Hua mnasema Subie boys ndio wakona Legacy ikifika kwa kupita na madame, dame weekend amevaa zile dress mgongo wazi akiwa kwa Outback. Hamjapatana na corporate boys, hawa hawahitaji Imprezza ku impress her, wanamteka na Uber
[A THREAD]
Typical corporate boy ni msee anawork 9-5 lakini most of the time ni kutumia WiFi ya job kuscout wamama huko IG. Kizungu ni ya PLO Lumumba lakini tabia ni ya Lumumba drive. Interns badala ya kugain experience, kazi ni kutumwa coffee kitchen, ata mimi sipendi wadosi Kahawa.
Simu ni iPhone X juu zile dhambi anafanya lazima akue na siri. Gym nayo lazima, wao huanza kuinua lifts by January ndio wakue wameunga Bicep.
Story ilianza like this, my pal huwa uber driver, on this day alikua amedrop client huko uptown kwa hotel flani
Kwa kila squad kunakuanga na different characters; kuna ule ako kwa 3 stable relationships huyu ni mafia wachana na yeye, kuna mwingine anapenda kuvuruta ile sigara ndefu, kuna ule anapenda keg na anapenda madame, anapenda kukunywa na anapenda kuwakunywa
Kuna msee malooku, plug wa mali safi squad mzima inadrip nikama mumewekewa maji Kenyatta. Kuna chief marinator, huyu anajua bei ya pombe zote offhead na anajua chuom zote za kuseti. Hakuezi kosa mtu akona iphone, squad bila iphone ni chama buana
January imekimbia this time!! Stock yetu pia hapa @kurunzitech mmekimbiza 😊😊. Check out below, few units remaining, if any tickles your fancy DM me or call 0706789734. Also refer your friends to our shop if they need a laptop
Sikuizi value ya relationship inadepend na vile partner wako akona pesa, it's all about thamani.
A Thread
My pal Vic alikua fresh from highschool, alitoka from kucram the solvay process to trusting the process akichase bag, bag ya simiti. Kumbe champ alikua ameshaanza kuulizia kazi ya mjengo ati juu exam yao ilikua mawe na haoni akipita, mi nikamconnect juu watu ni kujengana
Vic alikua amestick to her first love mwenye walijuana since class 6, unakumbuka wale watoto walikua wanapanda stairs kwa kitabu ya maths ya ryma pamoja? Kumbe Vic na Eliza waliendelea pamoja step by step hadi wakamaliza highschool. Mapenzi ilikua na foundation strong ta bomu
I fell in love with a rich girl halafu kikaumana. The story of Morio and Juliet
A Thread
Mtaa mi hubanjuka na ma-cool kid, ma skrr skrr niggas. Hivi ndo wao huunda form "you guy my guy si we go mumunya some nyags, kwanza my moti doesn't have some ngata and I'm low on guala so I will just use my paps Rangy" then wanamalizia na "1824 is the motive my slime 🤞🏾🤟🏽🤙🏾👌🏾"
Hawa watu ndio uelewe wanasema nini lazima utumie subtitle 😂, so on this day tulikua tunaenda some house party hapo around, sisi haoooo ndrrrrrr hadi kwa mansion. Wadau, mi sijawai ona keja kama hio, itabidi nitafute watu wa nyamabite wanionyeshe kukafunga hio design.