"I showed the physical features and beauty of my country from Serengeti @SerengetiParkTz to Kilimanjaro, then from Maasai land to the beautiful highlands of Zanzibar" - President of Tanzania @SuluhuSamia
"For those who don't know Tanzania, Is a country in East Africa strategically located to be a gateway to Africa, from the Indian ocean" - President of Tanzania- Pres of Tanzania @SuluhuSamia
"People of Tanzania have a natural warmth, they have great deal of hospitality and in general they are friendly ,much more friendly. So you will not regret to visit this destination"- Pres of Tanzania @SuluhuSamia
Ndugu Rais Samia Suluhu Hassan, watu wengi walifarijika sana na hatua ya kuapishwa kwako kuwa kiongozi wa nchi yetu. Wengi walifurahia wakitambua isingekuwa rahisi kwenye mchakato uanohusu uchanguzi wa wazi na wa haki kwa wewe kupata
nafasi hata kwa turufu ya uanamke wako wala uzanzibari wako. Wote tunafahamu kuwa chama chako hakina uwezo kwa sasa kuteuwa mwanamke kushika madaraka makuu ya nchi wala chama. Bila shaka wewe ni mwanamke ambaye kwa kipindi kirefu waliweza kukuvumilia wakitambua hauna madhara maku
bwa na ni mshirika wao wa kuaminika. Ungekuwa kwa vyovyote vile ni tishio wasingekuacha udumu kwenye kamati kuu kwa kipindi cha miaka karibu ishirini.
Wewe umefanikiwa kuwa mshirika wa kuaminika wa mabaradhuli wa Chama cha Mapinduzi waliozowea kulawiti demokrasia yetu kama wali
CCM na MATAGA nataka msome ili muache ujinga wa kumtetea Samia
👨🏻💻👨🏼🔧🧵🧵
👉The finance Act 2021 in mambo chungu nzima ambayo yaliasisiwa kwenye mawizara na kwenda kwenye baraza la mawaziri na yakajadiliwa na kupitishwa kwamba sasa yaende bungeni
👉Moja wapo ni tozo la miamla
Sheria ya huduma za posta na mawasiliano(CAP 306) wakaamua section 164A
👉kuanzisha tozo kwenye muda wa maongezi
👉sheria ikamuagiza wapiti Ndungulile kwa majadiliano na Mwigulu watengeneze kanuni kuainisha jinsi tozo hizo zitakavyokusanywa toka kwa watanzania
SHERIA HIYO
The finance Act 2021 - imeweka section ya ajabu sana kwenye ili retention fee iliyolalamikiwa sana kwenye mikopo ya wanafunzi..
👉Sheria inatoa upenyo wa kuja kuitumia tena siku za usoni ndiyo maana wanasema isikusanywe pasipo kibali cha waziri husika.
👉Huku kwa wananchi wanada
Tabia ya kumuona Samia anashauriwa vibaya au anapotoshwa ni ya kijinga na unaonyesha jinsi ambavyo yeye binafsi hana uwezi wa kufanya mambo kama RAIS..
Muswada mpaka uwe sheria una hatua nyingi sana;
👉Unaanza huko wizarani na wataalamu na wanasheria wanashauriana na kupeleka
kwenye baraza la mawaziri ambako Rais ni mwenyekiti wa hicho kikao .. Wanajadili kwa kina na kuzingatia ushauri wa wataalamu na hapo ndipo wanaangalia sera,ilani na msimamo wa serikali kwenye jambo husika
👉Wakitoka hapo wanapeleka bungeni kwenye kujadiliwa nako linapita mpaka
kwenye kamati za bunge zinazohusika na suala hilo..
👉wakimaliza linakwenda kwenye floor linakuwa debated na kama kuna marekebisha yanafanywa kama kuna maswali waziri anaulizwa na anajibu. Kabla muswada haujapitishwa waziri anakuja kufanya mahumuisho- ndiyo ile mnaonaga wanapiga
Madikteta kote duniani huwa wanashindana kuvunja rekodi.
👉Meko- aliuwa, alifunga, alitesa,alipora mali za watu na amekufa akiacha alama hiyo kwenye uso wa nchi na mioyo ya wateswaji
👉Huyu- kaweka rekodi ya kukamata na kuweka jela watu wengi zaidi kwa siku moja kwenye tukio moja
Haijawahi kutokea hivi toka nchi hii ipate uhuru( kama lipo tukio nisagihishwe)
👉yaani mahabuau Mwanza zimejaa wamepeleka watu Misungwi huko na nadhani wengine watawapeleka Ukara
👉RPC kawa mweledi sana kwa kusema ametumwa na Rais kufanya haya yote anayofanya na @tanpol kutokanu
kauli ya RPC mpaka sasa ni wazi wanatekeleza maagizo mwanana ya Rais..
Nina imani kabisa tunawapa watu uongozi na wanaapa kwa kushika katiba huku hawajui nini kimeandika kwenye katiba na zili ni haki za wananchi
Ndiyo maana wanaona wapinzani ni adui na hawafai kuwa raia wa nchi
Nchi ya ajabu sana.Yaani CCM hawa ndiyo wametengeneza matatizo yoooote ya vijana mpaka leo.Halafu vijana hao hao wanadhani CCM hao hao na mwenyekiti wao watatatua shida zao!
Ngoja niwauliza swali?Huyu si aliimba mambo ya Tanzania ya viwanda? Mwambie akuonyeshe viwanda 10 vilipo
👉serikali inayouwa sekta binafsi na kufukuza investors haiwezi kuja kufengeneza ajira za vijana
👉serikali inayoongoza kwa uongo uongo kwenye ilani yao haiwezi kuwa solution ya matatizo ya vijana!
👉Haya leo mkipewa baraza la vijana - what is your ajenda? Haya mambo ni sawa na
kelele za wabunge wa viti maalum. Walipiga kelele sana haya wakapewa! Tell me wanafanya nini cha maana kule bungeni? Toka wameteuliwa viti maalumu sera gani moja tu ambayo walisimama na kuipigania haswa! Juzi hapa kwenye mambo ya mimba za wanafunzi na mkopo wa WB wakiongea nini?