My Authors
Read all threads
The future of our Children is a collective responsibility, as parents, teachers, guardians, leaders in various positions of influence etc. Let’s work together to ensure #NoChildleftbehind Pls read my short article this special day
#ChildOfAfrica #DAC2020
phelisterswegesa.com/education-and-…
Thank you all for sharing your comments and recommendations will humbly be appreciated 🙏 🔑 Very short article, Less than 500 words. Thank you once again for sharing 🙏 #ChildOfAfrica #DAC2020
Karibuni Sana Makala hii ntaitafsiri kwa Kiswahili na kuandikia thread na kushare tena na tena na Mapendekezo yenu ni muhimu koboresha haswa kwa ajili ya maslahi ya mtoto wa Afrika. #SikuYaMtotowaAfrika #ChildOfAfrica #DAC2020
Much appreciated for sharing thank you thank you 🙏 #ChildOfAfrica #DAC2020 #SikuYaMtotoWaAfrica
Thank you ☺️ Appreciating again for sharing and reposting the article #ChildofAfrica #SikuyamtotowaAfrika♥️♥️♥️🌹🌹🌹
Bara la Afrika lina uwezo mkubwa sana hasa katika kukuza Uchumi n.k Elimu na Afya ni muhimu na ni haki kwa Kila mtu. Tunaposherehekea #SikuyaMtotowaAfrika ni muhimu kuainisha vikwazo vinavyompelekea mtoto wa Afrika kukosa haki hizi za msingi. Mtoto wa Afrika ndo Kesho ya Afrika.
Juhudi Kubwa sana zinaonekana hasa kuhakikisha kuna elimu ya bure, Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto ila Bado Mtoto wa kike anakabiliwa na Changamoto nyingi sana zaidi kuliko wa kiume. Nchi nyingi Bado Mtoto wa kike Hana Uhakika na mstakabali wa maisha ya mbeleni, vikwazo ni vingi.
Watoto wa Kike ukilinganisha na wa kiume huacha Au huachishwa shule japo ni bure, kwa sababu ya mila potofu, ndoa za utotoni na hukosa fursa nyingi za kujiendeleza. Na katika mazingira yenye changamoto nyingi za huduma na Elimu ya Afya ya Uzazi, ni hatari zaidi.
Changamoto hizi hupelekea kuwa na muendelezo wa matokeo Duni ya Afya, tija duni ya ufanyaji kazi na kupelekea mzunguko wa umaskini.Muhimu Kushughulikia hizi Changamoto ili kuboresha rasilimali Kubwa Afrika. Ikiwa ni sehemu jumuishi katika ukuaji wa uchumi. #SikuYaMtotowaAfrika
AFYA na ELIMU Jumuishi?
✅ Itasaidia kuongeza Uwezeshaji na upatikanaji wa huduma za msingi kwa watoto kupitia mazingira wezeshi kwa kuhusisha Jamii, Viongozi wa dini, Wawakilishi kwenye Jamii, walezi, familia, walimu n.k Hii itasaidia kuhakikisha mtoto analelewa na Jamii.
Mtoto akilelewa na Jamii ni jukumu la Jamii kuhakikisha Mtoto huyu anapata haki za msingi kama Afya na Elimu na kuzuia wazazi kuchukua maamuzi wenyewe ambayo mengine sio Sahihi. Watoto wa kiume wajumuishwe pia kushiriki kazi zote kwenye familia/ kaya ili kupunguza ubaguzi n.k
✅Safe Spaces/Nafasi Salama
Kuwepo maeneo Maalum ya kufundisha stadi za maisha, hasa stadi za biashara ndogo ndogo, ufahamu kuhusu kutatua matatizo, ufahamu kuhusu Elimu ya Afya ya uzazi, utandawazi, Uongozi, kukuza talanta na kufanya maamuzi Sahihi kuhusu mwelekeo wa Taaluma.
Vijana wa Afrika tuwekeze kujifunza fani tunazozipenda na zinaweza kutatua Changamoto nyingi Afrika na kuleta fursa kwa Wengine. Viongozi kwenye nafasi mbalimbali za maamuzi kwenye Taaluma za Sheria, Elimu na Afya n.k ziwafikie wale kule vijijini ili sote tuendelee kwa pamoja.
Wizara mbalimbali ( Afya, Sheria, Elimu n.k) zinapaswa kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kujenga uwezo mfano kwa kupata takwimu za huduma muhimu sehemu ambazo huduma hizi ni ngumu kufikia walengwa. Na kuchanganua sera na kujadili mapendekezo ya maboresho. #SikuYaMtotowaAfrika
Kwa kumalizia Uwekezaji/ Smart investments kwa Watoto barani Afrika ni njia moja wapo ya mabadiliko. Sote tuna nafasi ya kuboreka tukiwa na mazingira wezeshi, Vipaji ni vingi Afrika , tunahitaji sasa kuvivumbua, kuvikuza, kuvifanyia kazi ili tuwe na Mustakabali mzuri wa Bara letu
Karibuni sana sana hayo ndo mapendekezo yangu kwa Lugha yetu pendwa Kiswahili. Sijakamilisha yote ila karibuni kwa Maoni na nyongeza. Asanteni sana sana kwa kuendelea kutoa Maoni ili sote tuendelee kijifunza na hata kusaidia kubadili kidogo kinachowezekana.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Phelisters Wegesa🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!