Paul. A. Bomani Profile picture
Jun 12 β€’ 17 tweets β€’ 4 min read
Affiliate Marketing ni Nini?...
na Inafanyaje Kazi?....

Madini Time πŸ‘‡πŸΏ
Miongoni Mwa Skills Ambazo Zinaongelewa Sana Siku Hizi ni Pamoja na Affiliate Marketing.

Je Affiliate Marketing ni Nini?

Affiliate Marketing ni Ujuzi (Skills)
Unao Kuwezesha Kuandaa Mfumo au Jukwaa La Kutangazia na Kushawishi Wateja Kununua Huduma au Bidhaa.

Ambapo Kila πŸ‘‡πŸΏ
Bidhaa /Huduma Itakayonunuliwa
Wewe Affiliate Marketer Unapata Commission.

Inaonekana Kama Kazi Rahisi ya Udalali Flani Hivi.
(Minimum Effort Maximum Revenue)

Kiuhalisia Affiliate Marketing Iko Tofauti Kabisa na Dhana Hiyo Iliyojengeka ya Kupiga Mpunga wa Fasta Fasta πŸ‘‡πŸΏ
Kuna Affiliate Marketers Waliopiga Pesa Nyingi Sana.
Kuna Wa Kipato Cha Kati.
Na Kama Ilivyo Kwenye Industry Zingine Kuna Wasindikizaji.

Kabla ya Kwenda Mbali Ngoja Tuchambue Kwa Kina Michongo na Fursa za Affiliate Marketers.

1: Professional Affiliate Marketer (Expert ) πŸ‘‡πŸΏ
Professional Affiliate Marketer
Wote ni Wataalamu Kwenye Nyanja Husika.
Mf- Doctor's, Gym Trainers, Digital Markers, Content Creator's, Copywriters, Accountants NK-

Wataalamu Hawa Hushare Ujuzi Wao Ili Kusaidia Watu Kuondokana
na Changamoto πŸ‘‡πŸΏ
Zinazo Wakabili au Hata Kuwaongezea Kipato Cha Ziada.
Kwa Sababu Watu ni Lazima Wachangie Gharama za Uendeshaji wa Ofisi Zinazotumika Kuandaa Huduma/Bidhaa.
Mf- Ofisi, Internet, Ebooks, Books
NK-
Hapo Ndipo Affiliate Marketing Hutumika Kama Nyenzo Muhimu
Ili Kugeuza Ujuzi KuwaπŸ‘‡πŸΏ
Pesa.
Mfano Hai.
Mtaalaamu wa Mazoezi au Mshauri wa Afya Wanaweza Kuuza Dawa za Kupunguza Uzito na Vifaa vya Michezo Ambavyo Wao Sio Watengenezaji.
Na Wakapata Commission.

Au Copywriter Akawa Affiliate Marketer wa Brand za Digital Marketing, Graphics Designing nk-

Tuendelee πŸ‘‡πŸΏ
2: Affiliate Marketers
Hili Ndio Kundi Kubwa Zaidi.

Hili ni Kundi Lililochagua Niche na Kujipa Muda Wa Kujifua Ili Kuongeza Ujuzi na Uwezo wa Kuuza Bidhaa/Huduma Nje na Ndani ya Mtandao.

Hapa Naomba Nieleweke.
Kundi Hili Hujiongezea Thamani Kwa Kuwa na Skills Zaidi ya 5 na πŸ‘‡πŸΏ
Kuendelea.
Unakuta Affiliate Marketer
Lakini Kapiga
Copywriting Skills, (haiepukiki), Closing Skills,
Digital Marketing,
Graphics Designing,
Content Creating, NK-

USHAURI:

(a)- Hakikisha Unachagua Niche
Kwa Maana ya Nyanja Maalumu Unayotaka Ku Deal Nayo.
Kisha Jipe Muda πŸ‘‡πŸΏ
Wa Kujifua Vya Kutosha.
Jiongezee Thamani kwa Skills.
Kuuza ni Kitu Cha Mwisho Kabisa.

(b)- Hakikisha Unalielewa Vizuri Soko Lako. (Wateja)
Ni Lazima Uelewe Wateja Wako ni Kina Nani?
Wana Changamoto Gani?
Viwango vya Elimu Zao
Vipato Vyao
Umri Wao
Na Ujiulize Kama πŸ‘‡πŸΏ
Bidhaa/Huduma Yako Itawaletea Matokeo Wanayoyatarajia Kwa 100%?

(c) Jiulize Unatumia Njia Gani Kuwafikia?
Utatumia Mfumo Gani?
Mf- Website, Blogs, Social Income
Chanel's.
Zinafanyaje Kazi?
Njia Gani Zitatumika Kufanyia Malipo?
Njia Gani Zitatumika Kufikisha Bidhaa/Huduma Kwa πŸ‘‡πŸΏ
Wateja Wako.
Ni Salama na Haraka?

Hakikisha Una Majibu ya Maswali Yote Kabla Hujafikiria Kuanza Affiliate Marketing.

(d)- Andaa Mawasiliano Imara Ambayo Hayatakuwa Yanabadilika Badilika.
Namba za Simu, Email , Social Media Accounts NK-
Epuka Sana Kubadilisha Mawasiliano Ya πŸ‘‡πŸΏ
Brand au Cooperation Yako Bila Sababu za Msingi.
Wateja Hawatavumilia Kuhudumiwa na Mtu au Brand Ambayo Mawasiliano Yake Sio ya Uhakika.

(e)- One of The Biggest Challenge Ever.
Uaminifu.
Kwenye Biashara Hasa za Mtandaoni. Uaminifu ni Jinamizi Linalozitafuna Biashara Nyingi πŸ‘‡πŸΏ
Sana.
Usione Mteja Wako ni Fala Kutumia Pesa Wewe Uko Arusha na Yeye Yuko Morogoro.
Akatumia Huo Umbali Kama Mwanya wa Kutapeli Wateja.

Trust Me za Mwizi ni 40 Iko Siku Utawekewa Mtego na Utanaswa.

Mwisho Kabisa Naomba Nikupe Hii
Unapoanza Tu Kuwa Affiliate Marketer Wewe ni πŸ‘‡πŸΏ
Tayari ni Brand na Sio Joseph Matayo Uliyemzoea Tena.

Kuna Rules na Miiko ya Brands
Madini ya Siku Nyingine Hayo.

Hii ni Hatua ya Kwanza Kabla Hujaweza Kuwa International
Affiliate Marketer.
Ambapo Utaweza Kuuza Bidhaa na Huduma Kutoka Makampuni Makubwa Popote Duniani.

Next πŸ‘‡πŸΏ
Time Tutaangalia-
- Jinsi ya Kutumia Affiliate Marketing Kama Brand.
- Jinsi Affiliate Marketer Unaweza Kushirikisha Bloggers, Websites na Influencers.
- Uhakika wa Kifanikiwa Kwa 100% na Affiliate Marketing.

Have a Nice Day. πŸ™
Ni Mimi @Paulbomani1
Founder @LtdDealers

β€’ β€’ β€’

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
γ€€

Keep Current with Paul. A. Bomani

Paul. A. Bomani Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Paulbomani1

Jun 6
πŸ“’ High Income Skills ni Tools za Kukuunganisha Wewe, Kampuni Yako na Wateja....

Kabla Hujauza Chochote, Jiuze Kwanza Wewe...
HOW?
Kaa Kitaalamu πŸ‘‡πŸΏ
Kila Siku Nakutana na Maswali
Haya.
- Nianzishe Biashara Gani?
- Natumiaje Social Media Kuongeza
Wateja?
- Nina Apply Vipi High Income Skills Kwenye Biashara Yangu?
-Nyie Mnaongeleaga Online Business Tu, Je Sisi Tunaouza Bidhaa Nje ya Mtandao?

Ni Maswali Mazuri Sana.
Majibu πŸ‘‡πŸΏ
Wataamu Wengi Sana Wanaongea Kila Siku Kuhusu Skills na Namna Zinavyofanya Kazi.

Leo Nitatumia Lugha Nyepesi Ili Niweze Kueleweka Vizuri.

Unaposkia Jiuze Kwanza Wewe Kabla ya Bidhaa/Huduma Yako.
Huwa Inamaanisha Kwamba.

Wekeza Muda na Pesa Zako Kwenye Ujuzi Kwanza
Kabla yaπŸ‘‡πŸΏ
Read 11 tweets
Jun 5
Jinsi Affiliate Marketing ilivyosababisha, Ben Caballero
Akavunja Rekodi 3 za Mauzo ya Nyumba Duniani....
Guinness World Records.

Madini TimeπŸ‘‡πŸΏ
Kwanza Kabisa Ben Caballero ni Nani?

Huyu Mwamba ni
Founder na C. E. O. wa Kampuni
Kubwa Sana ya Real Estate
Inayoitwa- HomesUSA. com

Jamaa Alianza Kujihusisha na Projects za Mijengo na Uuzaji Miaka
ya 1980s.

Record ya Kwanza Aliiweka Mwaka
2016, Pale πŸ‘‡πŸΏ
Alipofanikiwa Kuuza
Zaidi ya Nyumba 3,556.
Na Record ya Pili Aliivunja Mwaka
2019 Alipouza Nyumba 5,801.

Na Record Zote Hizi Alizivunja Huku Kampuni Yake Ikipiga Mzigo Ndani ya Jimbo la Dallas Texas Pekee.
Hapo Ndipo Nikaanza Kumfatilia
Huyu Nguli wa Mauzo Ili Nichote
MadiniπŸ‘‡πŸΏ
Read 7 tweets
Nov 12, 2021
Jinsi Swali La Binti Yangu Lilivyobadili Mtazamo Wa Maisha Yangu.

Nakumbuka Ilikuwa Ni Jmosi Moja Yenye Bariadi Kali Sana Katika Maduka Yanayopatikana Ndani Ya Viunga Vya ShopRite Jijini Arusha. Ilikuwa Majira Ya Saa 5 Asubuhi
Mzee Mzima Nimempeleka Binti Yangu Vaileth Shopping
Ya Nguvu. Ukizingatia Nilikuwa Na Mshahara Na Mwezi Huo Kulikuwa Na Bonus Ya 10,000 Without Accident. Waliofanya Kazi Mining Wananielewa.
Sasa Baada Ya Kumaliza Pilika Zote Za Shopping Na Mifuko Yetu Kibao
Nikaona Sio Mbaya Tukipita Ken Garden Tukapige Msosi Kisha Turejee Home
Hapa Sasa Ndio Balaa Lilipoanzia.
Tukaagiza Chakula Chetu Vizuri,
Nikamuomba Mhudumu Afunge Kuku Ya Mama Watoto Wangu.
Basi Tukiwa Tumemaliza Kula Tunasubiria Jamaa Atufungie Msosi Wetu Turudi Home. Vai Alinishukuru
Kwa Zawadi Nilizo Mnunulia, Na Ndipo Akaniambia. Baba Leo TumeπŸ‘‡
Read 8 tweets
Nov 20, 2020
Kuna elimu,maarifa na kuna ujuzi. Hivi vyote ni nyenzo muhimu sn Ktk kuzifikia ndoto zako. Je umewahi kujiuliza kuhusu nguvu ya connections ? Shuka na uzi πŸ‘‡
Najua unajiuliza connection inaweza kuwa na nguvu kiasi gani Ktk kubadilisha maisha yako. Umewahi kuskia wakulungwa km @chapo255 wakimzungumzia mwamba waliemaliza nae A level . Utaskia unamkumbuka @NyandaAmosi siku hizi yuko NBC ni branch manager tawi la rumumba.
Hivyo kupitia wapwa unaofahamiana nao au uliosoma nao,wanaweza kukurahisishia kupata kazi au hata mchongo wa pesa nzuri na maisha yakaendelea. Lengo langu sio kupuuza elimu ,maarifa na ujuzi,la hasha.
Nataka Ufahamu nguvu iliyojificha nyuma ya connections. K
Read 8 tweets
Oct 15, 2020
Je unafahamu jinsi ya kujinasua na madeni sugu?. Watu wengi wamejikuta wako kwenye lindi la madeni ya kawaida au yaliyopindukia. Fahamu njia kuu za kujinasua,shuka nayoπŸ‘‡
Kwanza kabisa ni kufanya uchambuzi wa madeni yako. Hapa namaanisha uandike idadi ya wadeni wako na viwango wanavyokudai kila mmoja. Baada ya uchambuzi,panga mtiririko wako kwa namba.
Deni kubwa lipe namba moja,mbili,tatu nk.
Unaweza kuanza kulipa madeni madogo kwanza huku unapanda kuelekea makubwa,au ukaanza na makubwa ukishuku kuja chini. Utakuwa unatiki kila deni unalomaliza kulilipa mpaka utakapokuwa umemaliza madeni yote .NBπŸ‘‡
Read 7 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(