The ChandO Profile picture
MAKETE 🇹🇿 : || #Engineer👨‍🔬 || 🧾HUMBLE😶 || ukiitaji LAPTOP 💻 👉 @chandolaptop || #MkumbusheMwanao || https://t.co/4qv5w2oXtp🦍

Jul 30, 2022, 6 tweets

Uzi : SMS "3" KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA...☠

1.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Endelea Sasa fundi...😁👇

2.💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako, Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö, näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana,

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia...👇

Yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

3.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda.

Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe!

naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa shetani ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu!

nimegundua nilikukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya, bora na mwaminifu,

nisamehe mpenzi wangu naomba...👇

unipe nafasi nyingine katika moyo wako.

Haya fundi ongeza na za kwako hapo chini...😁👇👇👇

Pia Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii 👉wa.me/+255762305991

Tufollow @SadickTusia 🇹🇿

~Kwa contents za kingereza tembelea @ChandoFact 👇
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials
~kwa vifaa vya Ujenzi na bati @UjenziSolution

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling