SIR JEFF⚡🇹🇿 Profile picture
177 IQ-Genius//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Art, Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠

Sep 29, 2021, 18 tweets

UZI KWA CRYPTOCURRENCIES TRADERS AND INVESTORS.

In a Nutshell 🧵

1/n) Huu sio uzi wa kuzungumzia kwanini kijana yoyote smart anatakiwa kujua technolojia ya Cryptocurrencies etc

Huu ni uzi specific wa kijana smart kutafuta fursa za kupiga pesa wakati hii space ikikua kwa kasi sana GLOBALLY.

2/n) Kuweka hela yako leo kwenye Crypto ni sawa na kuweka hela yako kwenye Amazon 1995, kipindi ambacho 99% ya watu duniani walikua hata hawaelewi Internet ni nini na italeta mapinduzi gani duniani miaka 20 baadae

Mtu aliyeweka $1,000 kwenye Amazon 2000 leo angekuwa na $2 mil

3/n) Lakini hiyo miaka ya 90s pia kulikuwa na Internet projects nyingi sana kama Amazon ambazo zimekufa na leo haziExist kbs

zingine zilisurvive miaka kadhaa then baadae zikaja kuzidiwa innovations na kampuni mpya, zikatolewa kbs kwenye existence.

Wapo watu wakapoteza pesa.

4/n) Same applies to Cryptos

Kuna zaidi ya Cryptos 10,000 sasa hivi, na kila siku kuna Cryptos mpya. Ila ktk hizi ni projects kama 50 tu or even less zitaSurvive mpk 2030

Nyingi zitakufa, na watu watapoteza sana pesa zao kwenye Crypto. Crypto italiza sana watu

5/n) Lakini kuna Outliers wachache ambao watatajirika insanely na Cryptos. Cryptos 50 ambazo zitaSurvive by 2030, zitatajirisha vijana smart vibaya mnooo.

Cryptos & Token-Based Economy itatajirisha watu kuliko Land ikivyotajirisha wazee smart wa 90s walionunua plots O’bay & Co

6/n) Mara ya kwanza kbs naisikia Bitcoin ilikuwa FB, nilijua ni Pyramid Scheme tu. Ilikuwa kitu km $200 hivi

Mara ya 2 ikashika attention yangu nilivyoona CEO wa Voda kipindi hicho Ian Ferrao kaPost Chart ya Bitcoin

Ningeweka $1,000 kipindi hiko leo ingekuwa $200K - $300K

7/n) Kazi yako kama kijana SMART na tajiri wa baadae ni kujua Crypto projects ambazo zitaSurvive by 2030. We will be in our 30s & 40s, bado vijana kbs

Swali... Sasa Jeff unaangalia nini kujua kama hii Prohect itaSurvive na hii Itakufa?

Jibu...

8/n)
i. MATUMIZI - Utility
Hiyo Crypto project ina matumizi gani ktk Kukuza human civilization. Hiyo project inajaribu kusolve tatizo gani?

Mfn ni Uber imerahisisha sana interaction kati ya abiria na dereva ktk industry ya usafirishaji.

Tafuta Crypto inayosolve tatizo fulani.

9/n)
ii. Thamani - Value
Tafuta crypto project yenye thamani kwasasa na kwa baadae.

Japo Warren Buffett sio Investor mzuri kwenye Technology, lkn kupitia mafanikio yake katufundisha somo kubwa la ‘Value Investing’

Thamani ya Solana ni kubwa kuliko Ethereum. Hope naeleweka

10/n)
iii. Crypto Fundamentals
Tofauti na traditional investments huku tunaangalia zaidi facts & figures. Hakuna siasa!

- On-chain & market metrics
Hua natumia CryptoQuant

- Project metric
Hua nasoma White Paper ya hiyo Crypto Project, nijue purpose na tech behind the project

11/n)
-Tokenomics
Hapa ni kujua uchumi wa Token ya hiyo crypto project.

Coin zipo ngapi kwenye mzunguko, ICO ilifanyikaje, token ni inflationary ama deflationary

Coins mpya zinaingiaje kwenye mzunguko, node operations na Mining kama ipo, ipoje?

Coin distribution pia naangalia.

12/n)
-Financial Metrics
Market Capitalization (supply x price)
Liquidity: urahisi wa kuuza ama kununua token (uwepo wa buyers & sellers)
Transaction count

Hizi zote ni fundamental metrics za crypto project Muhimu kuzifahamu

Lkn kitu cha mwisho kuangalia ni...

13/n)
iv. TEAM & Community
Who is the team behind a crypto project. Credibility yao? Crypto Philosophy yao?

Filosofi ya @IOHK_Charles na @VitalikButerin na @gavofyork na @BenJorgensen ni tofauti kabisa.

Jamii inasema nini huku hiyo crypto project

14/n) CRYPTO PROJECTS ZA KUKWEPA (redflags🚩)

i. Epuka sana Crypto project ambayo haina track record. Unakuta crypto haijulikani, haitambuliki, haina history. Crypto imeanza 2021 June😂

ii. Epuka Meme & community coins
Sijui Flock, DaddyDoge,Safemoon. Zote hizi zinakufa

Iii) Epuka crypto ambazo hazitatui kitu chochote

iv) Epuka Give aways. Hizi zipo sana utaziona kwenye comments za social medias

v) Epuka Kufata mkumbo kama nyumbu with FOMO-Fear of Missing Out

15/n) USIJE KUWEKA HATA SHINGI 100 YAKO KWENYE KITU USICHOKIELEWA

-Fanya research
-Tafuta taarifa sahihi (Google, YT, Reddit)
-Uliza maswali
-Double check
-Usiwe na pupa, relax & think
-Verify taarifa ulizokusanya

16/n) USHAURI WANGU
i. Kuwa smart na fanya maamuzi makini
ii. Usiweke hela yako kwenye Shitcoins
iii. Epuka kuhesabu kuku kabla mayai hayajatagwa
iv. Price ya muda mfupi isikupotezee muda
v. Elewa unachokifanya

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling