Fortunatus Buyobe Profile picture
Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO

Jan 23, 2022, 5 tweets

MAKONDA RASMI MAHAKAMANI

Mahakama ya Kinondoni imemwandikia Christian Makonda kufika mahakamani tarehe 3 February 2022 kujibu Miscellaneous Criminal Application Na. 1 ya mwaka 2022 na imepangwa kusikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi, Aron Lyamuya.
👇

Makonda anashitakiwa kwa kuvamia kituo cha clouds tarehe 17 March 2017 saa nne usiku.

Siku ya tukio alifika akiendesha gari yake mwenyewe yenye usajili T 553 BFM akiwa na Askari wanne waliovaa sare za majeshi mbalimbali.

👇

Lengo lilikuwa ni kushinikiza watangazaji warushe kwenye kipindi video ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la GRACE ATHUMANI akifanya tendo la ndoa na Askofu Gwajima.

Muaandaaji wa video ile hakuwa anafahamika.👇

Makonda kuvamia Clouds, ni matumizi mabaya ya madaraka, chini ya kifungu cha 96 ya Kanuni ya adhabu (Penal Code), Sura ya 20 na kuingilia moja kwa moja, mawasiliano ya Kieletroniki.

Wengine anaoshitakiwa nao ni DPP na DCI kwa kushindwa kumchukulia hatua.

Vielelezo vitakavyotumika ni ripoti ya NAPE na katazo la @usembassytz la kumkataza Makonda na mkewe Marry Massenge kuingia Marekani kwa kunyima watu haki ya kuishi.

Nitakuwa karibu na kesi hii kwa updates.

Fanya kufollow account hii mpya na weka notifications ON

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling