Madinidotcom Profile picture
Apr 9 25 tweets 6 min read
KUTENGANA KWA KOREA KUSINI NA KASKAZINI ,CHANZO NA MATOKEO
YAKE

#PichaLinaendelea Wote tunajua kuna KOREA 2,Wale wa kaskazini kama Johmakini na wa kusini kama konde boy .Sasa STRAIGHT To the point, nini sababu ya wao kutengana?JIBU fupi Ni vita vya pili vya dunia.Ilikuwaje?
Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka
1945.Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA
WANAITA SILLA DYNASTY(sila dainasti).Mwanzo ulisikia chanzo cha ketengana ni VITA VYA PILI VYA
DUNIA(1945) lakini story kidoogo
ilianzia nyuma ya hapo.Kuna ‘ndondi’ flani zishawahi kupigwa kati ya JAPAN na CHINA,hii vita inaitwa First Sino -Japanese war,imagine wanasema ni vita kati ya CHINA na JAPAN lakini picha halisi ni tofauti kabisa.JAPAN alikua ndo Baba lao miaka hyo kutokana na walichukua mfumo
wa kiviwanda wa MAGHARIBI mwa dunia mapema,hadi leo wapo mbele yetu sana kiteknolojia lkn story ilianza na Wao. So japan licha ya UDOGO wake kieneo walikuwa na nguvu kidunia
na utakumbuka ilibidi MAREKANI adondoshe yale mabomu ya NYULIA ndo Japan ilisarenda KWA MBINDE!
Japan
ilisarenda KWA MBINDE!
Japan na KOREA wametenganishwa na maji kidogo tu,na next kuna jirani mjomba CHINA. So upande mmoja akawepo Japan ambaye ana UMAGHARIBI,upande wa kulia yupo ndug china mwenye mambo yake kivyake, tukifupisha story ubishani ukaanzia hapo.
Unaweza kusema KOREA iliponzwa na geographia yake na eneo ilipo ni moja ya chanzo cha matatizo iliyo nayo.Kama tujuavyo tena ukiishi karibu na Bar yenye GUEST house hata usipoleta UTALETEWA So ikageuka kama Demu wa geti kali aliyezungukwa na Team mafisi JAPAN NA CHINA.
kilichotokea ni Siku moja bwana Japan akamuita Bi Korea enzi hizo akiwa korea kmKOREA akamwambia akubali kufanya biashara kufuata mfumo wa Magharibi
Huku CHINA wakamwambia KOREA USIDANGANYIKE“Russia are coming"
Kipindi hicho umoja wa soviet ama russia ndo kama mbwa kichaa
kwa kuvamia tawala za watu So Korea ikawa kwenye presha ya either wachague kuside na JAPAN iliyokuwa na nguvu zaidi,au wakae kwa China KUBWA kieneo itakayomlinda dhidi ya RUSIA (SOVIET enzi hizo).SOVIET walikua wagumu weusi wakiwateka mtajuta!Wakati huo huo KOREA
ikawa inapokea
barua za maombi kutoka kwa danga jingine USA kwamba“Oya,dada
naomba tuchati".Barua ya Marekani ilihakikishia Korea kwamba itailinda dhidi ya RUSIA na CHINA Mwenyewe,so ni kama Marekani alipanda Dau hivi na KIKAITIKA.1882 Korea na Marekani wakasign mkataba ulioitwa MKATABA
Wa amani MSHIKAMANO, BIASHARA na NaVIGESHENI na makorokocho mengineyo.Kifupi ukienda google utaupata .Hapa ndipo Marekani iliingia rasmi kwenye huu mchongo,Korea ikaanza kudamshi na maviwanda ya kushato yakajengwa nchi nzima,maisha yakanoga kinoma noma.Sasa Shida ikaanzia hapa.
China ikaona HATAAA SIKUBALI,
ikataka ule mkataba mbali na
mambo mengine useme “KOREA INAMILIKIWA NA CHINA" kivipi?CUT ze LONG STORY SHOT,China ilikuwa na ushawishi long time ndani ya Korea
Kifupi wakorea Wanaclick na Wachina kuliko Wajapan.
Ni kama Africa mashariki kuna
wakenya,waganda,watanzania,Burundi na Rwanda lakini ukifatilia utagundua kuna nchi zinaclick pamoja kuzidi nyingine kama ushkaji wa KENYA na Tz ni tofauti na Tz na RWANDA kimuingiliano. So CHINA walitaka KOREA iwe sehemu yake pamoja na kisiwa
Jirani kinaitwa Taiwan,China ilifikia mahali wakaingiza majeshi ndani ya Korea wkt wa mzozo,naJapan wakasema #UsiniambieIvoMimi akamfuata bwana chinaKIKANUKA,ndo ile niliyokuambia Fist sino Japanese War.Means ilikuwa mechi kati ya Japan na China na ilichezewa kiwanja cha ugenini
N-JINI korea Watu wanakuja kupigania kwako!So China akaishia kupigwa za macho nyingi sana.I told you,enzi hizo moto wa Japan ulikuwa kama SIMBA SPORT CLUB!Haters mnaguna kdg
lkn THIS IS SIMBA..YANGA
MSINUNE LKN..SISI SOTE NI WATANZANIA…LOL kwenye hizo ‘ndondi’ China
wakanyang'anywa KOREA pamoja na TAIWAN vikawa chini ya JAPAN kwa miaka km 35 hadi tunafika vita vya pili vya DUNIA. Km unafuatilia madiniDot com ni rahisi kuunganisha nukta hapa.Kumbuka muda wote huu korea ilikua nchi moja.Hata Japan ilipoidunda China ilitawala korea km nchi moja
Kina KIM JONG UN WALIKUWA BAADO KABISA.Japan akaendelea kudamshi na Michepuko yake KOREA na TAIWAN hadi ilipofika 'AROBAINI ZA MWIZI'
vita vya pili vya dunia.Enzi hizi Japan akawa ASLAY akawa anaimba
“Nataaamba,Kwenye vita ya pili ya Dunia ndipo mambo yalichange,
kwasabab kwanza ILIMALIZWA KIBABE
wakati huo Japan bado inatisha kwasabab walishaendelea sana kiteknolojia na kiviwanda,wakati huo HITLER wa Ujerumani ambaye alionekana MKALI WAO alishapoteza pambano,akasarenda. So Uwanjani wakabaki JAPAN na MAREKANI na ukumbuke korea ipo chini
ya Japan so Marekani ilimwambia Japan "MZee baba Vita iishe makoloni yote yarudishwe"Japan akamwambia"Bwege nini,HAPA ndondi tu"Na ndipo ikaja ile shughuli ya BOMU LA NYUKLIA la #NAGASAKI na #HEROSHIMA ndani ya
Japan.Pale ndipo JAPAN alinyoosha mikono juu mwendo wa mateka na
VITA VYA PILI VYA DUNIA VIKAMALIZIKA.Shughuli ikabaki kwa KOREA na TAIWAN kwamba nani sasa atasimamia hawa watoto waliokuwa chini ya bwana JAPAN?Niliwahi kuelezea kwamba nchi kusarenda vita vya Dunia ,means unaachia MAKOLONI
yote bila masharti yoyote.
Na ndicho Japan alichosainishwa baada ya kudundwa yale MABOMU mawili yasiyosahaulika milele Nagasaki na IROSHIMA.#FunnyFact mpaka
sasa #Marekani ndio nchi pekee duniani imewahi kutumia silaha za nyuklia .Hata kim jong Un hajawahi kushambulia mtu AU NCHI na Nyuklia
So ikasemekana maamuzi ya Korea inabaki na nani yanabaki kwa mshindi wa vita ambaye ni MAREKANI.Russia akaibuka akisema NO,Hii Korea ni Yangu,kwanini? KWASABAB kwanza wapo karibu kuliko Marekani lkn sabab kuu Rusia walitaja Vita moja washawahi kupigana NYUMA na JAPAN kutaka hilo
eneo Japan wakawapiga.(Japan
NI kama chidbenz washadunda kila mtu)
So RUSSIA wanasema tupewe sasa,ni haki yetu.Tu\Lipi-JWA sana So kwa miaka mingi mgogoro wa KOREA ulisababishwa na mabwana wakubwa
3,CHINA,URUSI na USA.Ikawa kama Ngwair n Mchizi mox kwenye
“Mwajuma ni demu wangu"wakati huo Mwajuma alikuwa KOREA akagonganisha mabwana 3.Huo mvutano unaouona hapo ndicho kile wanaita VITA BARIDI au kwa kidhungu COLD WAR. Ilikua party ya kimya kimya iliyoendeshwa na made wawili RUSIA na marekani huku china akiwa fundi mitambo.
wkt kila upande unapromote ajenda yake duniani MAGHARIBI na Ubepari
(Capitalism) na RUSSIA na Ukomunist
Cold war kwa maelezo rahisi ilikuwa VITA kati ya MAREKANI na URUSI katika mtindo wa Ajabu unaotumiwa leo na Saudi arabia na Iran ambao tulikuelezea episode zilizopita.
Yaani USA anachukua vijana wake anawatuma KOREA wanaenda kukutana na vijana wa Urusi waliotumwa huko
wanapigana wee lakini wananchi wanaoteseka ni wa hizo nchi vita inapopiganwa.

#PichaLitaendelea post ijayo
Usikose kuwa nasi leo saa 9 alasiri kupitia @earadiofm

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Madinidotcom

Madinidotcom Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @madinidotcom

Apr 7
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?
#PichaLinaendelea sehemu 2

Lakini SIDE B kuna issue ya LABARATORY THEORY niliyokugusia mwanzoni ambayo mataifa mengi
yameanza kurudi kujiuliza na CHINA inatumia POWER yote kuhakikisha hilo halifanyiki. Ni Theory gani
hii?
Kwanini kuna hizi maabara za VIRUSI hatari duniani?By the way leo tunaongelea CHINA tu lakini
marekani pia wana mahabara kama hizi kibao na zimejaa virusi hatari kibao,vya faida gani?Kwanini MAREKANI na CHINA wanatupiana mpira?.PICHA LINANOGA
So kama tulivyosikia dunia ina maswali mengi kuhusu Corona na kubwa linalojitokeza ni LAB THEORY
ambayo imeanza kuuliziwa vikali na wakubwa.Kabla haijathibitika kama kweli ni kazi ya maabara ama
lah,Kuna mwingine utauliza kwani tukijua ndo isaidie nini?Well
Read 25 tweets
Apr 7
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?

#PichaLinaanza CORONA VIRUS!True story hatimaye tumepata HIT SONG iliyosikilizwa na wote wazee,vijana,
watoto,wanasiasa,madaktari na wahuni wa skani.Mara ya mwisho tumepata hit song ya aina hii ilikuwa #MUZIKI ya Darassa ft Benpol. Image
Kabla ya hapo CONGO WALITULETEA ‘’TWANGA PHOTO WAAAAH,
ekotiteee,ekotiteee’’ ya Kofii olomide. au Mbele tukasikia DESPACITO…
Hii sio mara ya kwanza na huenda isiwe ya mwisho kusikia virusi kusambaa duniani kutoka nchi china. So
why CHINA?
Dunia imeshaingia kwenye process ya CHANJO na mjadala wake ni mkubwa na mzito .We unaamini nini?Ni hiari na maamuzi yako.Kwanini China ndo chanzo cha haya yote?
PICHA LINAANZA #2019 China wakijiandaa kudamshi na mwaka mpya ,BREAKING NEWZ watu walianza
kupata kikohozi kikavu
Read 25 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(