The ChandO Profile picture
Apr 10 β€’ 13 tweets β€’ 8 min read
Uzi : JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE NYAKATI NGUMUπŸ˜”

" FIKIRIA KUSHINDA πŸ’ͺ "

Miaka kazaa iliyopita kuna kijana maarufu alikuwa akifuga kundi kubwa la Farasi karibu na ziwa,

Kundi lake la Farasi huwa kila baada ya kupata chakula wanatabia wa kwenda kunywa maji kwenye hilo...πŸ‘‡ ImageImage
ziwa lililopo karibu na makazi yao,

Siku moja baada ya kundi kubwa la Farasi kupata chakula na kwenda kunywa maji ziwani,

Miongoni mwa Farasi baada ya kumaliza kunywa maji alipo jaribu kutoka akashindwa kabisa kwasababu alinasa kwenye tope,

Farasi wengine waiobaki walipo..πŸ‘‡
rejea nyumbani mwenyewe kundi la Farasi akagundua Farasi mmoja hayupo,

Kulipo kucha asubuhi akaanza kumtafuta kwanzia sehemu wanapo pata chakula mpaka akafika ziwani sehemu wanapo kunywa maji baada ya kupata chakula,

Huko akamkuta huyo Farasi yuko kwenye tope akiwa...πŸ‘‡
mnyonge, amekata tamaa ya kujaribu kutoka nje ya hilo tope Zito,

Akamtazama Farasi wake akalitazama na lile tope akalishika akagundua kuwa kulingana na aina ya tope alipo yule Farasi anaweza kutoka mwenyewe,

Kinacho pelekea asitoke ni kwasababu anafikiria ameshindwa kutoka..πŸ‘‡
badala ya kufikiria kushinda ili atoke kwenye lile tope,

Alicho kifanya yule kijana alirudi nyumbani kulichukua lile kundi lake kubwa la Farasi kulileta mpaka pale ziwani alipo nasa Farasi mwenzao,

Kisha akapaza sauti yake akawaamulu wale Farasi waanze kukimbia wakizunguka.πŸ‘‡
lile ziwa,

Akiwa na lengo la kubadilisha fikira ya yule Farasi ya kushindwa ili afikirie kushinda,

Walipo anza kukimbia kwa kishindo yule Farasi alie nasa kwenye tope akanyanyua kichwa chake juu na masikio yake ya kanyanyuka na kupaza sauti yake juu ishara ya kwamba yuko...πŸ‘‡
tayari kwa mashindano na lazima mshindi apatikane,

Ndipo alipo anza kujaribu kuruka ili ajinasue kwenye lile tope, akaruka mara ya kwanza, mara ya pili na mara ya tatu alipo ruka akafanikiwa kutoka nje ya lile tope Zito na kuungana pamoja na wenzake,

Hadithi hii inafundisha..πŸ‘‡
kwamba unapo kuwa kwenye nyakati ngumu kama vile kipato chako kidogo, biashara yako hai kui, MAUZO kidogo kwenye biashara yako, kukosa kazi ya kufanya, n.k hautakiwi kufikiria kushindwa,

Watu wengi wanapopitia nyakati ngumu huwa waanza kufikiria kushindwa matokeo yake...πŸ‘‡
huishia kushindwa kwenye malengo yao,

Kwanzia sasahivi unapopitia kwenye nyakati ngumu zozote usiwe Unafikiri kushindwa uwe una fikiria kushinda,

Hii ndio silaha pekee ya kufanikiwa kwenye nyakati ngumu,

Je wewe ni nyakati gani ngumu umewahi kupitia ?

Niambie hapo chini...πŸ‘‡
kwenye comment πŸ‘‡

Usisahau wewe una UWEZO MKUBWA sana...πŸ’ͺ

Utafanikiwa...πŸ™

You can do it do it now...🀲🀝

@ChandoMaterials

Endelea bado kidogo umalize Uzi huu...πŸ‘‡
UWE NA WAKATI MWEMA BARAKA ZA MUNGU ZIKAWE NASI SOTE KWA KADRI YA FADHILA NA NEEMA ZAKE

Nimerusha kama nilivyoipokea. Sifahamu nani kaiandika, lakini imetulia, nikaona na mwingine aisome. Kuna mawaidha mazuri hapo, unaweza kupata linalokuhusu.

itakua Vyema sana ukifanyahivi..πŸ‘‡
Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii πŸ‘‰wa.me/+255762305991

imewasilishwa na @SadickTusia MtaalamuπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

~Kwa contents za kingereza tembelea @ChandoFact πŸ‘‡
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials

β€’ β€’ β€’

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
γ€€

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Apr 12
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKOπŸ™„

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...πŸ‘‡

1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...πŸ‘‡ ImageImage
2️⃣Kuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3️⃣Unapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets
Apr 3
Uzi KIFO HAKILETI BADILIKO LOLOTE LA TABIA, BALI HULETA UKOMO WA MAISHA Tu.πŸ˜”

Baada ya kifo ni hukumu...

Hakuna kujitetea baada kufa,
Hakuna tena uwezo wa kutubu dhambi baada kufa,

Hakuna mtu atakayekuhubili kaburini baada ya kufa,

Kama ukifa unadhambi huweziπŸ‘‡
kuzitubu tena,
Kama ukikataa kuyashika mapenzi ya Mungu ungali hai, huwezi kuyatenda ukiwa umekufa,

Maombi ya muweke mahari pema peponi ni ya kinafiki tu, maana hayamletei badiliko la tabia hata chembe,

Yaani mtu amekufa hampendi Mungu, alafu aje afufuke anampenda Mungu? Ni..πŸ‘‡
kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.

Kama utakuwa mtakatifu mbinguni ni lazima kwanza uwe mtakatifu duniani.

Sifa bainishi za tabia unazozipenda na kuzifuga maishani hazitaweza kubadilishwa kwa kifo au kwa ufufuo.

Utafufuka kutoka kaburini ukiwa na tabia ile ile...πŸ‘‡
Read 9 tweets
Apr 2
Uzi : SEVEN( 7 ) HEALTH BENEFITS AMBAZO HUZIFAHAMU OF SLEEPING WITHOUT LIGHT, LET's GO...πŸ€πŸ‘‡

1) The body is able to produce a hormone (Melatonin) which fights diseases in the body while asleep at night in the dark only.

Endelea utakujanishukuru badae...πŸ‘‡
2) While asleep in the dark, the brain cells are able to rejuvenate back to their original state ( cells which were damaged due to excessive sunlight and electricity) and function properly.
3) A study shows that Intelligent people all over the world do not sleep at night with lights on. Take note.
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(