My Authors
Read all threads
Je Una Kampuni ya Utalii Chukua Hii...👇🏽
.
(UZI MFUPI 👇🏽)
.
Kabla ya Janga la Corona nakumbuka ilikuwa ni Mwezi wa 2 hivi kuna Jamaa anaitwa SAI, alinipigia simu akasema anahitaji kupata wageni kutoka nje lakini bado Hana ujuzi wa kutumia Mtandao
.
👇🏽👇🏽
Nikaweka appointment nae kisha nikakutana nae baada ya kumuuliza maswali kadhaa hasa hasa kuhusu soko lake akasema soko lake kubwa lipo “Canada, China, South Africa (SA), Australia na USA
.
Vile vile nikamuuliza mara nyingi huwa anatumia mbinu gani kupata👇🏽
Clients online? , akasema huwa anarun tu matangazo ya kawaida kwenye page zake kisha anaboost (na wengi wanafanya hivi)
.
Nikamuuliza huwa anaandika matangazo gani?, akasema Mara nyingi yenye picha za wanyama
.
Uzi ndo unaanza Hapa kwasababu wengi..👇🏽
Wanafanya KOSA hili..
.
Kwenye Utalii usitangaze Wanyama kwasababu Mtalii kama anahitaji kuona wanyama si anaingia YouTube tu anaona kila Manyama anaemtaka?
.
Je kwenye Utalii Unatakiwa kutangaza kitu gani??👇🏽
.
Tangaza “ADVENTURES”
.
👇🏽👇🏽
Happy moments (fun) na experiences watakayoipata watalii baada ya kutembelea mbuga fulani
.
Gusa hisia zao, watu hufanya maamuzi ya kununua chochote Kutokana na hisia (emotions) kisha Wanahalalisha hayo maamuzi kwa kutumia mantiki (Logic)..👇🏽
Hapa ndipo umuhimu wa copywriting skills unapojia kwasababu bila ujuzi huu hutojua cha Tangaza
.
Usitangaze bidhaa/huduma unayoiuza tangaza matokeo ya bidhaa/huduma yako kwa walengwa wako (Target Audiences)
.
Tangaza Jinsi bidhaa/huduma yako itakavyowafanya
Wajihisi baada ya kuitumia (people buy a better version of themselves)
.
Kabla ya kuandika copy ya Bidhaa/huduma yako kwanza jiulize swali hili..
.
“Je bidhaa/huduma yako inaleta hisia gani kwa mteja baada ya kuitumia?”
.
Hilo jibu utakalopata hapo ndicho 👇🏽
Kinachotakiwa kutangazwa na hiyo ndio bidhaa/huduma yako
.
Bidhaa yako ni hisia anayopata mteja baada ya kuitumia sio kile Alichokishika mkononi
.
Okay tuendelee na brother SAI..👇🏽
.
Nikamwambia njia bora zaidi ya kupata clients wa kampuni yake sio kurun👇🏽
Matangazo yenye lengo la kufanya brand awareness japo hilo pia Lina umuhimu wake kwa wakati wake
.
The best way kupata clients hasa hasa foreigners ni “Email marketing “
.
Ila tu kwenye e-mail marketing utaona matokeo mazuri endapo ..👇🏽
Utaandaa chambo (Bait) chenye nguvu na uthamani kwa wale unaowalenga kiasi kwamba waone chambo yako ni ya thamani Kubwa zaidi kuliko email zao
.
Kwanini nasema hivyo?
.
Maana yangu ni kwamba ni ngumu sana kupata client online moja moja kwasababu ukitumia 👇🏽
Paid Ads aina ya leads utakazogenerate zinaitwa “Cold Traffic “
.
Watu ambao hawakujui, hawakuamini, wala hawajawahi kukusikia kabisa
.
Kwahiyo unachotakiwa kufanya ni kukusanya taarifa zao tu kwa kuwapa Kitu Cha thamani BURE chenye kusolve tatizo Lao 👇🏽
Kuna soft wares nyingi sana zinakusanya e-mails ila unalipia kiasi fulani cha Pesa kila mwezi
.
Kwahiyo utaandika Tangazo online linalotoa kitu fulani Free kwa hiyo Target Audiences yako lengo lako ni kupata e-mail zao tunaita LISTS (jukwaa)👇🏽
Wakati huo tayari umeshalipia e-mail soft ware yake yenye size ya e-mail unazotaka kukusanya
.
Baada ya hapo unalipia Tangazo lako kisha unaterget hizo nchi zenye wageni wako wengi
.
Kufipisha story ni kwamba baada ya kupata e-mails zao kazi yako itabaki 👇🏽
Kufanya follow up tu na kuclose deals za clients wako
.
Usiuze bidhaa/huduma yako moja kwa moja online watoe kule kisha waweke kwenye lists yako ambayo watapata nafasi ya kukujua, kukupenda na kukuamini then booom you close them effortlessly by sending one
E-mail
.
Mfano wa chambo unaweza kusema “FREE ebook, Vitu 10 vya Kujua Kabla ya Kupanda Mlima Kilimanjaro”
.
Au “Usichokijua kuhusu hifadhi ya Ngoro ngoro” FREE pdf
.
Client akihitaji hiyo free ebook mpaKa Aache e-mail yake kisha ndani ya dkk 3 anapiga pdf
Kwenye email yake lakini lengo lako wewe ni Kutengeneza LISTS
.
P. S. Tumia Facebook business manager kurun matangazo yako kuna campaign nyingi zaidi na sio kuboost au kupromote
.
Huo ndio ushauri nlompa SAI, unaweza kuchukua pia kwasababu ukitumia mbinu hii
Kitu pekee utakachojutia ni kutotumia mwaka mmoja ulopita
.
Email marketing is the best option kwenye hili la Tourists kwa sasa kulingana madhara ya Covid-19 (social distancing, hakuna word of mouth marketing)
.
P. S. RETWEET
.
@HKigwangalla
Hongera sana, ingiza kwenye vitendo sasa 😃
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with AmosiNyanda

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!