The ChandO Profile picture
Oct 7 17 tweets 5 min read
Uzi : MAKOSA MADOGO MADOGO TUNAYOYAFANYA KWENYE UOMBAJI WA KAZI...👇

Please Re-Tweet iwasaidie wengi...🙏

_______________________
Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kuchakata maombi ya kazi ya taasisi moja binafsi hapa nchini. Maombi takribani 450 yalipokelewa ya wahitimu wa..👇
vyuo mbali mbali.

Ninashauri tufikirie namna tunavyoweza kujipanga na kuelimishana namna sahihi ya kufanya maombi ya ajira. Yapo makosa madogo madogo yaliyofanya tuwatoe katika ushindani takribani 50% ya waombaji wote bila hata kuangalia CV au vyeti vyao.

Baadhi ya makosa...👇
niliyoyaona ni kama ifuatavyo;

1. Emails nyingi zilitumwa bila heading. Yani email haisemi ni ya nini. Au mtu anaandika "Application", au anaandika "My cv", au "Dear sir".

Hayo yote ni makosa. Kwa kawaida unapaswa kuandika heading ya email yako in a title cased format...👇
ikitaja nafasi unayoomba. Kwa mfano "Application for Tutorial Assistant in Mathematics"

2. Emails nyingi zilizokosewa heading. Yani heading na kilichomo ni tofauti. Mtu ameandika "Application for Tutorial Assistant in Mathematics" lakini ukifungua barua yake ya maombi...👇
ameomba nafasi ya Estate Manager. Mara nyingi hutokea ikiwa ofisi imetangaza nafasi zaidi ya moja.

3. Kulikua na "blank emails". Yani mtu ametuma email anasema "please see the attachments" lakini hajaambatanisha attachment hata moja.

4. Kuna mtu ametuma email yenye...👇
attachments tu bila kuandika chochote sehemu ya ujumbe. Hilo ni kosa. Andika sentensi mbili au tatu. Kwa mfano "Dear sir/Madam, please see my attached credentials applying for the Tutorial Assistant post"

5. Weka attachment ulizoelekezwa tu. Kama mwajiri anataka CV na...👇
Cover letter usiattach certificate unless awe anataka na certificate pia. Na hata ukiambiwa attach certificate weka zile za muhimu tu. Sio unaweka cheti cha primary, cha ubatizo au Living certificate ya form four/six.

6. Attachments zote lazima uzipe majina kabla ya kuattach..👇
Mfano cv inatakiwa isomeke Peter Elia CV - Tutoria Assistant Post au vinginevyo ili mradi mtu akiidownload asihitaji kulazimika kui-rename.

Elewa kwamba waombaji ni wengi na anayefungua hizo attachment ni mtu mmoja au wawili.

Fanya maisha yawe mepesi. Hakuna mtu ana muda...👇
wa kufungua attachment yako na kuirename wakati wapo walioattach kwa kuzipa majina attachment zao.

7. Poor scanned documents. Tuache uvivu. Usiscan kwa kutumia simu ya mkononi. Andaa copy nzuri ya nakala ya vyeti vyako tumia scanner nzuri, na ikiwezekana save kabisa kwenye...👇
"email" yako ili siku yoyote ukivihitaji uvipate.

8. CV format. Kuna watu wanafanya utani na CV zao.

Yani unakutana na CV ina font size tofauti kila section, font types tofauti, spelling errors hadi kwenye majina yako. Hapa ukikosa kazi huna wa kumlaumu...👇
9. Usitumie majina tofauti na yaliyopo kwenye vyeti vyako. Kama vyeti vyako vimeandikwa Peter Elia Mosha usiandike Peter Elia au Peter Mosha. Hao ni watu wawili tofauti.

10. Acha kutumia email uliyofungua ulipokuwa "teenager" enzi ukiwa na miaka 16. Unakuta mtu anaitwa...👇
Peter Elia lakini email yake ni snakeboy@yahoo.com AU mafisi77@yahoo.co.uk. Tengeneza email yenye majina yako na isajili kwa majina yako halisi. Kwa mfano kama unaitwa Peter Elia unaweza kutumia peterelia@gmail.com

11. Usitumie email ya mtu mwingine kutuma maombi. Tuache...👇
uzembe. Yaani kama natafuta mtu mmoja kati ya watu 450 niambie kwa nini nimchukue mtu ambaye hana hata email address? Tengeneza email yako na hakikisha unatuma maombi kwa email yako mwenyewe, sio email ya mtu.

Siku hizi dakika 5 tu zinatosha kutengeneza email account...👇
12. Epuka kuchanganya herufi. Hata kama una shida ya lafudhi, jitahidi iwe kwenye kuongea tu lakini sio kwenye kuandika. Mfano hela - ela, rejea - lejea, afadhali - afazali.

Sasa hivi kuna mtindo mpya wa xa badala ya sa. Na hawakubali kurekebishwa.

Mwisho wa siku utasikia..👇
"my wangu nimekutumia ujumbe mpaka xaxa ujanijibu jomoni"
_____
TAKE A SERIOUS NOTE. Maombi ya kazi ni jambo serious sio mambo ya JOMONI.!

Huu uzi nimecopy kwenye groups za whatsapp mwandishi hajawekwa kama unautaka nitumie meseji whatsapp hapa👇

wa.me/+255762305991

🙏👇
Zingatia:😶

Nimecopy huu Uzi kwenye magroup ya whatsapp simfahamu aliyeandika maana wamekata Jina lake.

Ningemfahamu ningemtag maana ni Ujumbe mzuri ambao utanisadia na naamini utawasadia watu wengine.

MUNGU AKUBARIKI WEWE ULIYEANDAA...🙏

Siku Njema pia nakuomba tembelea...👇
Pia Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii 👉wa.me/+255762305991

Tufollow @SadickTusia 🇹🇿

~Kwa contents za kingereza tembelea @lissaMasinde 👇
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Oct 5
Uzi Mfupi : HAWA WATU SIO WA KUWATEGEMEA ASILIMIA 100%...👇

1. NDUGU alafu namba mbili😶

2. MARAFIKI

ukiwaunataka Support ya jambo utawalaumu bure kwasababu hata wewe mwenyewe unakuta upo ivyo kwa marafiki au ndugu zako yaani ni nature.

Unachoitajika kufanya ili...👇
msilaumiane ni kutafuta watu wapya katika maisha yako namaanisha watu wasio kufahamu yaani mkikutana msiofahamiana siku zote watakwambia ukweli kwamba hiki ni kibaya au kizuri na kama kununua au kupenda atapenda kutoka moyoni na kukusapoti.

Sasa hawa watu msiofahamiana...👇
utawapata wapi, kwasasa Dunia imerahisisha kidogo jibu la kwanza utawapata...👇

•kwenye mitandao ya kijamii

•Mazingira mapya ya kazi au shughuli yako

•Kwenye taasisi mbalimbali kama Chuo au shule au mambo mbalimbali.

Kikubwa jichanganye na watu alafu onesha unaweza..👇
Read 5 tweets
Sep 26
Uzi : KWANINI WANAUME HAWAPENDI KUOA WANAWAKE WASOMI...!? HIZI NDIO SABABU...😶

Na #The_ChandO mwalimu wa jamii...👋

Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini, kwa mwaka anapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba..👇
asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini...👇
kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani...👇
Read 23 tweets
Sep 22
Uzi : MASWALI KUMI( 10 ) INABIDI UYAJUE KABLA HUJAINGIA KWENYE CHUMBA CHA INTERVIEW...😐

Kwa wale wanaotegemea kufanya usaili wa kazi Leo katika Taasisi na Makampuni mbalimbali, Hakikisha haya maswali una uelewa nayo, haya ndiyo yanakupa asilimia nyingi za kupata kazi; Twende👇 ImageImage
1. ●Tell me about yourself...!?

Hapa sisi hatutaki kujua kuhusu umezaliwa wapi na lini, umesomea nini na kuhusu maisha yako, Hapa waajiri wanataka kujua sifa ulizonazo ukihusianisha na nafasi unayoomba, yaani hapa stick kwenye Skills, Experience, Achievements, Performance na
ueleze kwanini unafikiri utaleta mabadiliko.

2. ●Why do you want to work for us...!?

Hapa hawataki kujua kuhusu ubora wa kampuni/taasisi yao kwani wao wanaujua, hapa wanataka uoneshe ni jinsi gani unafikiri taaluma, na sifa ulizoeleza kwenye moja hapo juu zitaisaidia...👇
Read 20 tweets
Aug 22
Uzi : Je! WAJUA...🙄

Kitendo cha nyoka Kujivua Magamba kitaalam kinaitwa Sloughing.

Zipo sababu kuu mbili ambazo zinapelekea Kufanya hivyo.

Sababu ya kwanza ni kuruhusu Ukuaji wa mwili wake lazima atoe ngozi yake ya zamani ili kuruhusu ukuaji Wake.

Endelea...👇 ImageImage
Sababu ya pili,

hii hufanywa na nyoka majike tu wanapokua kwenye estrus yaani Wanapokua tayari kuzaliana,

ili jike ampe taarifa dume kuwa yupo tayari kwa kukutana basi hujivua magamba ili kuruhusu kuachiwa kwa harufu fulani ya wali.

Ndiyo maana kuna...👇
sehem ukipita hasa maeneo yenye vichaka unaweza Kuipata hii harufu ya wali,

hapo utamsikia mbongo akisema "majini Wanapika Wali sehemu hii tuondoke haraka sana 😄😄" kumbe nyoka nyupo kwenye harakati za kumvuitia baby wake 🥰

Basi tambua kuwa hiyo harufu...👇
Read 5 tweets
Jul 30
Uzi : SMS "3" KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA...☠

1.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Endelea Sasa fundi...😁👇 ImageImage
2.💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako, Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö, näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana,

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia...👇
Yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

3.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda.
Read 6 tweets
Jul 22
Uzi : AINA saba( 7 ) ZA WANAWAKE WENYE UPUNGUFU WA AKILI.🦍

1️⃣. MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.😶

Re-tweet kwanza na endelea tuelimike wote ndugu yangu...👇
2️⃣. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.😶
3️⃣. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.😶
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(