🦅KINACHOTOKEA WAKATI WA KU BOFYA NA KUSAMBAZA LINK ILI KUPATA ZAWADI📚
Kuna links nyingi sana ambazo hua watu wanaambiwa ku share na watu labda 10 au kwenye baadhi ya ma group ya WhatsApp ili kujishindia zawadi au kupata udhamini wa kusoma nje ya nchi
#Elimikawikiendi
Links hua zipo nyingi sana kuna zingine ni kujishindia simu flani mpya iliyotoka wakati huo,gari ya thamani,kwenda kutizama mechi ulaya live,au kampeni zingine ni kuataka kutabiri namna mtoto wako atakavyokua ama zingine kutabiri utakua tajiri kiasi gani moja kati ya kitu ambacho
Hua kinafanyika nyuma ya pazia ni kutekwa nyala(enslavement )kwa kifaa chako cha ki electronic kinachotumika kusambaza link hio inaweza kua ni pc,smartphone,ipads ama tablet na aina hii ya utekaji nyala wa mtandaoni tunaita Distributed denial of service attack(DDOS)
Lengo la hawa ma intruder kufanya attacks kama hizi hua ni kwaajili ya kupata enslaved electronic devices nyingi sana ili ziweze kutumika kama bots 🤖 ku run kampeni tofauti tofauti mtandaoni na hua wanalipwa pia kwaajili ya kutimiza lengo flani mtandaoni
Mfano
#Elimikawikiendi
🤔kutengeneza traffics kwenye website flani na kuwafanya watumiaji wa hio website wasiweze kuitumia kwa muda huo
🤔ku view videos youtube ili kuongeza namba za viewers
🤔ku follow mtu kwenye social networks ili kumwongezea followers
🤔kutengeneza maandamano mtandaoni
Kwa ku post kitu kile kile kila wakati au bots kua programmed ku reply pale unapo type keywords flani mfano @pikaso_me screenshot this 😀😀😀
Jamaa ambao wameteka nyala simu yako wanaingiza pesa nyingi sana kupitia MB zako 😀😀 namna ya kujua kama simu yako imetekwa
Hiki ndo kinachofanyika mpaka simu yako inatekwa nyala,kunakua kuna Main attacker ambaye ndio ana fanya coding kwa lengo la ku enslave simu nyingi za watu na anafikiria tu ni kitu gani ambacho kitaenda viral mfano kuna kipindi hua tunatumiana heri ya Christmas 🎄 na New year
Kupitia link 🤔 kwenye hio link anakua ame embed na kitu kinaitwa DDOS tool kwa kila mtu atakaye click hio link au ata tembelea hio site hii ddos tool itakua installed kwenye simu yako pasipo uhitaji wa wewe kui ruhusu,na baada ya ku install inakua ina run
Commands zote kutoka kwa Admin mfano admin aki run commands za kwenda ku view videos za military stories kutoka kwa @view_lets basi ni kila simu ambayo ipo enslaved ni itaenda ku timiza hio command ,sasa imagine kwenyi cycle yako ni watu wangapi wame click na ku share hio
Link ya happy new year 🎆 na Christmas 🎅?nchi ngapi ?duniani ? Kwaio you can see how hawa wahuni wanakua na billions of 🤖 bots around the globe na ndio maana kwa watu ambao hua wananunua viewers akijaribu kuangalia viewers mara nyingi wanakua ni wa nchi tofauti tofauti
Sio wa ile nchi anayokaa
#Elimikawikiendi
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.