My Authors
Read all threads
Zijue sheria za uhalifu wa mitandao (cyber crimes) na adhabu zake nchini Tanzania

Leo tuangazie sheria mbalimbali za uhalifu wa mitandao na adhabu zake kwa mtu anayekwenda kinyume

Hizi ni Sheria zilizopitishwa mwaka 2015 na Raisi mstaafu Mh J.M Kikwete

Uzi 👇
Act No. 14 ya 2015
Hizi sheria zinatumika Tanzania bara na visiwani

1. Illegal access (upatikanaji wa taarifa kinyume na sheria)

Mtu hapaswi kwa makusudi kuingilia taarifa au kufanya mifumo ya computer kupatikana (accessed) ili kupata taarifa bila kufuata sheria
Kwa yeyote atakayefanya hivyo atakuwa ametenda kosa na atapaswa kulipa faini isiyopungua kiasi cha shilling Million 3 au mara tatu zaidi au kifungo kisichopungua mwaka mmoja (1) au vyote kwa pamoja.

2. Ubaguzi wa Rangi na ubaguzi wa sisi kwa sisi (Racist and xenophobic)
Mtu yeyote hapaswi kutumia mfumo wa computer kufanya yafuatayo
(a) kuzalisha vifaa (materials) vinavyoashiria ubaguzi wa rangi au ubaguzi wa sisi kwa sisi kwa lengo la usambazaji
(b) kufanya uwepo wa vifaa kwa ajili ya ubaguzi wa Rangi au ubaguzi wa sisi kwa sisi
(c) kusambaza au kueneza materials/vifaa vinavyohusu ubaguzi wa rangi au ubaguzi wa sisi kwa sisi

Kwa yeyote ambaye atakutwa na makosa haya basi atalazimika kulipa faini ya sh million 3 au kifungo si chini ya mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.
3. Illegal data Interference ( kuingilia taarifa kinyume na sheria)

Mambo yafuatayo ni kinyume na sheria kuhusu kipengele hiki.
(a) kuharibu taarifa za computer
(b) kufuta taarifa za computer
(c) kubadilisha taarifa za computer
(d) kuvuruga maana, matumizi au ufanisi
Wa taarifa za computer
(e) kumvuruga mtu mwenye ruksa ya kutumia
(f) kumzuia mtu kupata taarifa ambazo alitakiwa kupata

Kwa yeyote atakayefanya haya atapaswa kulipa faini isiyopungua kiasi cha shilling million 10 au mara tatu zaidi au vyote kwa pamoja
Pia kwa mtu atakaye fanya mambo kama vile
(a) kuwasiliana au kusambaza taarifa yeyote, program yoyote, access code au command kwa mtu ambaye haruhusiwi kupata atalazimika kulipa faini ya sh million 2 au mara tatu zaidi au kifungo kisichopungua mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.
Pia kwa yeyote atakayeharibu au au kubadilisha taarifa za computer ikiwa taarifa hizo zinahitajika kulinda sheria au kama ushahidi wa kesi
(b.1)kufuta au kurekebisha/modify program au aina yoyote ya taarifa iliyopo ndani au nje ya mifumo ya computer
(b. 2) kuactivate, kuinstall au Kudownload program iliyoundwa kwa ajili ya kufuta au kurekebisha/modify data, program au aina yoyote ya taarifa iliyopo ndani au nje ya mifumo ya computer

(b. 3) kutengeneza au kubadili au kuharibu password/nywila, namba ya mtu, code au njia
Inayotumika kupata/access mfumo wa computer

Atakayefanya haya atapaswa kulipa faini isiyopungua kiasi cha sh Mill 20 au mara 3 zaidi au kifungo kisichopungua mwaka mmoja au vyote kwa pamoja

ITAENDELEA
@TOTTechs @renatuswilliam1
@Mkuruzenzi @VenanceLFC @Deewamainde @razaqdm01
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with #TOTTechs 🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!