Ansbert | Swahili Marketer 📱🇹🇿 Profile picture
I write Swahili Tweets about Social Media Marketing | Sponsored Ads | Jifunze & Grow Today | FREE PDF Guide Coming soon

Nov 1, 2021, 23 tweets

Jifunze SIRI ya kupata matokeo mazuri unapofanya matangazo yako

=> Introduction to Facebook ads 2021 (for beginners )

Part 2: AD OBJECTIVES

Thread📍

Well, leo tunaendelea na sehemu ya 2 ya series yetu hii about Facebook ads

Kama wewe ni beginner na ungependa kufahamu kiundani jinsi ya kuadvertise successfully na Facebook

Pay attention, and follow along

Leo tutagusia kitu kinachoitwa AD OBJECTIVES

Why?

What's the secret behind?

Why should you care?

Here's why:-

Unapofanya matangazo, lazima uwe na picha kamili, kwamba unamtarget mtu fulani (target audience)

Na unaexpect akiona tangazo lako afanye ACTION flani

That's where ad objectives come along,

The Facebook platform iko well optimized kuwaonesha tangazo lako, watu ambao inaamini wako most likely kufanya your desired action

Mfano : Kusend message,kuclick links,engagement nk

Ndio maana ukianza setup ya tangazo lolote (iwe kwa kuboost au ads manager)

Utaambiwa select AD OBJECTIVE

Because that's what will decide tangazo lako lionekane kwa nani na nani

Even though kwa kufanya BOOSTING only, ad objectives nyingi utazikosa

Lakini ukija katika ads manager, ndipo utakutana na ZIGO kama lote 😁😁

I mean options kibao ziko huku, for the better results💥💥💥

Sasa twende kuzipitia izo Ad objectives in a brief,

Ili uweze kufahamu unaweza kutumia ipi in relationship to your business

Na uweze kupata matokeo unayohitaji

And here's the secret you should know,

The secret I promised on the title👇🏾

"The right Ad objective will increase your chances of success rapidly"

Failure to do so, and you'll be left wondering "Why my ads don't get RESULTS"?

Let's go to the objectives,

Tutazigawa in 3 sections kama sales funnel inavokuwa

1.Awareness
2. Consideration
3. Conversion

1. AWARENESS

The main aim of this objective kama jina lake, it's all about spreading awareness

Kuna objectives 2 unazoweza select :-

REACH and BRAND AWARENESS

However, it's not advised kwa watu wenye bajet ndogo or small brands kuzitumia

Maana they won't deliver any tangible results

(*Except reach pale unapofanya retargeting campaign )

2. CONSIDERATION

This is a part ambayo objectives zake zinafanya kazi vizuri, definitely use them katika ads zako

Hapa utakutana na ad objectives ambazo zinalenga kumfanya mtu aweze kuinteract na brand yako

Na kuweza kujenga relationship

Consideration Ad objectives are

- Engagement (likes & comments)
- Traffic (Website or blog)
- Message (WhatsApp,Messenger or insta DM)
- Video views
- Lead Generation
- App installs

3. CONVERSION

This is the most expensive and most profitable Facebook ad objective.

Hapa unaoptimize mtu asiishiye tu kuvisit your website kwa mfano, bali aweze kununua kabisa #convert

You optimize for the "conversions"

However, this part is a bit advanced kidogo

- You need to have Facebook pixel installed to track the conversions

- You need at least 50 conversions to effectively work (in a week)

- Ad budget yako hapa inabidi iwe imeshiba (sio $5/day)

And conversion objectives work well kwa wale wanaorun ecommerce sites

Utakuta mtu anaspend $1000/day on ads

So, let's put it on the side and wrap this

In conclusion:-

Jifunze kutumia the right ad objective kwenye campaigns zako za matangazo

Usiende kichwa kichwa, utakua unapoteza hela na huoni matokeo mazuri

It's all about OPTIMIZATION first, before you get RESULTS

Well, hopefully umegain kitu leo

Let's meet on the next THREAD to learn more

Just make sure umenifollow @ansbert_oscar , ili usikose more lessons and tips

Also, don't forget to Like and RT ili na wenzetu waone na kujifunza

BONUS BREAKING NEWS 💥💥

-Timu yetu ya NYUMBANI DIGITAL AGENCY tutaopen Group la WhatsApp for more FREE TRAININGS like these

- If you want to join, stay tuned or nichek DM mapema to reserve your seat

And lastly, kama una swali lolote about today's thread

Ask here or DM for further assistance

#HappyNewMonth

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling