Crypto Twitter njooni tupige story: 🧵

Mimi kama long-term crypto assets investor, nimejiuliza nawezaje kupata passive income ya muda mfupi, wakati nasubiri returns za muda mrefu.

Nikakutana na huu mgodi 🧵
Kwanza niseme tu... huu uzi ni wa kudiscuss; sio financial advice.

Pia, niseme mimi kama investor moja ya responsibility yangu ni kumanage risk... Hiyo inaweza kuhusisha mimi kupoteza part ya capital yangu.

Sasa tuendelee...
1/ nimekutana na smart contract protocol inayorun kwenye AVAX inaitwa @thornodes . Ni fork ya $strong na $rise . Model yao ya passive income ni kwa “noding”

Unanunua node, then hiyo node inagenerate passive income. Funds za kwenye treasury zinatumika na protocol ku...
2/ generate income kwa kutoa liquidity kwenye LP kubwa zaidi kwenye DeFi, process zote za treasury ni transparent.

Project ni mpya kabisa, ila community ni kubwa na ndani ya muda mfupi wameachieve kila kitu kama code inavyopaswa kufanya.

Passive income inaingizwaje??
3/kuna categories 4 kulingana na kipato chako, lkn mimi nimeona inayonifaa ni package ya THOR. Nitaielezea kdg.

Kurun #THORnode inabidi uinunue kwa $THOR 12.5 ($thor = $163).

1 THOR node = $2,037

Inagenerate 0.144 THOR kwa siku

Unarun node kwa siku 87.

Returns zipoje? Image
4/ Ukirun node siku 87 kila siku unapata 0.144 thor it means utakua na (0.144x87=12.53 thor).

Unaweza kuclaim back hizo returns; it means utakuwa umetudisha capital yako $2,037.

Lakini still bado una-own node ya kuendelea kukuzalishia $THOR 12.53 baada ya siku 87. Ila pia...
5/ Unaweza kuamua hizo returns za Thor 12.53 uziconvert kuwa node, so this time una nodes 2. Ambazo ukizirun kwa siku 87, zitagenerate thor 25.

Ambazo unaweza kuziclaim as profits $163x25= $4,084.

It means umedouble capital ($2037) na una nodes 2 za kurun siku 87.
6/ kila mtu anaweza kuja na strategy yake lkn mimi nimebuni hii.

Narun nodes 4 za THOR = $8,150
Node 1 inagenerate 0.144thor/day
Node 4 zitagenerate 0.575thor/day

After 22 days nitakua nina return 12.5 thor, naziconvert kuwa node.

Nakua na nodes 5, zinagenerate 0.72thor/day
7/ ndani ya siku 17 hizi nodes 5 zitakua zimegenerate thor 12.5. Nai-convert kuwa node nyingine.

Nakua na nodes 6.

Nimepiga hesabu; baada ya circle ya siku 87 nitakuwa nimegenerate nodes 10.

Naenda circle ya 2 nikiwa na NODES 10. What happens??
8/ node 1 = 0.144thor/day
Nodes 10 = 1.44thor/day
Circle ya siku 87?
1.44thorx87=125thor

125thor = $20,420
So principle capital $8,150 imerudi na faida $12,270.

Sio mwisho wa faida... ndio mwanzo wa faida nahisi😂🤌🏾
9/Kumbuka bado nina nodes 10. Hii ndio faida kubwa.

Capital imerudi, faida pia na nodes 10 za kugenerate THOR 125.

Uchawi wa DeFi upo hapa... asset price is unpredictable.🤗

Leo thor ni $163. Lakini sept inaweza kuwa $500 ama $50. Depends on many on⛓ and off⛓ factors
10/ imagine by Sept/Oct wkt napoclaim return za thor zangu 125 wakati price ikiwa $500. Nachukua returns $62,500.

Narun tena nodes zangu circle ya 4, naclaim thor zangu 125 price ikiwa maybe $400, nachukua returns $50,000.

Sijawahi ku-run node... sina uzoefu lkn nimefanya DYOR
11/ najua risks zote zilizopo, mimi ni trader na investor, na naelewa athari za risks.

Naelewa kuwa naweza kupoteza capital yote. Lkn kazi ya investor ni kujiexpose kwenye risk ili kumaximize faida.

Hii model ya kurun THOR nodes ni sawa na ile ya $STRONG na $RING.
12/ najua hapa Twitter hawakosekani degens kama kina @galus_titanium @retireby29 @henryimani_ @criannicas_ @oaksupreme hatuwezi kukosa majibu.

Naomba mnipe mawazo yenu kuhusu hii project... esp upande wa sustainability na possible risk.
Kila kitu kuhusu Model yao @thornodes hii hapa...

Na the next noding circle from their Web naona inaanza Feb 13. So nataka ni-implement hii strategy for passive income 2022. Tudiscuss wazee!! Image

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with SIR JEFF⚡🇹🇿

SIR JEFF⚡🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(