(---) Onesmo Mushi Profile picture
Nov 2 16 tweets 10 min read
#TalkingScholarships
Mtu wangu @depedrodeniss juzi July 2022 alisafiri kuelekea Western Michigan University (USA) kama mshindi wa Scholarship za Fulbright 2022. Ameniruhusu kushare mawasiliano yetu kuanzia 15/2/2021 - 22/4/2022 ili kuwainspire wengine. Tulianzia hapa⬇️
14. Tukaishia hapa⬇️; mission accomplished. Natumaini umegundua kwamba ukipata mtu wa kukuelekeza na wewe ukawa na nia, kila kitu kinawezekana. 💪💪💪
@depedrodeniss
Kwa ndugu yetu yeyote yule unatetafuta #scholarships , nakushauri usome hizi meseji, kuna kuna baadhi ya maswali yatakusaidia.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with (---) Onesmo Mushi

(---) Onesmo Mushi Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @EduTalkTz

Oct 30
Mwaka 2013 mtumbuizaji kutoka Japan, Kenichi Ebina, alishinda Dola 1,000,000$ katika shindano la American Gots Talent. Kenichi ananikumbusha maelfu ya watoto ambao wana talent lakini talent zao zinazikwa na mitaala isiyozipa nafasi.⬇️
@MabalaMakengeza @wizara_elimuTz @HakiElimu
Kenichi ananikumbusha Leoni Joseph, kijana aliyekuwa smart sana; anachora, anacheza mpira, anapiga sarakasi kuliko kawaida. Namkumbuka Amosi Kivulenge, kijana comedian ambaye anaweweza kukuchekesha hata ukiwa ktk mood ya aina gani. Hawa wote waliambiwa na elimu yetu WAMEFELI⬇️😰.
Kenichi ananikumbusha Joseph Lau, kijana aliyekuwa na uwezo wa kutupigia hadithi Katika series zaidi ya miezi miwili mfululizo bila kupoteza ladha wala kurudia events. Karibu darasa zima tulikuwa tayari kumlipa Lau shilingi 50 ili atupe uhondo. Huyu nae aliambiwa AMEFELI😰⬇️!
Read 4 tweets
May 4
TALKING SCHOLARSHIPS
Scholarships zilinileta USA 2016, zikanipeleka CHINA 2018/2019, zikanirudisha tena USA 2019 na bado zipo na mimi mpaka nikamilishe safari. Nadhani nina moral responsibility ya kuwagawia wadogo zangu maarifa ya kuzitafuta. Nisaidie kushare hii THREAD🙏🏿 Image
1. MAOMBI YA SCHOLARSHIP NI UJUZI WA KUJIFUNZA. Hatua ya awali kabla haujaanza kuomba scholarship ni kujifunza mbinu za kuomba scholarship. Uelewa wa njia ya kupita na maandalizi unayotakiwa kufanya yatakusaidia kujiandaa kikamilifu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi. Image
2.JUA UNACHOKITAKA. Yes, hii ni aspect ya muhimu kabisa katika scholarships; unataka nini? Ni lazima uwe na picha halisi ya kile unachotamani kukisomea na uwe na uwezo wa kukiongelea. Bila kufahamu unachokitaka, hauwezi kujenga hoja itakayomshawishi mtu kukupa scholarship. Image
Read 25 tweets
May 1
Je, kuwaita wamasai “PRIMITIVE” ni sahihi?

Hapana, sio sahihi hata kidogo na tunastahili kuungana na @MariaSTsehai kupinga kilichofanyika kwasababu kinaondoa utu wa watu na kuwafanya waonekane kama ziada katikati ya wanaojiita “civilized.” Naomba kutoa ufafanuzi by THREAD⬇️
1
Siku moja nikiwa bar na rafiki yangu, alilewa akamuita jamaa mmoja “WE MWANAMKE MAMBO NIAJE?” Yule jamaa alinyanyua chupa ya beer kwa hasira akampiga rafiki yangu kichwani mpaka akazimia. Je, ni kwanini yule jamaa alikasirika wakati neno “MWANAMKE” halina shida yoyote?🤔⬇️
2
Kilichomkasirisha huyu jamaa sio neno “MWANAMKE” kama linavyotafsiriwa kwenye dictionary (DENOTATIVE MEANING) bali tafsiri ya kimazingira (CONNOTATIVE MEANING). Neno mwanamke katika utamaduni wetu wa kimfumo dume limekuwa likibeba STEREOTYPES tofauti tofauti. ⬇️
Read 11 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(