My Authors
Read all threads
Anaandika Askofu Bagonza, TUSIKILIZANE

Wakati wa dharura ni busara kusikilizana kuliko kuupuzana. Kwa nini?

1. Twaweza kuupuzana lakini hatuwezi kupuuza madhara ya kupuuzana.

2. Tusijiapize tunapokataa ushauri kwa sababu hali ikibadilika tutapata shida kuondoa kiapo chetu.
3. Hakuna anayemiliki ukweli wote kuhusu ugonjwa mpya. Elimu ni bora kuliko adhabu na faini.

4. Kwenye dharura tumalize tofauti zetu na kuungana. Dharura ikiisha tuulizane tulikuwa tumefika wapi kwenye ugomvi wetu.
5. Ziko hofu tatu zinatukabili. Hofu bandia inayotokana na takwimu bandia. Hofu halisi inayotokana na takwimu halisi. Hofu ya kukosekana kwa uongozi unaofanyia kazi hofu hizi. Hofu ya tatu ni mama wa hofu zote. TUSIKILIZANE, TUHESHIMIANE NA KUSHIKAMANA.
6. Hofu haiondoki kwa kuikemea, kuipuuza wala kuikejeli. Tukumbuke dua la kuku halimpati mwewe. Uongozi haumpi mtu ujasiri bali ujasiri ndio unampa mtu uongozi. Kupuuza hofu bila vitendo kunaongeza hofu zaidi.

#ChangeTanzania
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Noise Maker

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!