I Left My 9-5 Office For Lunch And NEVER returned…NOW Writing Copy for a Living—(The Prince Of Print)
Dec 29, 2022 • 15 tweets • 3 min read
Huu Ndio "MKASA" Ulionitokea Hotelini Juzi...
.
Nilichukuwa room Katika hotel Fulani Ndogo Iliyopo Kisongo-Arusha...(Nje ya Mji)
.
Huwa ni Utaratibu Wangu wa Kufanya hivyo Kila unapofika Mwisho wa Mwaka...
.
Huwa Naenda nje Kabisa ya Mji Peke yangu 👇
Na Kukaa Zaidi ya Siku 3 Kwa Ajili ya Kujifanyia Evaluation na Kuweka Sawa mipango ya Mwaka unaofuata...
⚠️ Nimepokea DM's Nyingi Leo Watu Wengi walikosa Ile OFA ya Jana inayoitwa....
.
"The New YOU 2023"
.
Ambapo...
.
Watu 9 Walipata eBooks Zangu Zote 3 Zenye THAMANI ya Tshs 105K....Kwa EXCLUSIVE OFA ya Tshs 14,999 Tu
.
Na Hii Ndio Sababu ya OFA Hii 👇
1). Kwasababu ilikuwa ni Sikukuu ya Christmas...(Hii OFA Nilitoa Telegram Siku ya Christmas)
.
2). Kwasababu Kuanzia January eBooks hizi 3 Hazitakuwepo tena Sokoni
.
Kwahiyo Leo Ukilipia Tshs 14,999 Tu... Unapata eBooks Zifuatazo
.
👇
Dec 26, 2022 • 4 tweets • 4 min read
⚠️Siku ya Christmas Nilitoa OFA ya eBooks Zangu Zote inayoitwa...
"The New YOU 2023"
Ambapo Ulikuwa Unapata eBooks Zangu Zote 3 Zenye THAMANI ya Tshs 105K...Kwa EXCLUSIVE OFA ya Tshs 14,999 Tu...
.
Na Hii Ndio ilikuwa SABABU ya Kutoa OFA Kubwa kama Hiyo 👇
1). Kwa ilikuwa ni Siku ni Sikukuu ya Christmas...na Watu Wanapenda Kununua Vitu Siku za Sikukuu
.
2). Kwasababu eBooks hizi 3 Hazitakuwepo tena Sokoni kuanzia January Kwasababu nahamia Kwenye Courses & Coachings pekee
Ilikuwa ni OFA ya Siku 2...
Na Leo 👇
Dec 24, 2022 • 26 tweets • 5 min read
Masomo 99 Kuhusu "SALES & MARKETING Niliyojifunza Ndani ya Miaka 5 na Kunigharimu Zaidi ya Tshs 7.9M....
...Na Ndani ya Sekunde 60 Zijazo Unaenda Kujifunza BURE
Rafiki Mpendwa...
Nimeandika Uzi Huu Kwasababu Nimeona Wajasiriamali Wengi wa Kitanzania 👇
Bado wanahangaika Kutangaza na Kuuza Bidhaa/Huduma Zao Mtandaoni...
Nina imani Uzi Huu utakusaidia Kuuza Bidhaa, Huduma au Wazo Lako Kupitia Mitandao ya Kijamii
Kabla ya Kuendelea Chukua sekunde 2 Tu...Rudi Hapo Juu Kisha Bofya RETWEET button
Tayari?👇
Dec 22, 2022 • 18 tweets • 6 min read
Unahitaji Kitu Hiki Kimoja Tu Ili KUJIAJIRI Mtandaoni Mwaka 2023...
Bado Nakumbuka kama Jana Tu...
Ilikuwa ni Mwaka 2018...
Ndio Kipindi ambacho hamu yangu ya Kufanya Kazi Voda ilipoanza kufifia...
Kitendo Cha Kuingia Ofisini Saa 8:00am na Kutoka 5:00pm👇
Kilianza kunichosha...
.
Nikaanza kuyawaza Maisha yangu kivingine...
.
Unaingia Kazini Siku Sita za week Lakini Mwisho wa Mwezi Mshahara Wote unaishia Kwenye madeni, nauli, Chakula na Bills zingine
.
Inamaana Maisha yangu yataishia Hivi?... nikajiuliza
.
👇
Oct 22, 2022 • 9 tweets • 2 min read
Ilikuwa ni Mwaka 2000
Nilienda Mwanza Vijijini kumsalimia Bibi...
Jioni Moja bibi akawa ananipigia Story akaniambia...
Miaka ya 80's kulikuwepo na kijana Mmoja aliyeitwa..."Malendeja"
Malendeja alikuwaga mchunga ng'ombe Maarufu sana huko kijijini 👇
Mbarika-Mwanza
.
Siku Moja lilitokea Janga Kubwa Huko porini...
.
Wakati Malendeja anakimbizana na mifugo porini...Kwa Bahati Mbaya akateleza na kudumbukia Ndani ya shimo refu na kuvunjika Mikono yote
.
Akawa hawezi Kutoka Tena...
.
Akawa anahangaika na 👇
Oct 14, 2022 • 19 tweets • 3 min read
Kama Bado Unaumia Pindi UNAPOKATALIWA....Basi Soma Uzi Huu
Mpaka Mwaka 2017...bado Nilikuwa napata shida sana kuzoea Kukataliwa...(Rejection)
Nikiomba namba Kwa Mdada akininyima...naumia Balaa
Nikiomba Kazi Sehemu nikikosa... naumia sana
.
👇
Nikawa nahisi Nina Tatizo au Bahati Mbaya...
.
Kiufupi nilishindwa Kabisa kuzoea Kukataliwa...
.
Na kama unapitia Hali kama Hiyo basi Jua Kabisa Naelewa vyema... Kwasababu nilishakuwa huko
.
Na Kile unachoenda Kukisoma Ndani ya sekunde 60 Zijazo kitakutoa👇
Oct 12, 2022 • 8 tweets • 2 min read
Huu Ndio Ushauri Ambao "Muhammad Ali" Alimpa Binti Yake...Ambao Unaweza Kumpa Binti Yako Pia...
...Ilikuwa ni Miaka ya 90's huko nchini Marekani...
Siku ambao Binti Yake Muhammad Ali aitwaye "Hana" alienda nyumbani kumsalimia baba yake 👇
Baada ya kufika Tu nyumbani Muhammad Ali akamuangalia Binti Yake akagundua Kwamba...
"Hana alivaa Mavazi Yanayoonesha Baadhi ya Sehemu zake za Mwili kama Mapaja, Kitovu,nk"
Yaani kama Jinsi wanavyovaa Masister Du...Wenyewe wanaita Usasa au Unyamwezi
👇
Oct 11, 2022 • 13 tweets • 2 min read
[SIRI] : Game ya PONZI Scheme Huwa Inachezwa Hivi...
1). Wanaazima CREDIBILITY Kutoka Kwenye Baadhi ya Medias Zenye AUTHORITY (Tv,s, Radios nk)
2). Wanatafuta SOCIAL PROOFS za Kwamba Hii business Model inafanya Kazi (Wana-Clear SCAPTISMS)
👇
3). Wanatoa RISK yoyote Kwa Mlengwa (INVESTOR)...unaona Kabisa Huna Cha Kupoteza na Hela Yako Ipo Salama
4). Wanatafuta Team Kisha Wanapigwa Pindi la Marketing & Sales (Especially Closing skills) Ili wawe na Uwezo wa Kufanya Prospecting na Closing
.
👇
Aug 27, 2022 • 9 tweets • 2 min read
Juzi nilikuwa Natembea Town maeneo ya Stand Ndogo—Arusha
.
Nikaingia duka fulani nikakuta Jamaa Anauza Vans (raba) kali sana...
.
Lakini...
.
Zimetengwa katika Makundi mawili...
.
Nikashika raba fulani kali sana...
.
“Hii Shingapi?—Nikauliza
.
👇🏻
Akaniambia...
.
Hiyo ni Tshs 35K chalii angu...
.
Wakati Nimeshika hiyo Vans nikatupa jicho kwenye kundi la Pili la Raba...
.
Nikaona Vans nyingine kali zaidi ya hiyo...
.
Nikaenda Kuicheki hiyo Vans nyingine Pamoja na Kuuliza bei yake...
.
👇🏻
Jul 2, 2022 • 22 tweets • 4 min read
Barua ya Wazi Kwa “WAHITIMU & WANAFUNZI” Wa Vyuo Vikuu Tanzania...(Graduates & University Students)
Kutokana na Ripoti ya Shirika la Kazi Duniani (ILO) ya Mwaka 2014 imasema
“Tanzania Inakadiriwa Kuzalisha zaidi ya Vijana 600,000 tayari Kuingia Katika 👇🏻
Soko la ajira...
.
Lakini...
.
Soko halina uwezo wa kuchukua Vijana zaidi ya 50,000
.
Swali ni je...
.
“Hawa Vijana 550,000 Wanaenda wapi?”
.
Hapo ndipo utaanza kupata picha kwamba hata wewe unayesoma Uzi huu haupo salama sana...
.
Ajira Bado ni TATIZO 👇🏻
Jan 31, 2022 • 21 tweets • 4 min read
“Wataalamu Kutoka Chuo Kikuu Cha HARVARD Wagundua Formula ya Siri Inayotumiwa na 1% ya Marketers Kutengeneza Mamilioni ya PESA Mtandaoni”
.
Formula Hii unayoenda kuigundua ndani ya sekunde 60 zijazo itakufanya Kuwa mtu Hatari Zaidi Sokoni
👇🏻
Kabla hujaenda Mbele zaidi Naomba utambue kwamba Formula Hii sio Kwa ajili ya Kila mtu ni Maalumu Kwa wale tu Wanaouza Huduma Mtandaoni Kama....
.
Consultants
.
Coaches
.
Courses Creators
Freelancers nk
...Hata Kama umeshajaribu kila njia ya Kuuza huduma👇🏻
Jan 25, 2022 • 19 tweets • 3 min read
“Nilikuta Missed Calls 17 Ndani ya Dkk 10 Tu”
Kusoma Jina ni Olivia
Nikiwa bado nashangaa Message ikaingia kutoka kwa Olivia Inayosomeka Hivi....
“Why Darling, I Don’t Live at ALL When I’m Not With You”
Ndani ya sekunde 60 Sijazo utamjua Olivia ni Nani👇🏻
Kabla Hujasahau rudi hapo juu Retweet Kwanza Ndio urudi kwenye Story...
.
Tayari?...
Okay—GREAT
Bado nakumbuka kama Jana tu Mwaka 2018 Nikiwa Benki maeneo ya France Kona Arusha
Wakati nipo bank kwenye foleni ndipo macho yangu yalipogongana uso kwa uso
👇🏻
Jan 19, 2022 • 14 tweets • 3 min read
“Hakunikataa Mimi Alikataa Hiki”
.
Mwaka 2015 nikiwa Chuo Mwaka wa Pili Morogoro...
.
Nakumbuka ilikuwa ni Siku ya Ijumaa...
.
Mara ghafla Simu yangu Iliita (Tecno C9)
.
Kuangalia jina ni—Uncle Chriss
.
Baada Tu ya Kupokea Akaniuliza...
“Uncle Uko wapi?”
👇🏻
Nikamwambia nipo Geto maeneo ya Nane nane...
.
IliKuwa Kama mida ya 8:15 Pm
.
Akaniambia....
.
Nimekuja Moro Ghafla Managers Wote tunakutana na CEO wetu kesho Hapa Morogoro...
.
Kwahiyo Kama hutojali Njoo na marafiki zako Leo Usiku Niwapeleke Night club👇🏻
Jan 16, 2022 • 22 tweets • 4 min read
Jinsi ya Kuuza Kwenye “WhatsApp Groups”...
.
Kama Umekuwa ukipata shida kuuza bidhaa/Huduma yako kwenye WhatsApp/Telegram Groups basi UZI huu ni zaidi ya Wali Nazi wako
.
Lakini...
Kabla ya Kukupa njia rahisi Zaidi ya Kufanya Conversion kwenye Magroup yako👇🏻
Naomba utambue kwamba hiki ni Kipengele kidogo sana kilichopo kwenye—WhatsApp Marketing
.
WhatsApp Marketing ni Ujuzi wa Kutumia WhatsApp yako kutangaza na Kuuza Bidhaa/Huduma yako Kirahisi Zaidi kwa Kutumia Lists ya Watu ambao una namba zao
.
👇🏻
Jan 12, 2022 • 17 tweets • 3 min read
Utampata Haraka Huyo “MWANAMKE” Endapo Utafanya Hivi...
.
Mwambie maneno haya...
.
Mguse Hapa...
.
Hasa hasa Hapa na Ndio Utakuwa Umemaliza mchezo...
.
Lakini...
.
Hata Ukifanya Vyote Hivyo Bila Kujua Hiki Kitu KIMOJA Hapa Chini ni sawa na BURE...
.
👇🏻
Kwanza kabla sijakupa hiyo Siri rudi hapa Juu Kisha BOFYA neno—RETWEET
Tayari?...
Okay Vizuri—Umetisha sana
Kama unamtaka mwanamke yeyote kitu cha kwanza kabisa cha Kukijua kutoka kwake ni Majibu ya hili swali Hapa chini....
.
“What’s HER Love Language?”👇🏻
Jan 11, 2022 • 12 tweets • 4 min read
“Sasa Nimefanikiwa Kubadilisha Comments & Likes Kuwa PESA Mtandaoni”—Alisema Ally!
.
Mwezi wa 12/2021 Ally alinitumia Ujumbe DM akiwa amejikatia tamaa kabisa kuhusu biashara yake Mtandaoni...
.
Na Hii ilitokea baada ya kupewa Namba na @mafolebaraka 👇🏻
Ally anauza Supplements za Kupunguza Uzito...
.
Na Hizo ndizo changamoto zilizokuwa zikimyima usingizi kila siku...
.
1). Alikuwa Hawezi Kuandika CAPTIONS za Kuuza Bidhaa zake mtandaoni
2). Kila alipokuwa anataka kupost Bidhaa anaishiwa maneno ya Kuandika👇🏻
Jan 2, 2022 • 20 tweets • 3 min read
Iba SIRI Hii : Ukifanya Hivi Kwa MWANAMKE Unayemtaka Kwa 81% Utampata!
.
Siri Hii Ilikuwa inatumiwa na Hawa Wataalamu Kumpata Mwanamke yeyote Wanayemtaka...
.
Giacomo Casanova...
.
Serge Gainsbourg...
.
Hugh Hufner...
.
Vile Vile Siri Hii Ilikuwa inatumiwa👇🏻
Na mwanadada mrembo zaidi kumpata mwanaume yeyote anayemtaka na Nina Uhakika jina lake sio geni kwako anaitwa....
.
“Cleopatra”
Lakini...
Ngoja kwanza Kabla ya Kuendelea Mbele Zaidi Rudi Hapo Juu Kisha BOFYA “Retweet Button”
Tayari?
Okay Ongeza Popcorn👇🏻
Jan 1, 2022 • 20 tweets • 5 min read
“Watu Hawanunui—Je Nifanyaje?”
.
Mwezi wa 10, 2021 nilipokea Simu ya Ghafla kutoka kwa Moja ya Wanafunzi wangu John...
.
John alionekana kukata tamaa kabisa ya kufanya biashara Mtandaoni...
.
Alikuwa anahangaika Kuuza Bidhaa zake za Afya Facebook...
.
👇🏻
Kibaya zaidi ni kwamba...
.
“Watu Walikuwa Wanabofya Kwenye Tangazo lake...
.
Wana-Like...
.
Wana-Comment
.
Lakini...
.
“Wanaishia Kuulizia Bei Tu Halafu Wanapiga Kimya au Kupotea Kabisa”
.
Hivi Unadhani Tatizo Litakuwa Wapi?....
.
Mimi Kama mtu ambaye👇🏻...
Dec 28, 2021 • 21 tweets • 4 min read
Kama Unataka “MWANAMKE” Unayemtaka Aje Nyumbani Kwako Kirahisi Basi Tumia Mbinu Hii...
.
Hata Kama umeshajaribu kila mbinu ya kumfanya Mwanamke Unayemtaka aje Kwako na imeshindikana basi ukitumia mbinu hii atakuja kesho...
.
Ongeza Popcorn 🍿...👇🏻
Moja ya Mtihani Mkubwa kwa wanaume ni kumfanya mwanamke aje Geto...
.
Mwanamke anaweza akawa ameshakubali kabisa Kuwa na wewe Ila kuja kwako ikawa bado ni kipengele...
.
Hasa hasa Mkiwa Ndio mnaanza anza...
.
Kwasababu anajua kabisa akija Tu lazima utaanza 👇🏻
Dec 26, 2021 • 21 tweets • 4 min read
“Alinipigia Simu Mida ya Nane (2:36Pm) Usiku Huku Analia”
.
Winnie nini tatizo?....Nikamuuliza
.
Nakumbuka Jibu Pekee alilonipa ni...
.
“Darling!—I’m really SORRY”
.
Nikamuuliza tena—Winnie Nini Tatizo Mama?....
.
Bado akaendelea kulia huku neno pekee👇🏻...
Alilokuwa akilisema mara kwa Mara ni—Darling! I’m really Sorry”
.
Nikashuka kitandani haraka haraka nikaenda sebuleni ili niweze Kuongea nae vizuri kwasababu nilikuwa nimeshalala
.
Alinipigia simu akiwa Chuoni (Esami pale Njiro)
.
👇🏻