My Authors
Read all threads
Mwanaume unashindana na giza kukesha ukichunga Mali ya muindi usiku ukitaftia bibi mkate na Blueband, kumbe bibi amegeuza nyumba lodging usiku.
Kuna jamaa flani alikuwa soja, kazi ni ku man gate ya muindi usiku... Ana make sure introducers, crooks na unwanted family and friends wanabaki huko nje while the boss is having his beauty sleep.
Jamaa alikuwa a newly wed couple, ameoa bibi akamleta mjini kuwa house wife yeye aki struggle ku make ends meet... So in short hakuwa ame enjoy conjugal rights zake vizuri juu pesa lazima utafutwe, but life ni ku struggle.
So ilikuwa inafika jioni jamaa anabeba chai yake kwa thermos, torch, radio... Yaani vitu za ku keep akili busy akichunga mali ya muindi worth 10 mirrions na rungu tu.. Then mshahara ni 8K mwisho wa mwezi.
Hiyo 8K ndio inafaa ilipe rent ya 5K, inunue food, ilipe stima, maji na bado ii dress bibi ndio atleast akae presentable wakienda kutembea mahali... Wanasema mwanaume ni kuji sacrifice aparare lakini bibi ang'are.
In short, alikuwa ana risk kupata limonia, kupigwa na wezi, kuumwa na vampires, mosquitoes, all those creatures of the night while mdosi anapata his beauty sleep inside his 6 by 6 bed, akijifunika an expensive duvet. Akikula usingizi kijana wetu anakulwa na baridi huko nje.
Nyumbani alikuwa amewacha blanketi checked, a comfortable 4 by 6 bed imekuwa occupied na bibi pekee yake, the only time anapata ku feel warmth ya bibi yake na kitanda yake ni time ako off duty... Meaning msee ako single ana enjoy sex more than yeye mwenye ameoa.
Wahenga walisema siku za mwizi ni forty, kuna siku wezi wamekuja kuiba kwa muindi, Jamaa alikuwa amezoeya kulala at exactly saa tano the moment anaona lights za bedroom ya mdosi zimezima, then ana set alarm imuamshe 5:30 coz muindi huwa awake by then asimpate amelala kwa kazi.
Hiyo siku wezi walimpata amelala in the line of duty na hawakutaka kumuamsha coz wahenga wa kizungu walisema LET SLEEPING DOGS LIE... Wakawacha starring wa sinema yetu akule usingizi, wakafungua gate pole pole ndio wakuwe wanapitisha vitu.
By the way ukiwai pata watchman amelala usiwai muamsha, tafta an extra blanket umuongeze akule usingizi kabisa... So our pal was sleeping on the job so in a way alikuwa lucky coz ali avoid kuwa victim wa robbery with violence.
So mbogi genje waka sneak past the watchman wakaingia kwa muindi, waka break into the house jamaa wakaanza kubeba vitu wanaeza kubeba waki transport nje ya gate... Then bibi ya muindi hiyo siku alikunywa chai mingi coz aliamka kuenda kususu kwa choo ndio asisusu kwa kitanda.
Akapata ni kama wanahamishwa bila kujua, TV, radio, DVD zilikuwa zisha hama na juu hakuwa anajua zinahamishwa ziende wapi akawachilia nduru kama intro ya ngoma za Sailors Gang... Muindi alikuwa amajifunika gubi gubi ikabidi ameamka mbio akachukua umbrella as his weapon of choice
Wezi kuskia Nduru za kuaminika wakajua it's time to dip, time to step, time to abandon the mission, waka abort mission waka sepa into the night haraka upesi before wajipate Kamiti Cell Block C waki share jela na Onyancha.
Watchman alikuwa kati kati ya usingizi so kuskia nduru akajua baas, kazi imeisha... Akaamka Ghafla bin vu akapata wezi wenye miramba minne tinginya wanatoka unyoa unyo unyo, nyuma yao bibi ya muindi na muindi mwenyewe ameshika umbrella wakipiga unyende.
Kama mluhya aleinda kusiaga na bag imetoboka, akajua amemwaga unga.
Kalamu ilimuandika kazi ni ile ya pencil iko na rubber, meaning inaweza kuandika kazi na bado ikufute... Jamaa akaamua ku step before waite polisi aende kumalizia usingizi yake nyumbani.
So jamaa wetu aka brave giza kufika kwake, aka risk kukutana na wezi wa miraba minne tinginya, night runners, polisi, malaya, walevi just so that arudi nyumbani kwa bibi yake alalie kitanda yake one last time, a feel warmth ya bibi yake one last time before ajikute Cell Block C.
Kufika kwa nyumba obviously bibi alikuwa ame funga mlango, so akagonga mlango kwake, juu hajawai rudi kwake usiku occupants wakataka ku demand kujua ni mchawi mgani anangonga nyumba ya wenyewe usiku hobela hobela.
Jamaa akaskia sauti ya mwanaume ikiuliza ni nani, akajua baas kitumbua kimeingia mchanga, it's either bibi yake ame break voice overnight ama alizaa mtoto mwanaume usiku wa manane mwenye ame grow up so fast while he was away.
Jamaa aka clear throat akasema "Ni mwenye nyumba" immediately akaskia movement kwa nyumba ni kama watu wame panic, mwenye deep voice ni kama alimeza strepsil coz the next voice aliskia ni female voice ikisema angoje kidogo.
After a cool twenty minutes ya kuchapwa na baridi outside his own house yenye analipa rent with his own money yenye ana brave the night risking his own life.. Akafunguliwa mlango, raiya akajua he will not be a bitch twice, akuwe robbed kazini na pia kwake kwa nyumba
Akafunguliwa mlango, akawasha lights, bibi anajaribu kuongea but raiya ako cool, calm and collected, aka grip rungu tightly, aka inspect chini ya kitanda, No culprit, Nyuma Kabati, No Culprit, then akaona ni kama maji ime spill around the skyplast ya maji ya kunywa.
Akaenda kufungua akapata kichwa ya jirani ina float above water kama US Marine wakiwa mission Vietnam, yaani yeye kazi ni kuchungia watu vitu, wengine wanakula, raiya akatolewa kwa skyplast shaking like a leaf, alikula marungu ka nonzenz.
Unashanga mbona matress ya high density imeisha inatoshana na cushion za viti na haulalangi kwa nyumba usiku, huwa unawacha bibi pekee yake... Kumbe ukitoka analeta mtu anamfinya yeye akifinya matress, wanafinyana on your matrimonial bed.
Hasira ya kazini na ya nyumbani zote aka combine akamalizia on one person... Hawezi ibiwa kazini na aibiwe nyumbani, akaamua he can only afford to be a loser once coz once beaten, twice haifai.
Jamaa wetu akaona he can kill two birds with one stone, alikuwa bado anataka ku secure the bag and him running away from the crime scene haikuwa inasaidia the situation.
Akarudisha mwizi wa mapenzi kwa crime scene kama prime suspect, by the time wanafika hapo polisi walikuwa wamekuja, aka hand over mwizi wa mapenzi akadai alikuwa ameamua ku pursue wezi aka manage kushika mmoja.
Si wote wakakula handcuffs, jirani kama suspect aende ataje wezi wenzake na starring wetu kama suspect as well for suspicion of being the master mind behind the whole robbery vile waligundua suspect amekuja na yeye ni jirani yake.
What am I saying, don't be a loser twice, don't ever let bad vibes win, always find a way to bounce back with a Win.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Billy The GOAT

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!