics | Design
2. Photography | Video | Animation
3. Data Science
4. Digital Marketing
5. Writing | Reading
6. Trading
7. Voice | Music | Audio | Production
8. Consulting | Coaching | Lifestyle
9. Code | Tech | Program Image 1. Graphics & Design
Business/Brand graphics
Digital art & craft
Gaming designs
Packaging design
Presentations & infographs
Web & App design (UX, landing page, web banners)
Building design (architecture, interior & landscape)
Print design: posters, brochures, cards, catalogue Image