๐Ÿคš Naomba Tuongee kuhusu Piston za gari yako.

Piston ni mfumo muhimu sana kwenye engine ya gari lako, na kama vilivyo vifaa vingine Piston pia inahitaji maintenance.

Leo hii nitakupa dalili 3 za piston inayohitaji kubadilishwa.

Are you ready?

โ€” Thread โ€”
Piston ni sehemu ama kifaa mojawapo katika engine ya gari ,ambacho hutumika kudhibiti hewa na mafuta ndani ya cylinder.

Pia kutoa nguvu itokanayo na kuungua kwa mafuta kupitia connect rod hadi kwenye crankshaft. Image
Piston hufanya kazi kwa ushirikiano katika engine na kusababisha kuizungusha crankshaft.

Crankshaft inapozunguka hupeleka nguvu katika gear box hadi kwenye differential kupitia propeler na hatimaye tairi kutembea. Image
Piston inapopanda juu na kushuka chini
Hatua hii husababisha mapigo manne ndani ya chemba za cylinder.

1. Pigo la kwanza.

Piston inashuka chini. Kitendo hiki huruhusu valve kuingiza hewa safi au hewa iliyochanganywa na fuel. (inategemeana na injini kati ya petrol au diesel) Image
2.Pigo la pili.

Piston inapanda juu
Kitendo hicho kinasababisha ile hewa safi iliyo ingia kwenye chemba kukandamizwa kwa mgandamizo mkubwa sana, na hewa hiyo kuwa na joto kubwa sana. Image
Kisha plug inatoa cheche au nozeli inanyunyiza mafuta (plug au nozel, hapa inategemeana na engine ya petrol au diesel.
3 Pigo la tatu.

Baada ya ile hewa yenye joto kali kukutana na cheche kutoka kwenye plug au mafuta kutoka katika nozel husababisha mlipuko mkubwa uliosababishwa na kuchomwa au kuunguzwa kwa hewa hiyo. Image
Mlipuko huo husababisha piston kusukumwa kwa nguvu kubwa kushuka chini na chemba za cylinder kubaki wazi ikiwa na hewa chafu iliyochomwa.
4 Pigo la nne

Baada ya piston kushushwa chini, hupanda juu na valve hufunguka ili kutoa ile hewa chafu ndani ya chemba na kuitoa nje kupitia bomba la kutolea moshi (exhaust). Image
Baada ya hapo piston hurudia mzunguko wake tena kuanzia pigo la kwanza hadi la nne.

Piston zinaposhirikiana katika kukamilisha mapigo haya ndio husababisha kuizungusha crank shaft na kusababisha mwendo wa gari.
Utaona dalili zifuatazo iwapo pistons zimeharibika:

1. Gari yako itaanza kutoa moshi mwingi wenye rangi nyeupe au kijivu.

2. Gari lako kupoteza nguvu hasa ukiwa kwenye mwendo mkubwa, ghafla tu unaona mwendo unapungua.

3. Matumizi ya mafuta hapa yataongezeka kwelikweli. ImageImage
Jambo la kuzingatia zaidi hapa ni kwamba unapoona dalili hizi unapaswa upeleke gari yako kwa fundi ili wazibadili hizo pistons.

Fundi mzuri ni yule atakayekusikiliza na kupima kwanza tatizo lilipo, as always I recomend that uende kwa Trusted mechanic. Image
Asante kwa kusoma thread hii. ๐Ÿ˜‡

Kama umependa kuisoma thread hii...

1. Follow me @Mentormania123 for more contents about cars and how to maintain it.
2. Retweet the first tweet, so as to share this thread with your audience.

Drive safe and be safe
From ๐‘€๐‘’๐‘›๐‘ก๐‘œ๐‘Ÿ to You

โ€ข โ€ข โ€ข

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
ใ€€

Keep Current with แดแด‡ษดแด›แดส€ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

แดแด‡ษดแด›แดส€ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Mentormania123

Apr 21
๐Ÿšจ I present to you ๐Œ๐ข๐ญ๐ฌ๐ฎ๐›๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐‹๐š๐ง๐œ๐ž๐ซ ๐„๐ฏ๐จ๐ฅ๐ฎ๐ญ๐ข๐จ๐ง.

The Undisputed King of speed and rallies.

Ladies and Gentlemen, buckle up as we are going to Review All generations of Mitsubishi Evo.

Are you ready?

โ€” Thread โ€”
Mitsubishi Motors started producing Evo in 1992.

Evo became overnight success and this was one of the reason as to why a previous model which was Mitsubishi Galant VR-8 was discontinued.

Lets see how Evo became one of the most succesful model of Mitsubishi Motors...
Mitsubishi Evo had 10 generations before it sadly ceases its productions in 2015.

Evo generations were unique, to the extent of using Roman numbers instead of normal english numbers.

Therefore, the 1หขแต— Generation is known as I, while the last generation is termed X.
Read 33 tweets
Apr 14
๐ŸคšLet's talk about Shock Absorbers.

This is the most important part of your car's Suspension System.

Today I would like to give you a secret that will enable you to take good care of the shock absorbers and suspension system of your car.

Are you ready?

โ€” Thread โ€”
A shock absorber is a mechanical or hydraulic device designed to absorb and damp shock impulses.

This is achieved by converting the kinetic energy (movement) of the shock into thermal energy, which is then dissipated into the atmosphere through the mechanism of heat exchange.
The key role of the shock absorber is to ensure that the vehicleโ€™s tires remain in contact with the road surface at all times

Shock absorbers automatically adjust to road conditions because the faster the suspension moves, the more resistance they provide.
Read 14 tweets
Apr 13
๐Ÿšจ Ijue ๐’๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ค๐ข ๐‰๐ข๐ฆ๐ง๐ฒ

Mnamo mwaka 1960 Suzuki walikua wanafanya utafiti wa kutengeneza gari aina ya Kei Car [City Car].

๐Ÿ” Mpaka mwaka 2020 Suzuki walifanikiwa kuuza units 3,000,000 za Suzuki Jimny.

Ladies and Gentlemen, are you ready?

โ€” Thread โ€”
Uzalishaji wa gari hii ulianza mnamo mwaka 1970. Ambapo Suzuki waliinunua Hope Motor Company iliyokua karibu kufilisika.

๐Ÿ’กAs Warren Buffet says "Buying is a profound pleasure" Oh Yes, ununuzi huu uliipa Suzuki mafanikio makubwa Japan na Duniani.

Lets go...
Mpaka sasa Jimny ina vizazi (generations) 4 ambazo ni:

โ€ข 1st generation [LJ10-SJ20; 1970-1980]
โ€ข 2nd generation [SJ30/SJ40/JA/JB; 1981-1997]
โ€ข 3rd generation [JB23/JB33/JB43/JB53; 1998-2017]
โ€ข 4th generation [JB64W/JB74W; 2018- Present]

Sasa, let's see generations hizi...
Read 18 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(