Uzi KIFO HAKILETI BADILIKO LOLOTE LA TABIA, BALI HULETA UKOMO WA MAISHA Tu.๐
Baada ya kifo ni hukumu...
Hakuna kujitetea baada kufa,
Hakuna tena uwezo wa kutubu dhambi baada kufa,
Hakuna mtu atakayekuhubili kaburini baada ya kufa,
Kama ukifa unadhambi huwezi๐
kuzitubu tena,
Kama ukikataa kuyashika mapenzi ya Mungu ungali hai, huwezi kuyatenda ukiwa umekufa,
Maombi ya muweke mahari pema peponi ni ya kinafiki tu, maana hayamletei badiliko la tabia hata chembe,
Yaani mtu amekufa hampendi Mungu, alafu aje afufuke anampenda Mungu? Ni..๐
kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.
Kama utakuwa mtakatifu mbinguni ni lazima kwanza uwe mtakatifu duniani.
Sifa bainishi za tabia unazozipenda na kuzifuga maishani hazitaweza kubadilishwa kwa kifo au kwa ufufuo.
Utafufuka kutoka kaburini ukiwa na tabia ile ile...๐
uliyoidhihirisha nyumbani kwako na katika jamii.
Mungu habadilish tabia tabia wakati wa kuja kwake.
Kazi ya kuleta mabadiliko ya kitabia ni lazima ifanyike sasa.
Maisha yetu ya kila siku yanaamua hatima yetu.
Kasoro za kitabia ni lazima zifanyiwe toba na kurekebishwa...๐
kwa njia ya neema ya Mungu, na tabia ya ulinganifu ni lazima ujenge wakati tukingali katika wakati wa rehema, ili tuweze kufanywa tufae kwa ajili ya makao ya juu mbinguni.
Kama unahitaji kuishi mbinguni na watakatifu wengine, lazima uishi maisha matakatifu ungali bado uko hai๐
Na duniani ndio sehemu ya kutengenezea tabia zetu ili zifae kuingia mbinguni kwenye makao ya wenye haki.
UWE NA WAKATI MWEMA BARAKA ZA MUNGU ZIKAWE NASI SOTE KWA KADRI YA FADHILA NA NEEMA ZAKE
Nimerusha kama nilivyoipokea. Sifahamu nani kaiandika, lakini imetulia, nikaona na mwingine aisome. Kuna mawaidha mazur hapo, unaweza kupata linalokuhusu๐
Uzi : SEVEN( 7 ) HEALTH BENEFITS AMBAZO HUZIFAHAMU OF SLEEPING WITHOUT LIGHT, LET's GO...๐ค๐
1) The body is able to produce a hormone (Melatonin) which fights diseases in the body while asleep at night in the dark only.
Endelea utakujanishukuru badae...๐
2) While asleep in the dark, the brain cells are able to rejuvenate back to their original state ( cells which were damaged due to excessive sunlight and electricity) and function properly.
3) A study shows that Intelligent people all over the world do not sleep at night with lights on. Take note.