The ChandO Profile picture
Jul 22 โ€ข 9 tweets โ€ข 3 min read
Uzi : AINA saba( 7 ) ZA WANAWAKE WENYE UPUNGUFU WA AKILI.๐Ÿฆ

1๏ธโƒฃ. MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.๐Ÿ˜ถ

Re-tweet kwanza na endelea tuelimike wote ndugu yangu...๐Ÿ‘‡
2๏ธโƒฃ. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.๐Ÿ˜ถ
3๏ธโƒฃ. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.๐Ÿ˜ถ
4๏ธโƒฃ. MWANAMKE Anaeweka nywele bandia, kucha bandia, kope bandia akiambiwa amependeza anasema Asante utukufu kwa MUNGU, Huyu nae ana upungufu wa AKILI.๐Ÿ˜ถ
5๏ธโƒฃ. MWANAMKE ambae hamiliki hata kitanda nawala hana hata Biashara ya mtaji wa elfu 20. Lakini, anataka mwanaume mwenye nyumba au gari huyo nae kichwa chake hakina kitu kama mtungi wa gas usivyokua na kitu ndani yake.๐Ÿ˜ถ
6๏ธโƒฃ. MWANAMKE anayeutumia mwili wake na kuufanya kuwa biashara kwa Wanaume kwa ajili ya kumuingizia kipato. Huyu nae dishi lake limeyumba.๐Ÿ˜ถ
6๏ธโƒฃ. MWANAMKE ambaye hajaolewa au aliyeachika asiyetuliza miguu yake nyumbani kwake au kwao, kila kukicha kichwa chake kimejaza taarifa za mesengenyo, umbea na kufatilia ndoa za wanawake wenzie. Ana upungufu wa AKILI.๐Ÿ˜ถ
7๏ธโƒฃ. MWANAMKE Anaesoma post hii kisha anatukana badala ya kubadilika wakati nimemuelimisha huyo nae Dishi lake ni NO SIGNAL, Halina hata channel za bure.๐Ÿ˜ถ

MWISHO....๐Ÿฆ

TUZIDI KUJIFUNZA Na TUSICHOKE KUJIFUNZA...๐Ÿ‘‡
Pia Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii ๐Ÿ‘‰wa.me/+255762305991

imewasilishwa na @SadickTusia Mtaalamu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

~Kwa contents za kingereza tembelea @ChandoFact ๐Ÿ‘‡
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials

โ€ข โ€ข โ€ข

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
ใ€€

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Apr 29
Uzi : JUMBE MAKINI ISHIRINI NA MOJA( 21 ) ZA MKUMBUSHE MWANAO NINAZO ZIKUBALI, PIA MWISHO Unipe YAKO UNAYOIKUBALI TWENDE...๐Ÿ˜ท

1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...๐Ÿฆ

Re - Tweet na endelea ili upate kuniambia yako...๐Ÿ‘‡
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...๐Ÿฆ
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...๐Ÿฆ
Read 25 tweets
Apr 12
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO๐Ÿ™„

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...๐Ÿ‘‡
2๏ธโƒฃKuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3๏ธโƒฃUnapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets
Apr 10
Uzi : JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE NYAKATI NGUMU๐Ÿ˜”

" FIKIRIA KUSHINDA ๐Ÿ’ช "

Miaka kazaa iliyopita kuna kijana maarufu alikuwa akifuga kundi kubwa la Farasi karibu na ziwa,

Kundi lake la Farasi huwa kila baada ya kupata chakula wanatabia wa kwenda kunywa maji kwenye hilo...๐Ÿ‘‡ ImageImage
ziwa lililopo karibu na makazi yao,

Siku moja baada ya kundi kubwa la Farasi kupata chakula na kwenda kunywa maji ziwani,

Miongoni mwa Farasi baada ya kumaliza kunywa maji alipo jaribu kutoka akashindwa kabisa kwasababu alinasa kwenye tope,

Farasi wengine waiobaki walipo..๐Ÿ‘‡
rejea nyumbani mwenyewe kundi la Farasi akagundua Farasi mmoja hayupo,

Kulipo kucha asubuhi akaanza kumtafuta kwanzia sehemu wanapo pata chakula mpaka akafika ziwani sehemu wanapo kunywa maji baada ya kupata chakula,

Huko akamkuta huyo Farasi yuko kwenye tope akiwa...๐Ÿ‘‡
Read 13 tweets
Apr 3
Uzi KIFO HAKILETI BADILIKO LOLOTE LA TABIA, BALI HULETA UKOMO WA MAISHA Tu.๐Ÿ˜”

Baada ya kifo ni hukumu...

Hakuna kujitetea baada kufa,
Hakuna tena uwezo wa kutubu dhambi baada kufa,

Hakuna mtu atakayekuhubili kaburini baada ya kufa,

Kama ukifa unadhambi huwezi๐Ÿ‘‡
kuzitubu tena,
Kama ukikataa kuyashika mapenzi ya Mungu ungali hai, huwezi kuyatenda ukiwa umekufa,

Maombi ya muweke mahari pema peponi ni ya kinafiki tu, maana hayamletei badiliko la tabia hata chembe,

Yaani mtu amekufa hampendi Mungu, alafu aje afufuke anampenda Mungu? Ni..๐Ÿ‘‡
kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.

Kama utakuwa mtakatifu mbinguni ni lazima kwanza uwe mtakatifu duniani.

Sifa bainishi za tabia unazozipenda na kuzifuga maishani hazitaweza kubadilishwa kwa kifo au kwa ufufuo.

Utafufuka kutoka kaburini ukiwa na tabia ile ile...๐Ÿ‘‡
Read 9 tweets
Apr 2
Uzi : SEVEN( 7 ) HEALTH BENEFITS AMBAZO HUZIFAHAMU OF SLEEPING WITHOUT LIGHT, LET's GO...๐Ÿค๐Ÿ‘‡

1) The body is able to produce a hormone (Melatonin) which fights diseases in the body while asleep at night in the dark only.

Endelea utakujanishukuru badae...๐Ÿ‘‡
2) While asleep in the dark, the brain cells are able to rejuvenate back to their original state ( cells which were damaged due to excessive sunlight and electricity) and function properly.
3) A study shows that Intelligent people all over the world do not sleep at night with lights on. Take note.
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(