My Authors
Read all threads
Tujadili hali ya miundombinu katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Maana mkuu wetu alisema ukichagua CCM umechagua maendeleo.

Hali ya barabara jimbo la Chemba, Mbunge wake ni Juma Nkamia. Huyu ndie yule mbunge anaetaka Rais Magufuli aongeze kwa kipindi cha miaka saba mingine..
Tujadili hali ya miundombinu ya barabara katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Ukiwasikiliza wabunge wa CCM bungeni wanavyoongea unaweza kudhani majimbo yao ni Toronto au Ottawa.

Jimbo la Kilolo, mbunge wake ni Venance Mwamoto (CCM)
Hali ya miundombinu ya barabara katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Sasa kamsikilize anavyosema kuhusu maendeleo makubwa ya kununua ndege unaweza kudhani jimboni kwake kuna miundombinu kamilifu.

Jimbo la Mufindi Kaskazini, Jimbo hilo mbunge wake ni Mahmoud Mgimwa (CCM)
Hali ya miundombinu ya barabara katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Mbunge wake ni mwanasheria msomi kabisa aliyechukua nafasi kutoka kwa Leonidas Gama. Ukimsikiliza unajua kabisa jimbo hilo ni sawa na Berlin kwa maendeleo

Jimbo la Songea, mbunge wake ni Damas Ndumbaro (CCM)
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Martin M. M

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!