#Jielimisheni: mchakato wa kupata Katiba Mpya Tanzania ulianza tangu mwaka 2010, wakati Rais wa wakati huo, @jmkikwete alipoamua kuutangazia umma dhamira na nia ya serikali ya CCM kuanzisha mchakato wa kupata Katiba Mpya.

👇🏻
Mchakato wa Katiba Mpys ukaanza rasmi mwaka 2011 kwa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Na. 83/2011 na baadaye ikatungwa Sheria nyingine ya Kura ya Maoni Na. 11/2013.
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ilitamka kuanzishwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo ilianzishwa chini ya Waziri mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba, ikaratibu mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi na kuandaa rasimu ya kwanza ya Katiba.
Kupitia uhariri wa Mabaraza ya Katiba ikapatikana Rasimu ya Pili ya Katiba. Rasimu hii ya pili ambayo ni maarufu “Rasimu ya Warioba” ikawasilishwa kwenye Bunge Maalum la Katiba ambalo kwa kiasi kikubwa lilikuwa & wajumbe wengi kutoka Bunge la JMT na wajumbe Wawakilishi -Zanzibar.
Kwenye bunge hili la Katiba, ambalo Makamu Mweyekiti wake alikua Rais Samia, ndiko joto na mivutano mikali kuhusu masuala kadhaa yaliyomo kwenye katiba ilipoanzia. Baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo hasa kutoka CHADEMA walijitoa na kususia mchakato.
Wajumbe waliobaki waliendela na ikapatikana “Katiba pendekezwa” ambayo watanzania wengi waliiona kama imekosa muafaka na maridhiano ambayo ndio msingi wa kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ili kupata Katiba bora ya kitaifa yenye kukubalika na wengi.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Goodluck 全能神的僕人

Goodluck 全能神的僕人 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @RealHauleGluck

Mar 29
Spika wa Bunge la Space si alikuwa kwenye Bunge Maalum la Katiba na alishiriki kupigia kura Katiba Pendekezwa na Ma-CCM wenzie Katiba ambayo CHADEMA walisusia na kutoka nje na kuunda UMOJA WA KATIBA YA WATU (UKAWA)?

Je, Katiba Pendekezwa ilikidhi matakwa ya wananchi?

👇🏻
Katiba iliyopendekezwa ina mapungufu makubwa pia ilitupilia mbali maoni muhimu ya wananchi kama:

> Kupunguzwa kwa madaraka ya Rais: wananchi
walipendekeza madaraka makubwa ya Rais hasa ya uteuzi yapunguzwe na ziundwe Taasisi za kikatiba za kumshauri Rais kabla hajafanya teuzi.
> Kutenganisha Mamlaka ya Mihimili ya Dola Wananchi walipendekeza Uhuru zaidi kwa Bunge na Mamlaka zaidi kwa Bunge kuisimamia, kuiwajibisha na kuishauri Serikali. Pendekezo hili linaenda sambamba na kutenganisha serikali na Bunge, hali ambayo iko sasa.
Read 24 tweets
Mar 27
#Tanzania: Mvutano mkali unaendelea kutamalaki miongoni mwa watu binafsi, wanaharakati, wanasiasa, vyama vya siasa na viongozi wa chama tawala na vyama vya upinzani na serikali kuhusu uwezekano wa kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kabla ya UCHAGUZI MKUU 2025.
Madai ya Tume Huru yanasukumwa na hoja kwamba uwanja wa shughuli za siasa hauna usawa, bali unaweka mazingira ya kukipa faida zaidi chama tawala, huku kukiwa na madai ya mara kwa mara ya ukiukwaji wa sheria, ukosefu wa uhuru na kuwepo kwa mamlaka makubwa ya Rais juu ya Tume hiyo.
Madai ya Katiba mpya yanasukumwa na dhana kwamba Katiba Mpya ndilo jawabu la mambo mengi yanayolalamikiwa yakiwemo: mfumo wa uendeshaji nchi, madaraka ya Rais, Haki, Usawa, demokrasia, Uhuru wa kufanya siasa, Uhuru wa Mihimili katika kutekeleza majukumu yao na hata Tume Huru.
Read 14 tweets
Mar 26
#TunduLissu asema waliompiga risasi ni Kikosi Kazi (TASK FORCE) cha Ofisi ya Rais (Dr. Magufuli) chini ya aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa DGI-TISS kwa sass Balozi Dr. Kipilimba.
@TunduALissu anasema alitarajia Rais @SuluhuSamia ataondokana na kivuli cha Rais JPM.
Comrade @TunduALissu awataja waliohusika kumshambulia.

Bw. Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kikosi kazi hicho kilijumuisha watu wa Usalama wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya na uwindaji haramu (Poaching).
Read 5 tweets
Mar 26
Cries of victims in Ethiopia and Yemen go unheard as the West focuses on Ukraine.

For the past one month, the entire world has been justifiably horrified by the events in Ukraine. Ever since Russia started its invasion of Ukraine in February 2022… opindia.com/2022/03/victim…
For the past one month, the entire world has been justifiably horrified by the events in Ukraine. Ever since Russia started its invasion of Ukraine in February 2022, thousands have died, and millions have become refugees leaving their homes.
The Western world has acted as one and has imposed strict sanctions on Russia while providing Ukraine with Billions of dollars worth of aid and weapons. Meanwhile, there are other conflicts around the world, including in Ethiopia, Yemen and other places,
Read 4 tweets
Mar 21
Kwa kifupi, mabadiliko hayo yalianza mwaka 1979 yaliyopelekea kuunzishwa na kuingizwa kwenye Katiba Mahakama ya Rufani baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Mabadiliko ya pili yalikuja Mwaka 1980 ambayo yalilenga kupunguza kero mbalimbali za muungano.
Mwaka huo huo kulitokea mabadiliko ya tatu ambayo yalifafanua mfumo mzima wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, serikali yake pamoja na Baraza la Wawakilishi. Mabadiliko ya nne yalitokea mwaka 1982 yakiwa na kusudio la kuboresha uteuzi wa wakuu wa Mikoa.
Mwaka 1984 yalitokea mabadiliko mengine ya tano na kuingiza tamko la Haki za Binadamu kwenye Katiba ya Mwaka 1977. Mwaka 1990 kulitokea mabadiliko mengine mawili katika nyakati tofauti ya sita na saba na kuanzisha tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC)
Read 11 tweets
Mar 1
Juma Duni Haji: Wapinzani tusipoungana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Alichoongea @zittokabwe Zitto ndicho @TunduALissu alichoongea na Rais @SuluhuSamia walipokutana nchini Belgium.
Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo.
Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na Rais Samia kule Ubelgiji hivyo tofauti ni sehemu tu ya kuongelea.
Read 5 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(