nikasema leo ni satoo na mabums hayajapata hata ka uzi, nikasema acha niwape kamoja
Hii sasa ni ukweli😂😂, kuwahusu hawa jamaa wawili, wanaitwa FRANK na FRANCIS, hawa majamaa bhana, kubaf zao
Tushuke
Ukitaka kuwa-follow shauri zako
@Franknfrancis1
👇🏿👇🏿

Mwanangu mmoja ambaye alikuwa mchizi wao, Mo Munyu, Biggie huyu kiazi @iamKachuiJr , Saadat na wengine kibao mabishoo wenzao
Sasa kak bumunda ilikuwa lazima niwe nao, sababu mimi ndo nilikuwa na run mitaa michafu, hoods zile😎😎

Visa vya kihuni vya mapacha Frank na Francis
NB: kwa pisi ninyi City girls, hawa jamaa ni marafiki zangu, kama vipi njoo DM niwape namba zao, ila, angalizo, kuna kuchanganyiwa radha kama hawa wenzenu ninaokwenda kuwasimulia
Dada wa watu kafura, analengwa na machozi, anakuja, anauliza
"Yuko api Francis" kwa kiswazi kibovu
"I wanna know where he is, just wanna talk to him"-Lucia anasema
Kuona ameanza kizungu, ikabidi nimkazie
"U wanna see him, hupajui kwake??"
Ananiangalia kwa stara kidogo this time, ananiita natoka naye parking
"Come please, and help me out"
Ilikuwa hivi
Lucia anasema
"I love him, i love him like so much, i dont know why he is doing this to me"
Kucheki mtoto amewaka mashavu, namtext Francis, OYA MWAMBA KUNA KIMEO CHAKO HUKU
ananijibu 'ni mmekiko tall??malizana naye kaka,niko
Niko pale namsikilizia mmekiko ananipa story sasa
"I met Francy like a week ago, being humble and handsome, i fell kwake, alikuwa ananifunza guitar, nili opt course kule kwao...ila
Nipo, im Marley, their friend
Lucia: their, what do u mean their??
Nipo: look mom, these guys are twins, identical to be exact, i hope u sure of whom u dated, kati yao
Nachukua simu, namuonesha picha za hawa wahuni
Namuuliza, so wewe ni nani hata unamtaka?
Lucia: i really dont know, im confused, what is happening, i can believe my eyes
Namuambia usichachawe sasa, kaa upate dawa, hapa ndo Dasalama
'Oya mjuba, utamuua huyu mzungu, na hii haitokuwa murder tu, itakuwa international murder case, na utafungwa na interpol'
Francis: sikiliza mnyama Tall, mi niko busy kaka, siwezi ondoka hapa, kama vipi mcheki dogo amalize soo.
Namcheki, "oya sikia kaka, bichwa keshaharibu, kama vipo ibuka usolve kesi"
Frank: kaka Tall, kitu cha ukweli??maana kazi za blaza nazo sio
Namuambia, shuka kaka, kazi iko poa tu, ni wewe ushuke uje umalizane nayo itulie, kwa ninavoona haijajua kwamba mko mtu mbili
Frank: basi chap, nadondoka pande hizo
Niko sasa nampanga Lucia kwamba nimemuita Francis, na anakuja, anasema amsubiri kidogo
Namjibu haina nouma ni poa tu
Mara Frank anashuka,
'Oyaa tall, huko eenh'
Anakuja, Lucia anamkimbilia, anamkumbatia, anaanza kumpiga na vibao
Lucia: kwann unanifanyia hivo, nakuja kwako na haupo, tulikubaliana
Namsikia Lucia kwa mbali
'Im so horny my love, and i promised u today, lets go so we fuck'
Namuangaliaaa nasema hiiiii
Muda kidogo wananitext wote wawili
Frank: Kaka nashukuru, pisi ya ukweli, blaza anafaidi
Francis: asante Tall,
Mi narudi zangu kwenye pool table, naendelea kuwafunga watu kwenye kamari
Next day naamka na text ya Frank
"Kakaaa, kwa hakika nimewawakilisha kama nchi, mtoto mtamu mbaya, aanh asante kaka, kuna wachawi sana pande hizi"
Anyways jamaa wako poa sana, michongo yote inahusu Arts kwa ujumla wake, wacheki mfanye kazi
Naambiwa hapa hata kile ki-sign cha FinebyFalsafa ni idea yao pia
🙌🏿
Follow them again
@Franknfrancis1
With Love
Kaka Bumunda