Japo wanawake wengi walishiriki katika Harakati za Ukombozi wa Tanzania, Tafiti nyingi zinaonyesha bado wengi hawajaweza kusimama na kushiriki katika vyombo vya kimaamuzi, Wengi wanakumbuka Historia ya Bibi Titi kama mama shupavu aliyeongoza harakati za ukombozi
Thread
Mama Sofia Kawawa ni miongoni mwa wanawake ambao walitoa mchango wa kiuongozi na pengine kumwambia Mwl JK Nia ya dhati ya kuongeza wanawake wengi kwenye nafasi za kugombea
Hoja ni je pamoja na hawa wote je kuna matunda yametokea ?
Baada ya Tanganyika kupata uhuru 1961 chini ya chama cha TANU walilidhia kwamba kuwepo na uwakilishi wa wanawake Bungeni na ikaamuriwa kati ya wajumbe 73 basi 6 wawe wanawake (7.6%) ya wabunge wote, Tanzania Women Parliamentary Group (TWPG) chini ya Anna Abdallah, ni matokeo
Mwaka 2010, wanawak 26 walishinda uchaguzi viti vya majimbo na kufanya kwa mara ya kwanza namba ya wanawake kuonguzeka kwa wingi, ukiunganisha na Viti maalumu kati ya wabunge 357 wanawake walikuwa 102 na hii kufanya 36% kuwa wanawake Bungeni
katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Article 66 (1) (b) namba ya wanawake haipaswi kuwa chini ya 30% ya wabunge wote chini ya Article 78 kwenye uwiano hivyo basi wanawake wanaweza kuwania na kushinda kwenye majimbo lakini 30% ya Viti maalumu iko pale pale
Pamoja na kwamba kumekuwa na harakati za wanawake wengi kushiriki katika kuwania Viti maalumu lakini namba ndogo hujitokeza kuwania Ubunge kwa kupitia majimbo na hii imepelekea mashirika kama @globalpeacetz@TAMWA_@WiLDAFTz kuungana na kutengeneza Mradi wa pamoja #WanawakeSasa
Mradi wa #WanawakeSasa unalenga kuwainua wanawake na kuwajengea uwezo hasa kujua
1 kwa nini wanapaswa kuwa wagombea
2 Kujua thamani ya Wao kushiriki katika Vyombo vya Maamuzi
3 Kujua Njia za kushiriki ili uwe kiongozi kwa Jamii
4 Kufahamu jinsi ya kufanya Kampeini
5 Kufahamu jinsi ya kufanya Branding na kutumia mitandao ya kijamii kujijenga kisiasa
6 kujifunza mbinu za Fundraising
7 Kujua Sheria Za Nchi na uchaguzi zinazotoa Mamlaka kwa wagombea
8 Kujua Taratibu za Kichama zinazomwezesha mwanamke kugombea #WanawakeSasa
9 Kujua Sheria za kimataifa zinazowezesha wanawake kushiriki katika Vyombo vya kimaamuzi
10 Kuwa chini ya mafunzo endelevu ya kusaidia kuweka mikakati sawa na kuhakikisha wanakomaa kisiasa na kwenye uongozi madhubuti #wanawakesasa
Mafunzo haya yalilenga kuwafikia wanawake walio kwenye vyama vya kisiasa kama Chama cha Mapinduzi, Chama cha Demokrasia Na Maendeleo, CUF, ACT Wazelendo na vyama vingine, Wanawake kutoka vyama hivyo wamepatiwa mafunzo katika Mikoa ya Dar es salaam, Dodoma #MwanaMkesasa @awdf01
Maeneo Mengine yaliyofikiwa ni Arusha (Kanda ya Kasikazini), na Zanzibar #WanawakeSasa
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Vita ya Korea ya ilianza karne ya 20 kati ya 1950- 1953.
Korea ya Kaskazini ilivamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu wa China na Umoja wa Kisovyeti. Korea ya Kusini ilisaidiwa na Marekani hasa. Lakini Marekani #KoreanDream#OneKorea#Tanzania
Katika awamu ya kwanza kuanzia mwezi wa Mei 1950 jeshi la kaskazini lilivamia Korea ya Kusini likateka mji mkuu wa Seoul na kusukuma watetezi hadi kusini ya rasi ya Korea. Lililobaki mnamo Agosti/Septemba 1950 lilikuwa eneo la Pusan pekee #KoreanDream#OneKorea#광복절#Tanzania
Baraza la Usalama @UmojaWaMataifa (30 Julai 1950) iliamua kuingilia kijeshi dhidi ya uvamizi kutoka Korea Kaskazini. Azimio hii lilipita kwa sababu Umoja wa Kisovyeti hukuhudhuria kikao hivyo ulishindwa kupiga veto yake. Na Marekani akapata mwanya wa Uvamizi #OneKorea#Tanzania