🦅ZIJUE SECRET CODES ZINAZO SAIDIA KUTAMBUA KAMA SIMU NI FAKE AU LAA!
USSD codes-uninstructured supplementary service data(ussd) ni code za siri ambazo unaweza kuzitumia kugundua baadhi ya features ambazo zimefichwa kwenye simu,na mara nyingi simu ambazo sio genuine hua
zinakataa baadhi ya codes,codes hizi ni kwaajili ya watumiaji wa vifaa vyenye operating system ya android tu
1.*#*#7780#*#*
Hii ni kwaajili ya kufanya factory reset ,kufuta apps zote na accounts zote kwenye simu na kuirudisha simu kama mpya ulipokua unaitoa kwenye box
2.*#06#
Hii hua ni kwaajili ya kucheki IMEI namba ya device yako na hakikisha imei namba itakayotokea ipo sawa na imei namba ya kwenye box
3.*#0*#
Hii ni kwaajili ya ku activate general test Mode ,mode ambayo inakufanya uone na kujua kama kuna baadhi ya feature ambazo hazifanyi kazi mfano Touch testing,Front cam,Led,sub key,Barcode emulator test,device version,RGB Testing na Grib sensor testing
4.*#*#7594#*#*
Kubadilisha behavior ya power button,kama unataka kubadilisha tabia ya power button unaweza kutumia hio code badala ya ku hold power button na baadae uchague kwenye screen option ya kuizima simu ,unaweza kubadili kwa hio code ukawa ukibonyeza tu power button simu i
zime
5.*#3282*727336*#
Hii code itakusaidia kuona storage ya simu yako
6.*#67#
Hii itakusaidia kuona kama calls zako zimeelekezwa kwenye namba nyingine ,hii unaweza kuiondoa kwa kwenda kwenye setting za simu yako
7.*#31#
Hii code kwaajili ya ku ondoa kuonekana kwa mtu kama ulimpigia ,ukitaka kuiondoa iludia kuibonyeza tena hio hio code.
⚠️hizi codes zinakubali baadhi ya simu za android sio zote ila kwa mfano simu ya mwezio ni samsung A12 na inakubali moja wapo ya code na ya kwako simu hio
hio inakataa basi ujue kuna shida mahali.
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.
