Coxstore  Profile picture
👨🏿‍🎓|Comp Engineer |Lab sc |Tech Reviewer | Found by Jesus Christ,

Jan 29, 2022, 5 tweets

MATATIZO YA MARA KWA MARA KWENYE ANDROID TVS(Televisions)NA NAMNA YA KUYATATUA.

Cc @EngCostantine 🦅

Kama tulivyo elezea kwenye nyuzi nyingi zilizopita ni android tv kua na uwezo wa ku support play-store na wakati huo smart haina uwezo huo ,
Matatizo ya android tv ni kama

1.KUJIZIMA MARA KWA MARA
Kama Tv yako hua ina tabia ya kujizima na kujiwasha kila mara hii yaweza kua ni settings kwenye day dream na screen saver unacho takiwa ni ku turn off hizo settings kama likiendelea basi fanya factory reset ya Tv yako

2.TV INAKUA SLOW
Hii husababishwa na app ambazo una zi install kutoka play store zinajaza memory space pia zingine zinakua hazipo compatible na TV yako
Solution:zi uninstall hizo apps ambazo ukizi lunch TV inakua slow

3.UKIINGIA NETFLIX HUWEZI STREAM KWENYE 4K format
Hii inaweza sababishwa na internet connection kua weak ama TV kuto ku support 4k ,so cha kufanya ni ku restart router yako ama ku refresh wi-fi network yako

4.TV INAKUA INA LOAD TU HAIWAKI.
Unapo iwasha TV yako inakua inaishia kwenye ku load tu haimalizi
Solution 1:binya kidude cha kuwashia mpaka ilete options za ku reset

Solution 2:kadi inaweza ikawa imekufa so ikishindikana ku reset itabidi kubadili kadi

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling