Madinidotcom Profile picture
Show ya radio kwa #TAARIFANaMAARIFA kila wiki.Tunajadili ya dunia kwa lugha rafiki na nyepesi. kila Jumamosi 9alasiri - 10jioni Eastafrica Radio..Subscribe👇
peter August Profile picture 1 subscribed
Dec 22, 2022 25 tweets 10 min read
MAFUTA YANATOKA-GA WAPI?🤔
#PICHALINAANZA...
Mpaka sasa jibu la kisayansi juu ya chanzo cha uwepo wa mafuta, hata mimi sipendagi sana kumuaminisha mtu😅,Tho nitakuelewesha wanasega nini ,ukiona haikuingii basi tuishie kukubali tu MUNGU FUNDI.Lakini wanasema... ni matokeo ya mgandamizo(presha) wa mimea,viumbe waliowahi kuishi duniani na mazagazaga kibao yaliyovunda-ga ardhini ambapo vilitengeneza hewa ya HYDROCARBON.
Hii HAIDRO-KABONI wala isikuogopeshe,hili jina ni kitu kinachotokeaga pale...
Aug 25, 2022 20 tweets 8 min read
SAKATA LA MAUAJI YA RAIS WA CONGO.
🧵🔥

#PichaLinaanza Hili ni picha kuhusu tukio la kuuawa kwa rais wa Congo Laurent-Désiré Kabila,ni kama movie la kutisha lakini BASED ON TRU EVENT. Mwamba ambaye ni Stelingi wetu anaitwa RASHIDI MIZELE,baadaye mastelingi watabadilika. Image hii ndio story,ambayo tulikugusia episode zilizopita za rais aliyeingia mkataba maarufu wa kuigawa Congo MKABA WA LEMERA.HADI leo Congo juzi kati imekubaliwa kuwa sehemu ya africa mashariki,ni nchi yenye historia nyeusi.Licha ya kwamba imebarikiwa madini... Image
Aug 23, 2022 37 tweets 13 min read
SAKATA LA BILIONEA JEFF BEZOS NA KING SALMAN WA SAUDIA.

Did you know unaweza kuhack an Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? #PICHALINAANZA Image Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea,yes inawezekena bhanaa lakini kudakwa ni njenje.Sasa hacking inahitaji vitu flani ambavyo sometimes ni teknolojia ghali au lazima uwe na connections kali .
Juzi kati ikatangazwa BREKING NYIUZ Image
Jul 13, 2022 25 tweets 9 min read
MAUAJI YA Mohsen Fakhrizadeh KAMA MOVIE.

Uzi 🧵

Kuiadhibu Iran kama taifa kwa adhabu za vikwazo vya kiuchumi hakujaweza
kuzuia hatari inayosemwa na mataifa makubwa, na 'NEXT' mbinu ni kudeal namtu mmoja kwasababu kuivamia kijeshi pia ni jambo linalowezekana lakini... Image unahitaji kujipanga sawa sawa kama asemavyo Rose mhando.Kuna mauaji ya wanasayansi wa nyuklia yameshafanyika lakini huyu aliyeuawa Mohsen Fakhrizadeh,tunasema wahuni wamegonga ikulu. Iran sio mgeni wa hiki kinachowakuta kwasababu kilianzia IRAQ Image
Jul 11, 2022 25 tweets 9 min read
Nni kinaendelea SRILANKA? Sehemu 2

Uzi🧵🙌

#PichaLINAENDELEA anzia post ya jana.

Ankali GOTABAYA alipoingia madarakani 2019 aliahidi kodi za kibwege atazifutilia mbali,wananchi wakaona “eheee,huyu ndo mwaisa mtu mbadi wetu”km ujuavyo ujuavyo kila mtazamo hujengwa na historia Image so shida ya wana SRI LANKA ilikuwa kuona nchi inarudi kusimama kwa miguu yake,mambo ya wewe ni nduguyakeNani wala hawajali sana. Alipoingia ankali GOTABAYA alionekana ni mtu wa kusimamia maneno yake, akapitisha panga la kupunguza kodi kwa wananchi ,kampeni ambayo ilipunguza 25% Image
Jul 10, 2022 25 tweets 10 min read
Nini kinaendelea SRILANKA..?

Uzi🧵

#Trustory labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje hela?inamaana noti zimepotea? Image Mwingine hata huelewi SRI LANKA yenyewe ndo wapi. So twende nikupe historia simpo yenye MASUALA Mazima ya uchumi ndani yake. Sri lanka ni kisiwa kipo kusini mwa INDIA zamani sana inasemekana kulikuwa na barabara kabisa kutoka INDIA hadi SRI LANKA ya sasa Image
Jun 23, 2022 23 tweets 9 min read
UMESIKIA MENGI KUHUSU MGOGORO WA #RWANDA NA #DRC LAKINI PENGINE UNASHINDWA KUELEWA WTF IZ GOING ON?🧐🤭
Kuna njia mbili za kuelewa,ya kwanza ni usome Uzi ufuatao.
Pili usikose show'Jmosi hii eastafricaradio.com
History iliyorahisishwa na #SabulaMaarifa wa #MadiniDigital. Iko hivi!! Kitambo hicho Rwanda iliwahi ku-operate chini ya mwamvuli wa KIFALME uliokuwa ukiongozwa na mwamba wa kuitwa KIGELI IV RWABUGIRI.
Rwabugiri alikuwa ni jamaa fulani hivi kutokea Kabila la walio wachache (TUTSI) kule Rwanda.
Apr 9, 2022 25 tweets 6 min read
KUTENGANA KWA KOREA KUSINI NA KASKAZINI ,CHANZO NA MATOKEO
YAKE

#PichaLinaendelea Wote tunajua kuna KOREA 2,Wale wa kaskazini kama Johmakini na wa kusini kama konde boy .Sasa STRAIGHT To the point, nini sababu ya wao kutengana?JIBU fupi Ni vita vya pili vya dunia.Ilikuwaje? Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka
1945.Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA
WANAITA SILLA DYNASTY(sila dainasti).Mwanzo ulisikia chanzo cha ketengana ni VITA VYA PILI VYA
DUNIA(1945) lakini story kidoogo
Apr 7, 2022 25 tweets 5 min read
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?
#PichaLinaendelea sehemu 2

Lakini SIDE B kuna issue ya LABARATORY THEORY niliyokugusia mwanzoni ambayo mataifa mengi
yameanza kurudi kujiuliza na CHINA inatumia POWER yote kuhakikisha hilo halifanyiki. Ni Theory gani
hii? Kwanini kuna hizi maabara za VIRUSI hatari duniani?By the way leo tunaongelea CHINA tu lakini
marekani pia wana mahabara kama hizi kibao na zimejaa virusi hatari kibao,vya faida gani?Kwanini MAREKANI na CHINA wanatupiana mpira?.PICHA LINANOGA
Apr 7, 2022 25 tweets 5 min read
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?

#PichaLinaanza CORONA VIRUS!True story hatimaye tumepata HIT SONG iliyosikilizwa na wote wazee,vijana,
watoto,wanasiasa,madaktari na wahuni wa skani.Mara ya mwisho tumepata hit song ya aina hii ilikuwa #MUZIKI ya Darassa ft Benpol. Image Kabla ya hapo CONGO WALITULETEA ‘’TWANGA PHOTO WAAAAH,
ekotiteee,ekotiteee’’ ya Kofii olomide. au Mbele tukasikia DESPACITO…
Hii sio mara ya kwanza na huenda isiwe ya mwisho kusikia virusi kusambaa duniani kutoka nchi china. So
why CHINA?