Ukiachilia mbali kua ni Rapper wa miaka ya 90 mwenye ushawishi muda wote
Pia Tupac ni most quotable rapper of all time kupitia nyimbo & interviews zake...
Kwa kukuthitishia hilo, nimekuandalia quotes zake 10 bora za muda wote..👇🏽
#THREAD
#KiddyMusicBrief
🔟. "Currency means nothing if you still ain't free"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "HOLD YA HEAD" kutoka kwenye album ya "The Don Killuminati The 7 Day Theory"
Akiwa na maana Pesa haina maana kama hautakua huru.
9️⃣. "They Got money for wars, but they can't feed the poor"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "KEEP YA HEAD UP" kutoka kwenye album yake ya "Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z"
Album hii ilitoka mnamo February 16, 1993. Na huo ni moja ya wimbo bora wa album hii
8️⃣. "Money bring b!tches, B!tches bring lies"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake wa "All Eyez On Me" kutoka kwenye album ya "ALL EYEZ ON ME"
Ni Thug Quote yake inayokumbukwa wakati wote
Album ilitoka February 13, 1996. Ni album ya mwisho kutoka Tupac akiwa hai
7️⃣. "Don't believe everything you hear. Real eyes, Realize, real lies."
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake wa "CAN'T C ME" all the way from "All Eyez On Me" album
For the record: Hii ndio album pekee iliyopeleka hits nyingi kwenye Hot 200 Billboard
Ilipekea nyimbo 4
6️⃣. "I Love my people DO or DIE, but I wonder why, we scared to let each other fly"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "KRAZY" kutoka kwenye album ya "The Don Killuminati The 7 Day Theory"
5️⃣. "Tell the babes how I love 'em, Precious boys and girls. Born Black in this white mans world"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "WHITE MANZ WORLD" kutoka kwenye album ya "The Don Killuminati The 7 Day Theory"
4️⃣. "Ain't a WOMAN alive that could take my Momma's place"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "DEAR MAMA" kutoka kwenye "Me Against The World" album
For the record: Huu ndio ulikua wimbo bora wa album
Album ilitoka March 14, 1995. Ni album ya 90s bora ya wakati wote
3️⃣. "Real N!ggaz do what they wanna do, b!tch N!ggaz do what they can"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "Starin' Though My Rear View" kutoka kwenye album ya "Tupac Resurrection"
Moja ya Thug Quote zake zinakumbukwa zaidi
2️⃣. "I know it seems hard sometimes but remember one thing. Though every dark of night, there's a bright day after that. So no matter how hard you get, stick your chest out, keep ya head up and HANDLE IT"
Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake wa "Me Against The World"
Kutoka kwenye album ya "ME AGAINST THE WORLD"
Hii ni nukuu na motivational yake inayokumbukwa zaidi muda wote.
1️⃣. "I'm not saying I'm gonna change the world, but I guarantee that I will spark the brain that will change the world."
Nukuu hii inatoka kwenye interview yake ya mwaka 1994.
Tupac aliongea mambo mengi siku hii, ila hii ni Iconic line aliyotema na inakumbukwa wakati wote
Kwa heshima, nukuu hii imeandikwa kwenye Sanamu yake iliyopo huko Las Vegas
MWISHO..
Until next time...🤝🏽
Yeah, I see you tryna leave without Retweeting Thread. But just know is not fair...😐
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.