#Tanzania⚡️Katika hatua za kuboresha Mfumo wa Haki Jinai nchini Mhe. @SuluhuSamia amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi (@tanpol) nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu mpya wa Jeshi la polisi nchini (IGP).
IGP Wambura anachukua nafasi ya IGP- Sirro (mstaafu) ambaye ameteteuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe.
Moja ya jukumu kubwa la IGP Wambura no kuigeuza taswira ya @tanpol na kuhakikisha Jeshi la Polisi nchini linabaki kuwa kiungo muhimu cha kulinda Haki, Ulinzi na usalama wa raia.
IGP Camilius Wambura kitaaluma na kiutendaji ni mpelelezi aliyebobea, pia ana weledi katika nyanja ya upelelezi, ni mara chache sana kusikikia malalamiko kwenye kazi ya upepelezi ya aliyekuwa Kamishna Wambura (IGP).
Tunategemea IGP -Wambura ataendelea kusimamia Haki na Weledi.
Kuunganisha utendaji kazi wa vyombo mbalimbali vya Haki Jinai nchini ndio jukumu mojawapo la DCI, ambapo taswira ya upepelezi kukamilika kwa wakati, kupotea kwa kesi za kubambikiana, na kupungua kwa kesi za mitandao kazi ambayo IGP Wambura akiwa DCI aliifanya kwa weledi mkubwa.
Uteuzi wa IGP Wambura umewapa imani Watanzania wengi kuwa taswira ya Jeshi la Polisi inaenda kubadilika na kuwa chombo chenye kusimamia haki za wananchi na Usalama wa Raia na mali zao ipasavyo.
And Jesus said to him, “Do you see these great buildings? There will not be left here one stone upon another that will not be thrown down.”
: Matthew 24:2 ESV
But he answered them, “You see all these, do you not? Truly, I say to you, there will not be left here one stone upon another that will not be thrown down.”
: Matthew 24:1-51 ESV
Jesus left the temple and was going away, when his disciples came to point out to him the buildings of the temple. But he answered them, “You see all these, do you not? Truly, I say to you, there will not be left here one stone upon another that will not be thrown down.”
Hata hivyo, ili kuweza kuwa pamoja katika maana ya ardhi, ni vizuri kutumia tafsiri inayotumika katika miongozo ya ardhi. Miongozo hiyo ni pamoja na Katiba, sera, sheria za ardhi, kanuni na taratibu kadha wa kadha.
Angalizo:⚡️
Kimsingi, petroli na aina zote za madini zinazopatikana chini ardhi sio sehemu ya ardhi. Hata hivyo kwa makusudi ya sheria na taratibu za nchi petrol na aina zote za madini zimeondolewa katika tafsiri ya ardhi ili kuwezesha matumizi na umiliki wa pamoja kitaifa.
Kipindi cha miaka ya 1961- 1990
- Mamlaka ya Gavana juu ya ardhi ilihamishiwa kwa Rais.
- Mwaka 1967 Azimio la Arusha lilitangazwa kuweka misingi ya uzalishaji mali mikononi mwa umma.
- Sheria zilizotungwa katika kipindi hiki ni pamoja na Sheria ya Utwaaji Na. 47 ya 1967 ambayo iliwezesha utwaaji wa ardhi kwa matumizi mbalimbali kama vile uanzishwaji wa Mashamba ya NAFCO na NARCO na Sheria ya Vijiji na Vijiji vya Ujamaa Na. 21 ya 1975
#FactChecking: in 2017 Tanzania ended a 25-year-old hunting tourism deal with a United Arab Emirates company called ‘Otterlo Business Corporation’.
The deal, was set up in 1992 (President Mwinyi), was reported to be in exchange for millions of dollars to Tanzania’s armed forces.
However, despite the announcement in November 2017, OBC did not leave Tanzania. Just a few days later, Prime Minister Kassim Majaliwa said that OBC would stay.
Under the deal, Otterlo Business Corporation (OBC) gained exclusive hunting rights over an area of 400,000 hectares to the east of Serengeti National Park in Loliondo and Sale divisions of Ngorongoro District.