The ChandO Profile picture
Apr 29 β€’ 25 tweets β€’ 8 min read
Uzi : JUMBE MAKINI ISHIRINI NA MOJA( 21 ) ZA MKUMBUSHE MWANAO NINAZO ZIKUBALI, PIA MWISHO Unipe YAKO UNAYOIKUBALI TWENDE...😷

1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...🦍

Re - Tweet na endelea ili upate kuniambia yako...πŸ‘‡
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...🦍
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...🦍
4. ~Mkumbushe Mwanao kuwa a-Date na Mtu ambae atampush kutimiza malengo yake Kwa Umri wake sio wa kushangilia kupostiwa Mitandaoni au kuwekwa Profile Picture whatsapp, Facebook na insta...🦍
5. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tunakosa Usingizi ili wanaotutegemea wapate kulala Vizuri...🦍
6. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Akiwa baba hata akiumwa hatotamani watoto wajue maana tumaini lao pekee ni yeye...🦍
7. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Kilicho bora kwake hakiwezi kuwa bora kwa watu wengine...🦍
8. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Alipoamka leo kuna Mwenzake amevuta Pumzi ya Mwisho, inabidi amshukuru Mungu kwa hii zawadi ya Siku Nyingine...🦍
9. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Njia yake ikishanyooka Asithubutu kuwanyooshea vidole ambao Njia zao bado zina KONA...🦍
10. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Mtu atakae mpatia Bega wakati analia basi Asimsahau wakati amenyamaza...🦍
11. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Wengine hatuna Mtu wa kumtegemea au Ndugu wa kumlilia Shida, Ukimtoa MUNGU Tunaamini sana kwenye Nguvu, Juhudi na Maarifa Yetu. ZAIDI Aishi Vizuri na Watu ila asijipe umuhimu kwenye maisha ya WATU...🦍
12. ~Mkumbushe Mwanao kuwa anayemuona anacho kuna siku alikua hana kama yeye Msihi aendelee kutafuta...🦍
13. ~Mkumbushe Mwanao kuwa akitanguliza kutafuta Umaarufu kabla ya Pesa basi ku-FAKE kutamtesa...🦍
14. ~Mkumbushe Mwanao kuwa tunaanzaga na tulicho Nacho ili kutafuta ambacho Hatuna...🦍
15. ~Mkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo...🦍
16. ~Mkumbushe mwanao kuwa kuna maamuzi ili yamletee Faida lazima yamuumize kwanza...🦍
17. ~Mkumbushe mwanao kuwa asivuke Bahari Kusalimia Watu Ambao Hawawezi Kuvuka Hata Mfereji ili kumjulia Hali Yake...🦍
18. ~Mkumbushe mwanao kuwa bila Mungu sisi si chochote...🦍
19. ~Mkumbushe mwanao kuwa ajitahidi kuwa na shukrani...🦍
20. ~Mkumbushe mwanao kuwa hatuwezi kuwa sawa maana kuna tunaokula kilicho iva na wengine wanakula chenye Radha...🦍
21. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Asiache kuni-Tag mimi kwenye post za hustling zake kama Retweet ni moja ya njia ya Kum-support...πŸ™
UWE NA WAKATI MWEMA BARAKA ZA MUNGU ZIKAWE NASI SOTE KWA KADRI YA FADHILA NA NEEMA ZAKE

Nimeandika huu Uzi ili utujenge vyema kifikra na mitazamo chanya pia kuweza kutiana Moyo bila kukatishana Tamaa katika safari ya kupambania Maisha...πŸ™

Endelea...πŸ‘‡
Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii πŸ‘‰wa.me/+255762305991

imewasilishwa na @SadickTusia MtaalamuπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

~Kwa contents za kingereza tembelea @ChandoFact πŸ‘‡
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials
Sio Mbaya ukiacha Retweet yako na wengine wanufaike kupitia wewe, Mungu atakuzidishia kwa Moyo wako Rehema na Baraka Nyingi...πŸ€πŸ™

β€’ β€’ β€’

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
γ€€

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Apr 12
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKOπŸ™„

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...πŸ‘‡

1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...πŸ‘‡
2️⃣Kuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3️⃣Unapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets
Apr 10
Uzi : JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE NYAKATI NGUMUπŸ˜”

" FIKIRIA KUSHINDA πŸ’ͺ "

Miaka kazaa iliyopita kuna kijana maarufu alikuwa akifuga kundi kubwa la Farasi karibu na ziwa,

Kundi lake la Farasi huwa kila baada ya kupata chakula wanatabia wa kwenda kunywa maji kwenye hilo...πŸ‘‡ ImageImage
ziwa lililopo karibu na makazi yao,

Siku moja baada ya kundi kubwa la Farasi kupata chakula na kwenda kunywa maji ziwani,

Miongoni mwa Farasi baada ya kumaliza kunywa maji alipo jaribu kutoka akashindwa kabisa kwasababu alinasa kwenye tope,

Farasi wengine waiobaki walipo..πŸ‘‡
rejea nyumbani mwenyewe kundi la Farasi akagundua Farasi mmoja hayupo,

Kulipo kucha asubuhi akaanza kumtafuta kwanzia sehemu wanapo pata chakula mpaka akafika ziwani sehemu wanapo kunywa maji baada ya kupata chakula,

Huko akamkuta huyo Farasi yuko kwenye tope akiwa...πŸ‘‡
Read 13 tweets
Apr 3
Uzi KIFO HAKILETI BADILIKO LOLOTE LA TABIA, BALI HULETA UKOMO WA MAISHA Tu.πŸ˜”

Baada ya kifo ni hukumu...

Hakuna kujitetea baada kufa,
Hakuna tena uwezo wa kutubu dhambi baada kufa,

Hakuna mtu atakayekuhubili kaburini baada ya kufa,

Kama ukifa unadhambi huweziπŸ‘‡
kuzitubu tena,
Kama ukikataa kuyashika mapenzi ya Mungu ungali hai, huwezi kuyatenda ukiwa umekufa,

Maombi ya muweke mahari pema peponi ni ya kinafiki tu, maana hayamletei badiliko la tabia hata chembe,

Yaani mtu amekufa hampendi Mungu, alafu aje afufuke anampenda Mungu? Ni..πŸ‘‡
kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.

Kama utakuwa mtakatifu mbinguni ni lazima kwanza uwe mtakatifu duniani.

Sifa bainishi za tabia unazozipenda na kuzifuga maishani hazitaweza kubadilishwa kwa kifo au kwa ufufuo.

Utafufuka kutoka kaburini ukiwa na tabia ile ile...πŸ‘‡
Read 9 tweets
Apr 2
Uzi : SEVEN( 7 ) HEALTH BENEFITS AMBAZO HUZIFAHAMU OF SLEEPING WITHOUT LIGHT, LET's GO...πŸ€πŸ‘‡

1) The body is able to produce a hormone (Melatonin) which fights diseases in the body while asleep at night in the dark only.

Endelea utakujanishukuru badae...πŸ‘‡
2) While asleep in the dark, the brain cells are able to rejuvenate back to their original state ( cells which were damaged due to excessive sunlight and electricity) and function properly.
3) A study shows that Intelligent people all over the world do not sleep at night with lights on. Take note.
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(