Magna Carta Profile picture
Human Rights Advocate | Exposing #HumanRights abuses around the globe | Advocating for Equality | Human Rights | Democracy and Rule of Law || #UntilWeAreAllFree
Aug 24, 2022 39 tweets 6 min read
#Ethiopia: The African Union cannot deliver peace to Tigray. Tigray leaders are highly critical of African Union-led efforts to bring peace to Ethiopia - including AU negotiator Olusegun Obasanjo's suggestion that Eritrea should join the peace process.
Aug 24, 2022 10 tweets 3 min read
🇪🇹The Addis Ababa regime has started bombing #Tigray forces on Southern fronts. I truly don’t see any progress towards any peaceful resolution; in fact, it looks like we are back to zero. More civilian deaths, more crimes against humanity and more #TigrayIsSuffering Fighting between forces from Ethiopia's rebellious northern region of Tigray and central government forces has erupted around the town of Kobo, residents and the spokesman for the Tigrayan forces said on Wednesday, ending a months-long ceasefire.
Aug 24, 2022 6 tweets 2 min read
#TigrayUnderAttack: What’s Happening
in Tigray?

On November 4, 2020, unelected Prime Minister of #Ethiopia Abiy Ahmed declared a genocidal war on Tigray, the northernmost regional state of Ethiopia, in collaboration with President of #Eritrea Isaias Afwerki. Since then, his administration has limited and/or blocked access to, aid, food, water, electricity, telecommunications, health services, and banking services for millions of Tigrayan civilians.
Aug 13, 2022 8 tweets 4 min read
#KenyaDecides2022: There is a huge problem because UDA allegedly hijacked Nation servers transmitting results and installed an algorithm to increase Ruto's votes on screen by 100,000 per 500,000 votes. Then, using their contacts at IEBC, they hacked the server and uploaded bogus forms whose content do no correspond to polling station results on form 34A.
Jul 25, 2022 14 tweets 4 min read
#TigrayCantWait⚡️ Meet the Guy Who Stormed the Track After the Women’s 5,000 at the 2022 Worlds

- Seconds after Ethiopia’s Gudaf Tsegay won her first global outdoor title in the 5,000 meters at the 2022 World Athletics Championships at Hayward Field,… … a bearded man in dark blue shorts and a white patterned shirt unbuttoned below his chest ran onto the track, lifted up Tsegay and fellow Ethiopian fifth-placer Letesenbet Gidey and, after a brief chase, was apprehended by security and led away from the track.
Jul 20, 2022 6 tweets 3 min read
#Tanzania⚡️Katika hatua za kuboresha Mfumo wa Haki Jinai nchini Mhe. @SuluhuSamia amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi (@tanpol) nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu mpya wa Jeshi la polisi nchini (IGP). IGP Wambura anachukua nafasi ya IGP- Sirro (mstaafu) ambaye ameteteuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe.
Moja ya jukumu kubwa la IGP Wambura no kuigeuza taswira ya @tanpol na kuhakikisha Jeshi la Polisi nchini linabaki kuwa kiungo muhimu cha kulinda Haki, Ulinzi na usalama wa raia.
Jul 8, 2022 12 tweets 2 min read
And Jesus said to him, “Do you see these great buildings? There will not be left here one stone upon another that will not be thrown down.”

: Matthew 24:2 ESV But he answered them, “You see all these, do you not? Truly, I say to you, there will not be left here one stone upon another that will not be thrown down.”

: Matthew 24:1-51 ESV
Jun 30, 2022 20 tweets 4 min read
Tuanze kwa kujielimisha 👉🏽“Maana ya Ardhi”

Kuna tafsiri kadhaa ambazo zinaweza kutumika kutafsiri ardhi. Tafsiri hizo zinaweza kutokana na ufahamu wa kila mtu kulingana na uelewa wake.

/: Ardhi ni sehemu yote iliyo juu na chini ya uso wa nchi.

🪡 Hata hivyo, ili kuweza kuwa pamoja katika maana ya ardhi, ni vizuri kutumia tafsiri inayotumika katika miongozo ya ardhi. Miongozo hiyo ni pamoja na Katiba, sera, sheria za ardhi, kanuni na taratibu kadha wa kadha.
Jun 28, 2022 4 tweets 1 min read
🪡 Image Image
Jun 14, 2022 31 tweets 5 min read
#Tujielimishe: ⚡️SHERIA NA TARATIBU ZA UMILIKI WA ARDHI TANZANIA BARA

- Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:-

Uzi 🧵…..

👇🏻 MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI

Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:-

· Ardhi yote ilikuwa ikimilikiwa kimila.
· Ardhi ilikuwa kwa ajili ya matumizi tu. mf-Kilimo,makazi,ufugaji,matambiko nk
Jun 14, 2022 9 tweets 2 min read
Comrade @TunduALissu tunaomba tueleze ni kwa mujibu wa Katiba au Sheria gani ardhi ndani ya JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ni mali ya wananchi?

🧵

👇🏻 Kipindi cha miaka ya 1961- 1990
- Mamlaka ya Gavana juu ya ardhi ilihamishiwa kwa Rais.
- Mwaka 1967 Azimio la Arusha lilitangazwa kuweka misingi ya uzalishaji mali mikononi mwa umma.
Jun 12, 2022 14 tweets 3 min read
#FactChecking: in 2017 Tanzania ended a 25-year-old hunting tourism deal with a United Arab Emirates company called ‘Otterlo Business Corporation’.
The deal, was set up in 1992 (President Mwinyi), was reported to be in exchange for millions of dollars to Tanzania’s armed forces. However, despite the announcement in November 2017, OBC did not leave Tanzania. Just a few days later, Prime Minister Kassim Majaliwa said that OBC would stay.
Jun 9, 2022 20 tweets 4 min read
For over a century, Tanzania's Maasai pastoralists have shared the famed Ngorongoro conservation area with zebras, elephants and wildebeests. But now they face the prospect of eviction as their exploding population poses a threat to wildlife according to the Tanzanian government. #NgorongoroConservation: Since 1959, the number of humans living in the World Heritage Site has shot up from 8,000 to more than 100,000 last year. The livestock population has grown even more quickly, from around 260,000 in 2017 to over one million today.
Jun 9, 2022 4 tweets 1 min read
#UpinzaniNiMafichoYaCCM: ⚡️Vyama vya upinzani vilivyozaliwa mwaka 1992 na mwanzoni mwa 1993, dhamira ilikuwa moja tu; kuiondoa CCM madarakani na kuchukua dola.

Hoja zilikuwa sera mbaya na uongozi mbaya wa CCM. mwananchi.co.tz/mw/habari/kita… Hata hivyo, kuelekea Uchaguzi Mkuu 1995, oksijeni ya vyama vya upinzani iliegemea kwa wahamiaji kutoka CCM.

Katika wapambanaji wa mageuzi 1992 na 1993 mwanzoni, ni Cheyo peke yake ndiye aliyejitokeza kwa kujiamini katika Uchaguzi Mkuu 1995,….
Apr 1, 2022 23 tweets 4 min read
Dunia ya leo imejikita zaidi katika demokrasia. #Demokrasia kwa ufupi ni dhana inayolenga ushiriki wa wananchi katika kuweka misingi sahihi ya uendeshaji wa nchi wao wakiwa ndio msingi wa mamlaka yote ya nchi na walio na uwezo wa mwisho wa kuipa serikali madaraka na mamlaka yake. Moja ya misingi mikuu inayolenga kukuza demokrasia ni Katiba ya Nchi. Katiba ni msingi mkuu wa uendeshji wa nchi, ukuaji wa demokrasia na utawala wa Sheria. Katiba ndiyo sheria kuu (mama) na ambayo kwayo sheria zote nyinginezo hupata uhalali na hufungamana na Katiba.
Mar 29, 2022 7 tweets 2 min read
#Jielimisheni: mchakato wa kupata Katiba Mpya Tanzania ulianza tangu mwaka 2010, wakati Rais wa wakati huo, @jmkikwete alipoamua kuutangazia umma dhamira na nia ya serikali ya CCM kuanzisha mchakato wa kupata Katiba Mpya.

👇🏻 Mchakato wa Katiba Mpys ukaanza rasmi mwaka 2011 kwa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Na. 83/2011 na baadaye ikatungwa Sheria nyingine ya Kura ya Maoni Na. 11/2013.
Mar 29, 2022 24 tweets 4 min read
Spika wa Bunge la Space si alikuwa kwenye Bunge Maalum la Katiba na alishiriki kupigia kura Katiba Pendekezwa na Ma-CCM wenzie Katiba ambayo CHADEMA walisusia na kutoka nje na kuunda UMOJA WA KATIBA YA WATU (UKAWA)?

Je, Katiba Pendekezwa ilikidhi matakwa ya wananchi?

👇🏻 Katiba iliyopendekezwa ina mapungufu makubwa pia ilitupilia mbali maoni muhimu ya wananchi kama:

> Kupunguzwa kwa madaraka ya Rais: wananchi
walipendekeza madaraka makubwa ya Rais hasa ya uteuzi yapunguzwe na ziundwe Taasisi za kikatiba za kumshauri Rais kabla hajafanya teuzi.
Mar 27, 2022 14 tweets 3 min read
#Tanzania: Mvutano mkali unaendelea kutamalaki miongoni mwa watu binafsi, wanaharakati, wanasiasa, vyama vya siasa na viongozi wa chama tawala na vyama vya upinzani na serikali kuhusu uwezekano wa kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kabla ya UCHAGUZI MKUU 2025. Madai ya Tume Huru yanasukumwa na hoja kwamba uwanja wa shughuli za siasa hauna usawa, bali unaweka mazingira ya kukipa faida zaidi chama tawala, huku kukiwa na madai ya mara kwa mara ya ukiukwaji wa sheria, ukosefu wa uhuru na kuwepo kwa mamlaka makubwa ya Rais juu ya Tume hiyo.
Mar 26, 2022 5 tweets 3 min read
#TunduLissu asema waliompiga risasi ni Kikosi Kazi (TASK FORCE) cha Ofisi ya Rais (Dr. Magufuli) chini ya aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa DGI-TISS kwa sass Balozi Dr. Kipilimba.
@TunduALissu anasema alitarajia Rais @SuluhuSamia ataondokana na kivuli cha Rais JPM. Comrade @TunduALissu awataja waliohusika kumshambulia.

Bw. Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Mar 26, 2022 4 tweets 1 min read
Cries of victims in Ethiopia and Yemen go unheard as the West focuses on Ukraine.

For the past one month, the entire world has been justifiably horrified by the events in Ukraine. Ever since Russia started its invasion of Ukraine in February 2022… opindia.com/2022/03/victim… For the past one month, the entire world has been justifiably horrified by the events in Ukraine. Ever since Russia started its invasion of Ukraine in February 2022, thousands have died, and millions have become refugees leaving their homes.
Mar 21, 2022 11 tweets 2 min read
Kwa kifupi, mabadiliko hayo yalianza mwaka 1979 yaliyopelekea kuunzishwa na kuingizwa kwenye Katiba Mahakama ya Rufani baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Mabadiliko ya pili yalikuja Mwaka 1980 ambayo yalilenga kupunguza kero mbalimbali za muungano. Mwaka huo huo kulitokea mabadiliko ya tatu ambayo yalifafanua mfumo mzima wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, serikali yake pamoja na Baraza la Wawakilishi. Mabadiliko ya nne yalitokea mwaka 1982 yakiwa na kusudio la kuboresha uteuzi wa wakuu wa Mikoa.