The ChandO Profile picture
Aug 22 5 tweets 3 min read
Uzi : Je! WAJUA...🙄

Kitendo cha nyoka Kujivua Magamba kitaalam kinaitwa Sloughing.

Zipo sababu kuu mbili ambazo zinapelekea Kufanya hivyo.

Sababu ya kwanza ni kuruhusu Ukuaji wa mwili wake lazima atoe ngozi yake ya zamani ili kuruhusu ukuaji Wake.

Endelea...👇 ImageImage
Sababu ya pili,

hii hufanywa na nyoka majike tu wanapokua kwenye estrus yaani Wanapokua tayari kuzaliana,

ili jike ampe taarifa dume kuwa yupo tayari kwa kukutana basi hujivua magamba ili kuruhusu kuachiwa kwa harufu fulani ya wali.

Ndiyo maana kuna...👇
sehem ukipita hasa maeneo yenye vichaka unaweza Kuipata hii harufu ya wali,

hapo utamsikia mbongo akisema "majini Wanapika Wali sehemu hii tuondoke haraka sana 😄😄" kumbe nyoka nyupo kwenye harakati za kumvuitia baby wake 🥰

Basi tambua kuwa hiyo harufu...👇
hutolewa na Jike la nyoka kuashiria yupo tayari kukutana na nyoka dume.✍️

Pia Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii 👉wa.me/+255762305991

Tufollow @SadickTusia 🇹🇿

~Kwa contents za kingereza tembelea @ChandoFact 👇
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials
~kwa vifaa vya Ujenzi na bati @RawiInvestment

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Aug 24
Uzi : MAUMIVU KWENYE NDOA😔🙌

Soma kwa umakini kisa toa maoni yako kwenye uwanja wa comment...🤝

Twendelee sasa...

Siku moja Mke alimuaga mumewe anaenda
kumsalimia mama yake mgonjwa
kijijini.

Akaondoka Ijumaa na
kurudi Jumatatu na matunda kibao
na vyakula vingine...👇 ImageImage
toka kijijini akisema ni mama kanipa kwa ajili
yako mume wangu na watoto,

Mume akamuuliza kwa upole
mama anaendeleaje?

Mke akajibu amempeleka hospitali ila
anaendelea vema,

mke aliongezea kwamba mama yake amemsisitiza amtembelee tena baada ya siku chache akae naye wiki...👇
nina hofu na afya ya mama mke aliongea kwa uchungu huku machozi yanamtoka.

Mume akamjibu kwa huruma
atapona mpenzi usijali.

Mume akamwambia kwa hekima ingiza
vitu alivyoleta jikoni.

Mke ile anaingia jikoni anamkuta
mama yake mzazi akiandaa
chakula jikoni.

Kumbe mama...👇
Read 5 tweets
Jul 30
Uzi : SMS "3" KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA...☠

1.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Endelea Sasa fundi...😁👇 ImageImage
2.💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako, Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö, näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana,

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia...👇
Yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

3.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda.
Read 6 tweets
Jul 22
Uzi : AINA saba( 7 ) ZA WANAWAKE WENYE UPUNGUFU WA AKILI.🦍

1️⃣. MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.😶

Re-tweet kwanza na endelea tuelimike wote ndugu yangu...👇
2️⃣. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.😶
3️⃣. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.😶
Read 9 tweets
Apr 29
Uzi : JUMBE MAKINI ISHIRINI NA MOJA( 21 ) ZA MKUMBUSHE MWANAO NINAZO ZIKUBALI, PIA MWISHO Unipe YAKO UNAYOIKUBALI TWENDE...😷

1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...🦍

Re - Tweet na endelea ili upate kuniambia yako...👇
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...🦍
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...🦍
Read 25 tweets
Apr 12
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO🙄

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...👇

1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...👇
2️⃣Kuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3️⃣Unapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets
Apr 10
Uzi : JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE NYAKATI NGUMU😔

" FIKIRIA KUSHINDA 💪 "

Miaka kazaa iliyopita kuna kijana maarufu alikuwa akifuga kundi kubwa la Farasi karibu na ziwa,

Kundi lake la Farasi huwa kila baada ya kupata chakula wanatabia wa kwenda kunywa maji kwenye hilo...👇 ImageImage
ziwa lililopo karibu na makazi yao,

Siku moja baada ya kundi kubwa la Farasi kupata chakula na kwenda kunywa maji ziwani,

Miongoni mwa Farasi baada ya kumaliza kunywa maji alipo jaribu kutoka akashindwa kabisa kwasababu alinasa kwenye tope,

Farasi wengine waiobaki walipo..👇
rejea nyumbani mwenyewe kundi la Farasi akagundua Farasi mmoja hayupo,

Kulipo kucha asubuhi akaanza kumtafuta kwanzia sehemu wanapo pata chakula mpaka akafika ziwani sehemu wanapo kunywa maji baada ya kupata chakula,

Huko akamkuta huyo Farasi yuko kwenye tope akiwa...👇
Read 13 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(