James Munisi Profile picture
Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa

May 15, 2023, 12 tweets

πŸ’¨ #ChactGPT AI nzuri kwa kutumia mpaka sasa
Kutokana na uwezo wake
Lakini leo nakuletea mambo 10 yanayofanywa na Bard ambayo ChatGPT haiwezi kuyafanya!

Source: [You need a robort]

1. Uwezo mkubwa wa kuperuzi (Internet access)

Bard inauwezo mkubwa wa kperuzi online kutokana na imeunganishwa na google search severs!
Hii inaipa uwezo wa kupata majibu mapya ya muda huo kwa haraka zaidi.

Mfano: video kiwango cha pesa kilichowekezwa kwenye AI 2023.

2. Vyanzo (Plugins)
Kutokana na Supercharge google wame-connect Bard na makampuni mbalimbali ili kumuwezesha mtumiaji kufanya vitu tofauti tofauti kwa kutumia bard
Mfano;
-unaweza nunua baiskeli kwa bard toka ebay
-panga reservation ya hoteli
- Agiza vitu kwa instacard
Na zaidi

3. Coding
Unaweza ukaandika code mpya au ukaelezewa code utakayoiweka bard
Pia unaweza tumia bard kama msaidizi wako katika kuandika code yako mpya (co-pilot)

Mfano: Write code for simpe putt putt game!

4. Majibu ya Picha.
Kwa kutumia bard unapata majibu ya maswali utakayo uliza na picha kutoka kwenye websites husika zilizopostiwa
Hii inakusaidia kuhakiki kuwa majibu uliyoyapata ni ya kweli.

Mfano: swali kuhusu sehemu za muhimu za new Orleans!

5. Image Search
Bard inauwezo wa kusearch picha yoyote utakayotaka na kukupa majibu juu ya picha hiyo.

6. Uhamishwaji na Ushirikiano
Kinyume na ChatGPT, Bard anakupa uwezo wa kuhamisha majibu yake kwa Gmail au kwa kuyasave kama documents

Pia unaweza kuendelea kutafuta majibu zaidi juu ya swali uliloliuliza kwa kuigoogle,
Ambapo chini ya bard kuna button ya "Google it"

7. Website/ Article summary
unaweza summarize website au articles yoyote ilioko mtandaoni kwa kutumia Bard!
Unafanya hivyo kwa ku-copy link ya article hiyo na kumwambia Bard akusaidie kufupisha article hiyo!!
Hii ndio miongoni mwa feature ninayoipenda toka bardπŸ™ŒπŸ½

8. Select multiple Drafts:
Unaweza ukachagua kutoka majibu tofauti tofauti. Hii inakuwezesha kukupa choice ya jibu unalolitaka katika swali lako.

9. Voice prompting!
Hii inakuwezesha kuuliza maswali yako kwa sauti na kukupunguzia taabu ya kuandika kila swali lako unalotaka kuuliza!
Kitu hiki ChattGPT hawana 😲

10. SEO Companion
Huu ni uwezo wa kukusaidia ku design website na kuongezea nguvu kwenye search engine yako.

Bard inaweza kukusaidia wakati wa kujaza website kwa kuangalia research juu ya suala mbali mbali unayofanya kwa website yako na kukusaidia kujazia vitu vinavyomiss.

Kwa hakika umeona kwa namna gani #ChatGPT inahitaji maboresho mengi japokuwa ina uwezo mkubwa!
Uzi huu umetasfiriwa kwa kiswahili kwa Udhamini wa @NjiwaFLow na mwandishi: @Rydx_017
Usisahau kufollow na kuwasha notification kwani yajayo ni Mengi zaidi!!

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling