(---) Onesmo Mushi Profile picture
Education Activist | Researcher | Academic Coach | Scholarly Writing Consultant | Curriculum Analyst | #SDGs 4 & 8 | I only tweet about EDUCATION
Jul 1, 2023 15 tweets 7 min read
#ElimikaWikiendi
“MAFANIKIO” ni neno jepesi sana kuandika lakini gumu sana kulielewa. Kwenye mtandao wa Google trend, ni mojawapo kati ya maneno yanayotafutwa zaidi. Watu mbali mbali wameandika makala zaidi ya milioni 11 kwenye Google kuelezea hili neno, wengi wakiliita “Siri ya… https://t.co/CpnRAQaU6ntwitter.com/i/web/status/1…
#ElimikaWikiendi
Kabla sijaanza kueleza nilichoandaa, naomba kutafsiri neno MAFANIKIO kwa muktadha wa leo. Nafahamu wengi wana tafsiri tofauti, na Kila mmoja ana tafsiri yake. Kwa leo, ninaposema MAFANIKIO, ninamaanisha UFANIKISHAJI WA NDOTO NA MALENGO FULANI YENYE TIJA KWENYE… https://t.co/nKJWt9W2hmtwitter.com/i/web/status/1…
Jun 7, 2023 9 tweets 4 min read
Kwa wale ambao hamjapata ya kuusoma mkataba, usomeni hapa. Hii ni haki yetu sote.👇

UCHAMBUZI WA MKATABA WA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA… twitter.com/i/web/status/1… SEHEMU YA I- TAFSIRI, UFAFANUZI NA MAWANDA (DEFINITIONS, INTERPRETATION AND SCOPE)
2.1. Ibara ya 1 (Definition and Interpretation)
Ibara ya 1 inatoa tafsiri na ufafanuzi wa misamiati na maneno mbalimbali yaliyotumika katika Mkataba huu.

SEHEMU YA II- WAJIBU WA JUMLA (GENERAL… twitter.com/i/web/status/1…
Dec 5, 2022 9 tweets 2 min read
1. MFUNDISHE MTOTO SKILLS MUHIMU KUPITIA GAMES

Mwalimu aliponifahamisha kuwa mwanangu ana tatizo la kuconcentrate kwa muda mrefu, nilijiuliza; ni kwa namna gani naweza kumsaidia?

Nilifahamu kuwa maneno matupu hayatomjenga, kwa hiyo nikaamua kumfundisha mchezo wa draft.
#Thread 2. Baada ya kumfundisha kusukuma kete, tulianza kuweka sheria ambazo niliamini zitamjengea mazoea ya concentration.

Sheria ya ONE TOUCH ilimsaidia mwanagu kujifunza kwamba ni lazima afikiri kwa umakini kabla kabla hajagusa kete Kwa sababu akishaigusa hana option nyingine.
Dec 5, 2022 9 tweets 3 min read
1/9
TAFITI ZINASEMAJE KUHUSU WANAFUNZI TANZANIA?

Data Thread
1. Kuna wanafunzi 13,000,000 katika shule za msingi na sekondari

2. Asilimia 90% wanazungumza au wanatoka familia zinazozungumza Kiswahili

3. Asilimia 35% walidumaa kabla ya umri wa miaka mitano 2/9

4. Asilimia 29% wanatoka familia ambazo wazazi hawajaenda shule kabisa

5. Asilimia 19% wanatoka familia ambazo wazazi hawakumaliza primary

6. Asilimia 70% wanatoka kwa wazazi wenye elimu ya shule primary

7. Asilimia 65% wanatoka familia zinazojishughulisha na kilimo
Dec 4, 2022 5 tweets 1 min read
Misconceptions Katika Mjadala wa Lugha ya Kufundishia.

1. Tusiposoma kwa Kiingereza tutatengwa na Dunia

2. Tusiposoma kwa Kiingereza tutadumaza elimu yetu

3. Hakuna uhusiano wowote wa lugha ya kufundishia na ufaulu 😎

4. Wanaotetea Kiswahili LYK wametumwa kutuangamiza 5. Tatizo sio lugha ya kufundishia, tatizo ni Curriculum🤔

6. Vitabu vya sayansi haviwezi kutafsiriwa Kwa Kiswahili

7. Kiswahili hakina misamiati ya kutosha hivyo hakijitoshelezi

8. Tukitumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia tutatengeneza matabaka
Nov 2, 2022 16 tweets 10 min read
#TalkingScholarships
Mtu wangu @depedrodeniss juzi July 2022 alisafiri kuelekea Western Michigan University (USA) kama mshindi wa Scholarship za Fulbright 2022. Ameniruhusu kushare mawasiliano yetu kuanzia 15/2/2021 - 22/4/2022 ili kuwainspire wengine. Tulianzia hapa⬇️ 2. @depedrodeniss
Oct 30, 2022 4 tweets 2 min read
Mwaka 2013 mtumbuizaji kutoka Japan, Kenichi Ebina, alishinda Dola 1,000,000$ katika shindano la American Gots Talent. Kenichi ananikumbusha maelfu ya watoto ambao wana talent lakini talent zao zinazikwa na mitaala isiyozipa nafasi.⬇️
@MabalaMakengeza @wizara_elimuTz @HakiElimu Kenichi ananikumbusha Leoni Joseph, kijana aliyekuwa smart sana; anachora, anacheza mpira, anapiga sarakasi kuliko kawaida. Namkumbuka Amosi Kivulenge, kijana comedian ambaye anaweweza kukuchekesha hata ukiwa ktk mood ya aina gani. Hawa wote waliambiwa na elimu yetu WAMEFELI⬇️😰.
May 4, 2022 25 tweets 9 min read
TALKING SCHOLARSHIPS
Scholarships zilinileta USA 2016, zikanipeleka CHINA 2018/2019, zikanirudisha tena USA 2019 na bado zipo na mimi mpaka nikamilishe safari. Nadhani nina moral responsibility ya kuwagawia wadogo zangu maarifa ya kuzitafuta. Nisaidie kushare hii THREAD🙏🏿 Image 1. MAOMBI YA SCHOLARSHIP NI UJUZI WA KUJIFUNZA. Hatua ya awali kabla haujaanza kuomba scholarship ni kujifunza mbinu za kuomba scholarship. Uelewa wa njia ya kupita na maandalizi unayotakiwa kufanya yatakusaidia kujiandaa kikamilifu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi. Image
May 1, 2022 11 tweets 3 min read
Je, kuwaita wamasai “PRIMITIVE” ni sahihi?

Hapana, sio sahihi hata kidogo na tunastahili kuungana na @MariaSTsehai kupinga kilichofanyika kwasababu kinaondoa utu wa watu na kuwafanya waonekane kama ziada katikati ya wanaojiita “civilized.” Naomba kutoa ufafanuzi by THREAD⬇️ 1
Siku moja nikiwa bar na rafiki yangu, alilewa akamuita jamaa mmoja “WE MWANAMKE MAMBO NIAJE?” Yule jamaa alinyanyua chupa ya beer kwa hasira akampiga rafiki yangu kichwani mpaka akazimia. Je, ni kwanini yule jamaa alikasirika wakati neno “MWANAMKE” halina shida yoyote?🤔⬇️