My Authors
Read all threads
Alikataliwa kujiunga na jeshi mara 2,baadaye akiwa na miaka 15 akafanikiwa.Kwa msaada wa CIA ya USA akampindua Rais aliyempandisha cheo cha kijeshi.Kwa miaka 17,Augusto Pinochet aliitawala Chile kwa mkono wa chuma.Aliuwa,alifunga,alitesa watu na akaweka sheria zilizomlinda yeye.
Chile ya Augusto Pinochet iliongozwa na wanajeshi,nafasi za juu za uongozi mpaka wakuu wa vyuo vikuu walikuwa ni wao.Mwanzo wa utawala wake alisifiwa kwa sera zake za kibepari,alifungua mipaka ya biashara na kubinafsisha mashirika ya umma.Lakini akaishia kujilimbikizia fedha.
Kama watawala wengi wa kiimla wasivyokuwa na mwisho mzuri,basi wa Augusto Pinochet pia haukuwa mzuri.Baada ya kutoka madarakani,alikamatwa huko UK kisha akarudishwa Chile,akatumia siku za mwisho za uhai wake kusikiliza kesi zilizomkabili.2006 akiwa na miaka 91 akaaga dunia.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Ayubu Madenge

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!