π¨ #ChactGPT AI nzuri kwa kutumia mpaka sasa
Kutokana na uwezo wake
Lakini leo nakuletea mambo 10 yanayofanywa na Bard ambayo ChatGPT haiwezi kuyafanya!
Source: [You need a robort]
1. Uwezo mkubwa wa kuperuzi (Internet access)
Bard inauwezo mkubwa wa kperuzi online kutokana na imeunganishwa na google search severs!
Hii inaipa uwezo wa kupata majibu mapya ya muda huo kwa haraka zaidi.
Mfano: video kiwango cha pesa kilichowekezwa kwenye AI 2023.
2. Vyanzo (Plugins)
Kutokana na Supercharge google wame-connect Bard na makampuni mbalimbali ili kumuwezesha mtumiaji kufanya vitu tofauti tofauti kwa kutumia bard
Mfano;
-unaweza nunua baiskeli kwa bard toka ebay
-panga reservation ya hoteli
- Agiza vitu kwa instacard
Na zaidi
3. Coding
Unaweza ukaandika code mpya au ukaelezewa code utakayoiweka bard
Pia unaweza tumia bard kama msaidizi wako katika kuandika code yako mpya (co-pilot)
Mfano: Write code for simpe putt putt game!
4. Majibu ya Picha.
Kwa kutumia bard unapata majibu ya maswali utakayo uliza na picha kutoka kwenye websites husika zilizopostiwa
Hii inakusaidia kuhakiki kuwa majibu uliyoyapata ni ya kweli.
Mfano: swali kuhusu sehemu za muhimu za new Orleans!
5. Image Search
Bard inauwezo wa kusearch picha yoyote utakayotaka na kukupa majibu juu ya picha hiyo.
6. Uhamishwaji na Ushirikiano
Kinyume na ChatGPT, Bard anakupa uwezo wa kuhamisha majibu yake kwa Gmail au kwa kuyasave kama documents
Pia unaweza kuendelea kutafuta majibu zaidi juu ya swali uliloliuliza kwa kuigoogle,
Ambapo chini ya bard kuna button ya "Google it"
7. Website/ Article summary
unaweza summarize website au articles yoyote ilioko mtandaoni kwa kutumia Bard!
Unafanya hivyo kwa ku-copy link ya article hiyo na kumwambia Bard akusaidie kufupisha article hiyo!!
Hii ndio miongoni mwa feature ninayoipenda toka bardππ½
8. Select multiple Drafts:
Unaweza ukachagua kutoka majibu tofauti tofauti. Hii inakuwezesha kukupa choice ya jibu unalolitaka katika swali lako.
9. Voice prompting!
Hii inakuwezesha kuuliza maswali yako kwa sauti na kukupunguzia taabu ya kuandika kila swali lako unalotaka kuuliza!
Kitu hiki ChattGPT hawana π²
10. SEO Companion
Huu ni uwezo wa kukusaidia ku design website na kuongezea nguvu kwenye search engine yako.
Bard inaweza kukusaidia wakati wa kujaza website kwa kuangalia research juu ya suala mbali mbali unayofanya kwa website yako na kukusaidia kujazia vitu vinavyomiss.
Kwa hakika umeona kwa namna gani #ChatGPT inahitaji maboresho mengi japokuwa ina uwezo mkubwa!
Uzi huu umetasfiriwa kwa kiswahili kwa Udhamini wa @NjiwaFLow na mwandishi: @Rydx_017
Usisahau kufollow na kuwasha notification kwani yajayo ni Mengi zaidi!!
β’ β’ β’
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
π¨ Hivi unafahamu cha kufanya pale simu yako itakapo dumbukia kwenye Maji??
Leo nimepa ta ujuzi kidogo nikaona sio mbaya ku-share na nyinyi.
Yawezekana simu yako ni water resistant. Hii inamaanisha kuwa simu yako haitaathiriwa na maji kwa muda flani, haimaanishi kuwa..ππΎ
Simu yako ni water proof!. Mpaka sasa hivi duniani hamna simu ambayo ni water proof.
Water proof inamaana kuwa simu yako haiingii maji hatakama utaiacha Mwaka mzima kwenye maji yenye kina chenye urefu wowote.
Tuache stories twende kwenye point.
Simu yako imedumbukia..ππΎ
Kwenye maji, na ni water resistant means itakuwa inaendela kufanya kazi. Ila simu huwa na matundu ya speaker kwa ajili ya kutoa sauti ambayo matundu hayo huongiza maji.
Yafuatayo ni mambo ya kufanya simu yako inapoingia kwenye maji!
π¨ Mark Zuckerberg anapenda sana ushindani kwa upande wa Social media apps ambapo, huchukua idea za wenzake na kuzinadi kwa namna yake.
Kama una kumbukumbu Facebook ilikuja kuiua My Space, Stories kwa instagram zinashindana na Snapchart, Instagram reels nazo ni kwaajili..ππΎ
Ya kuiua Tiktok, sasa wameleta threads kuondoa Ubaguzi unaondelea Twitter!!
Wakati tukiendelea, kusubiri updates mpya na feature mpya kuwa added kwenye Threads, acha tulinganishe Twitter na threads, ili tujue ni feature gani zinatakiwa ziongezwe kwenye Threads..ππΎ
1. Ukomo wa character (Character Limit).
Apps zote hizi mbili zina limits ambayo, mtu anatakiwa asizidi wakati wa kuandika Uzi wake.
Kama tunavyojua twitter ina limit ya 280 characters kwa thread moja lakini kwenye Threads wametupa limits ya characters 500 per thread...ππΎ
π¨"Wandugu! Android 14 inakuja na ni nzuri mpaka naona inawafanya marafiki zangu wanaotumia iPhone waone wivuπ ! Lakini msiwe na wasiwasi bado mimi ni rafki yenu nitawa-text kwa sababu tunakuja wawekea RCS kwenye iPhone"
Amesema #bardAI
Mimi nakuletea feature mpya za Android 14 twitter.com/i/web/status/1β¦
Android 14 ni version mpya ya simu zinazotumia operating system ya google. Ilitangazwa mwanzoni tarehe 20, february 2023 ambapo mpaka sasa hivi inaendelea kuboreshwa.
Android 14, tangu inze kutumika imefanyiwa maboresho kibao!
Zifuatazo ni features zilizo kwenye maboresho hayo!
1. New lock screen:
Mwonekano mpya wa lock screen ya android 14 umeboreshwa kwenye
β Imekuwa rahisi kubadili na kuweka wigget, shortcuts na themes mpya
β Unaweza badili mwonekano wa saa,kuongeza widget na kutengezeza shortcuts ya apps zako pendwa.
Angalia kwenye pichaππΎ