Ansbert | Swahili Marketer ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile picture
I write Swahili Tweets about Social Media Marketing | Sponsored Ads | Jifunze & Grow Today | FREE PDF Guide Coming soon
Nov 1, 2021 โ€ข 23 tweets โ€ข 4 min read
Jifunze SIRI ya kupata matokeo mazuri unapofanya matangazo yako

=> Introduction to Facebook ads 2021 (for beginners )

Part 2: AD OBJECTIVES

Thread๐Ÿ“ Image Well, leo tunaendelea na sehemu ya 2 ya series yetu hii about Facebook ads

Kama wewe ni beginner na ungependa kufahamu kiundani jinsi ya kuadvertise successfully na Facebook

Pay attention, and follow along
Oct 22, 2021 โ€ข 12 tweets โ€ข 4 min read
Introduction to Facebook Ads Manager 2021 (For Beginners)

IFAHAMU Facebook Ads manager platform na faida zake ktk kuendesha matangazo yako ya biashara

Thread ๐Ÿ“ Yesterday, nliona tweet ya @GillsaInt akigusia this platform na namna ilivyo na nguvu ktk kuleta MATOKEO ktk matangazo yako ya biashara

So, I've decided to give you an introduction,

Kwa wasioifahamu au wanaoiskia skia tu..FACEBOOK ADS MANAGER