#FafanuziYaNukuu
Tunatumia muda mwingi kufikiria kuhusu kesho na kusahau kuzingatia umuhimu wa tulipo sasa hivi Au kuishi Leo. @SomaHub_EA @Wakusnooz
![](https://pbs.twimg.com/media/EZKfLAoUwAI6kuz.jpg)
#FafanuziYaNukuu
Ukiona kitu kipo nje ya tamaduni na kukipuuza, umeunda tamaduni mpya. Tamaduni sio maadili unayoorodhesha kwenye ukuta ni yale unayofanya @Wakusnooz @SomaHub_EA
![](https://pbs.twimg.com/media/EZKg6siUwAcN3oz.jpg)
#FafanuziyaNukuu
Kwa ulimwengu maisha ya kila mtu yanaonekana kamilifu lakini watu wameficha Siri nyingi na ni bora ibaki hivyo.
![](https://pbs.twimg.com/media/EZKhibmUYAApvps.jpg)
#FafanuziyaNukuu
Furahia maisha yako fanya kile unachokipenda, zungukwa na amani na Upendo.
![](https://pbs.twimg.com/media/EZKixDXU0AIsIbO.jpg)
#FafanuziyaNukuu
Kama Kiongozi jaribu kuwa msaada kwa Wengine na usiogope kuomba ushauri huwezi kuwa na majibu ya maswali yote.
![](https://pbs.twimg.com/media/EZKuORvUcAYz7aB.jpg)
#FafanuziyaNukuu
Kuwa na ndoto kubwa✅tia nia, juhudi/bidii na uhalisia. Kila kitu kinawezekana.
![](https://pbs.twimg.com/media/EZKxt9MVcAAohFP.jpg)
#FafanuziYaNukuu
'Hatuwezi kutafuta ukweli bila uhuru wa kufikiria,kuchunguza na kujaribu.' @mboyacliff
![](https://pbs.twimg.com/media/EZLBDftU0AUummT.jpg)
🔗pdfdrive.com📌
🔗manybooks.net
🔗goodreads.com/en/book/show/4… @goodreads #TanzaniaUnforgettable🇹🇿✅@OUtalii
![](https://pbs.twimg.com/media/EZRfmACVcAEYyvl.jpg)