How to get URL link on X (Twitter) App
๐ญ Watumiaji wa android watakua na uwezo wa kujua kama Kuna mtu anamfuatilia kupitia mfumo wa AirTag ambao utakuja na feature nyingi za ziada.
Labda tuchukulie Cd huna , pia mlango wa Cd umekufa๐ค sio lakini ni muhimu kujua kuhusu Laptop yako kama ina support mfumo wa UEFI Mode. Lazima ujue tofauti ya Bios pamoja na UEFI mode.
Swali la kujiuliza ni kweli Whatsapp ya mark Zuckerberg anaweza kusikilizia maongezi yako wakati unazungumza na mama ,baba, rafiki, mpenzi wako ? Kiuwalisia hapana haiwezekani,
Whatsapp najua ni mtandao pendwa ulimwenguni lakini kumekua na visaa kadhaa vya watu kuibiwa akaunti, pesa kupitia Whatsapp
Mr Elon musk ambaye mmiliki mpya wa Twitter aliyenunua October mwaka Jana amesema " ni muhimu Sasa kuondoa watu ambao vilaza kwenye akaunti ya Twitter watu ambao sio active kwa muda mrefu ili kuipa heshima mtandao huu"
Hivi unajua unaweza tumia Cmd kufanya activation ya window 10 kwenye kompyuta yako.
Specs:๐
1๏ธโฃ change voice to text
Kamishna wa Masuala ya masoko ndani Jiji la Umoja wa Ulaya Mr Thierry Breton amewaonya Apple juu ya kuweka mfumo wao wa USB type C kwenye vifaa usiwe limit kwa kuzuia baadhi ya vifaa kutotaka kuingiliana nao.
Haswa mataifa kama vile Malaysia , Ethiopia, Vietnam, Indonesia, china ,Syria, North korea, united Arab Emirates (UAE) nk ambapo Whatsapp wamezuiwa Whatsapp call kwenye izo nchi.
Tunatumia simu kwa ajili ya mawasiliano na watu mbalimbali , kupoteza simu ni moja wapo ya jambo ya changamoto ngumu kwenye maisha Yetu haswa kama simu yako ndo mpya alafu umenunua kwa Gharama kubwa.
Kabla ujaendelea Ebu fanya ku like & retweet ili watu wengi wajifunze kuhusu hii maana tunaokoa jamii nyingi ya afrika mashariki ๐
Sema Kuna watu wanatumia ndivyo sivyo kwani wanaitumia kufuatilia mawasiliano ya watu wao wa karibu ๐ !! tumia kwenye njia iliyo sahihi ๐ jamani .