Noise Maker 🗣 Profile picture
FREEDOM FIGHTER,,, NOISE....MAKER..✌.. WE WANT FREEDOM OF SPEECH, WE WANT FREEDOM OF EXPRESSION, WE WANT FREEDOM OF POLITICAL DEBATE,,, 🔊🔊
Apr 28, 2020 4 tweets 1 min read
Anaandika Askofu Bagonza, TUSIKILIZANE

Wakati wa dharura ni busara kusikilizana kuliko kuupuzana. Kwa nini?

1. Twaweza kuupuzana lakini hatuwezi kupuuza madhara ya kupuuzana.

2. Tusijiapize tunapokataa ushauri kwa sababu hali ikibadilika tutapata shida kuondoa kiapo chetu. 3. Hakuna anayemiliki ukweli wote kuhusu ugonjwa mpya. Elimu ni bora kuliko adhabu na faini.

4. Kwenye dharura tumalize tofauti zetu na kuungana. Dharura ikiisha tuulizane tulikuwa tumefika wapi kwenye ugomvi wetu.