criannicas♟️ Profile picture
Trader 5+ years | Investor | Educator | The markets moves. I catch the moves. 👇You learn the moves

Nov 28, 2021, 21 tweets

Hivi ndivyo Metaverse itawanufaisha content creators na kila mtu kujipatia kipato kama ilivyo kwenye real world.

Tayari metaverse tumeshaanza kuiishi >>> Kupitia hii thread nitagusi sehemu ambazo tayari watu wanajipatia fulsa
-Content creators
-Gamers
-Freelancers
-Real Estate brokers

Kabla ya kuendelea na hayo maeneo, tuelewe METAVERSE kwa ufupi.

Kama unafatilia movie za AVATAR issue ya metaverse sio kitu kigeni kwako, tumezoea kuona kwenye movie.
Makampuni ya games kama Roblox imekua inatumia visual reality kama sehemu ya watu kua entertained kwa kucheza games.

Asante kwa inventors waliochangia tech inventions >> 1970 Robert Khan akaja na Interent Protocol au Transmission control protocol IP/TCP.
1990 invetor Tim Berners akatuletea World wide web (www) web1 kutuwezesha ku-access taharifa mtandaoni kupiptia website na Hyperlink hadi.

Behind the scenes kuna kikundi kinaitwa Cypherpunks ambao hata kabla ya internet walijua hata ambayo hatujayaona. Walijua wapi tech inaelekea ndio haohao pia walianzisha Digital coins kama Digcash na Bitgold hata kabla ya Bitcoin ingawa zilifeli.

Cypherpunks pia walitengeneza EGold miaka miwili badae Elon Musk akaleta PayPal kama e-wallet amabayo hadi leo tunatumia.( >>> Hii itakua topic ya siku nyingine , tuendelee na metaverse)

2003 Facebook ilikua launched kama FaceMash kabla ya kuitwa Facebook 2004, Lengo ilikua kuiweka Dunia kua connected. Hadi kufika 2021 kupitia Facebook unaweza share Picha, video bila expression ya uwepo wako na mtu unaeshare nae moments

>>> Hapa ndio Metaverse inatuletea expression on moments in a real world. Yaani mtu wako yupo Kigoma huko kwa kina @Mpambazi wewe upo zako Dar Mnaenda kukutana Man city pale au Paris Ujerumani😅😅

So, Metaverse kwa ujumla ni visual world ambayo inawakilisha ulimwengu kwa uhalisia wake ( Physical world)
Kupitia metaverse unaweza miliki kiwanja (Land). Kama ilivyo ulimwengu halisia.

Sehemu yoyote ambapo kuna mkutano wa watu lazima kuna fursa
-Gamers & NFT Developers
-Event hosting
-Land Managers & designers
- Freelancing

Nitajitahidi nielezee moja baada ya nyingine. Ndugu zangu walio kalili fulsa za mtandaoni ni utapelihawatanielewa hata kwa bunduki

1/ Gamers na Content Creators (NFTs)
Utakua umesikia neno NFT (Non-Fungible Token) kama crypto asset. Kwenye Metaverse ni sehemu ya visual reality, tunahitaji arts, vidios na contents k ambazo watu wataweza nunua na kuzitumia kama ilivyo ulimwengu halisia.

Tembelea sites za Decentraland , Sandbox na Infinity ( AXIE) huko unaweza tengeneza games pia kupitia Opensea unaweza tengeneza NFTs na kuuza.
Kama huna uelewa kuhusu NFTs tembelea hiyo thread yangu

2/Freelancing
twitter kuna watu kama @mafolebaraka wanafanya kazi za watu/ makampuni mbalimbali na kulipwa >> hivohivo kwenye metaverse. Sehemu yoyoyte yenye mkusanyiko wa watu lazima kue na business owners na siku hizi biashara zate ni kupitia social medias.

Freelancers wenye Digital marketing skill, Graphics designers, Computer engineers na developers , community managers wanahitajika.
Last time Sandbox walihitaji watu wa kumanage communities zao kupitia groups za telegram, twitter na Facebook... hizo ndo fulsa.

3/ Events hosting
Metaverse ni sehemu ya kuvijali yani, moments na marafiki au ndugu mnapiga story. Nikiwa na kiwanja kwenye site kama Sandbox au Decentraland nitaweza host events za muziki na kulipisha.

4/ Land designers
Kuna watu wanasomea architecture na hawajui ni vipi itakua applied kwenye metaverse.
Ipo hivi >> nitakua na kiwanja Decentraland , ikiwa nahitaji kukifanya sehemu ya kuhost events za mpira au concerts lazima nihitaji architecture kupitia freelancing site.

5/ Real Estate brokers
Tunajua madalali wa viwanja, nyumba na majengo. Kupitia Sandbox na Decentraland utanunua kiwanja chako lakini itafikia muda utahitaji kukiuza >> hapa kati ndipo wataingia Dealers .

Cryptocurrencies zitakua zinatumika kwenye metaverse kama ilivyo huku utamlipa mtu kwa Dollar au Euro.
Kwenye Decentraland utanunua Ardhi kwa MANA COINS, Huwezi miliki NFTs bila kua na ETHERIUM COIN...

Kuna mtu atajiuliza pia, Kwani kwenye Metaverse kuna Bank? 😎Jibu ni HAPANA huku kuna Exchange wallets. Hutaweza kulipwa au kulipa pasipo kua na Wallet.

Hadi kufika 2030 kutakua na wimbi kubwa ukosefu wa ajira kutokana na Maendeleo ya Technology… AI ndio mfano dhabiti kuanza kutegemea Robots kufanya kazi Zaidi ya kutegemea binadamu.

Makampuni mengi yanaangalia kua cost effective, labour utilization with less supervision, kupitia hiyo wengi waatapoteza kazi. Unahitaji kujua wapi tunaelekea kuongeza skill moja baada ya nyingine. Asante

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling