Fahamu jinsi ya kupiga window kwenye flash !!!
Je ulikua unasumbuka wapi utaweza kufanya installation ya window kuanzia 10, 11, 8, 7 kupitia flash yako ๐๏ธ relax Leo nakujuza.
Utaweza kufanya installation ya window 10 kupitia USB flash, Je kwanini tunatumia flash kupiga window?
Labda tuchukulie Cd huna , pia mlango wa Cd umekufa๐ค sio lakini ni muhimu kujua kuhusu Laptop yako kama ina support mfumo wa UEFI Mode. Lazima ujue tofauti ya Bios pamoja na UEFI mode.
Computer nyingi za zamani zinatumia mfumo wa bios (basic input | output system) kwa ajili ya ku boot window pamoja na ku manage vitu vilivyopo kwenye OS na device lakini kompyuta nyingi za kisasa zinatumia mfumo wa UEFI Mode.
UEFI Mode (Unified extensible firmware interface) hii Teknolojia imekuja kuwa mbadala wa Bios kwani imekuja na mifumo ya legacy support UEFI inasaidia kompyuta kuweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo kwenye kompyuta bila kutumia software au media Fulani.
Jinsi ya kufanya installation ya window 10
โข hakikisha kwanza umepakua file la window ambalo linaitwa Iso image we ingia Google andika window 10 iso image bonyeza link ya Microsoft download.
hakikisha una flash kuanzia 8Gb, 16Gb , 32Gb nk Kisha pakua software inaitwa Rufus au powerIso kuweza kufanya bootable flash Yetu kwa kuweza kuweka window ndani
fungua Rufus software kwenye device chagua flash Kisha kwenye boot selection chagua sasa window yako ambayo umedownload
Ifungue iyo program Kisha kwenye boot selection chagua ๐
Kisha bonyeza select kuchagua sehemu uliyoweka window yako
kwenye partition scheme chagua Mbr kma unatumia PC zenye mifumo ya kizamani ila kama unatumia laptop za kisasa tumia Gpt ambayo ni UEFI
ukimaliza bonyeza start kuanza kufanya bootable flash yako.
Jinsi ya kupiga window sasa
Kama unahitaji link zote za kudownload Window 10 , program ya Rufus tembelea channel yetu ya telegram ๐
Tunaendelea ๐t.me/bongoTechs255
Jinsi ya kupiga window sasa
โข zima na uwashe kompyuta yako Kisha chagua boot options menu unaweza Google boot options ya Kampyuta yako kujua kama unatumia F12 , F9, au Esc nk
utaweza kuchagua flash yako na ku boot baada ya hapo wanaweza kumuuliza bonyeza any key to continue au lah Kisha utabonyeza herufi yoyote mara mbili au moja nk
Utaweza kubonyeza sehemu ya press any to boot from Cd or DVD or flash nkutabonyeza key yoyote ile kama F , B , G mara mbili mbili
utaweza kuchagu lugha yako na kupiga next kwenye time zone chagua East Africa ambayo utaikuta Nairobi ukimaliza bonyeza next au start
chagua custom Kisha partition utachagua partition unayotaka kupiga window piga window ๐๏ธ
W
Window itaanza kufanya installation ikimaliza itazima kompyuta yako na kujiiwasha Kisha utachomoa flash ๐๏ธ
furahia window 10, 11, 12 na 7 kwenye laptop yako
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi ๐๏ธ
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.